#COVID19 Rais Samia Suluhu: Tutalichukulia kwa uzito suala la COVID-19

Kwa jinsi nilivyozika watu wangu wa karibu na jinsi ilivyomtesa mke wangu kaponea chupuchupu kwa gharama kubwa iliyolazimisha niuze hadi samani zangu amini nimekutukana tusi kubwa sana
Kosa la Jiwe aliwafanya baadhi ya wafuasi wake mataahira. Waliofiwa wapendwa wao wakiona huu Uzi wanaumia Sana ni kebehi ya Hali ya juu.
 
Hakika huyo anayemshauri Mh. Rais Samia Suluhu kwamba Tanzania kuna corona anampotosha!

Kwa nchi ilipofikia huko tumevuka na tumepita, mabeberu walituaminisha tutakufa na kuokota maiti barabarani lakini hii haikutokea
Wameenda mbali zaidi kututisha kwa second version ya corona ni tishio lakini Waswahili tunaendelea na maisha yetu kama kawaida.

Tanzania hii haina corona, rais tuwache tuendelee na maisha tuliyozoea kwani naziona dalili za kuzuia mikusanyiko na lockdown
Hautakaa uijue COVID 19 Mpaka pale itakapokugusa! Fanya subira! Hivi karibuni utaelewa!
 
kinachoenda kutokea ni kuletewa astra zeneca hapo ndipo wagonjwa wataongezeka mara mia 500 na vifo kutapakaa
 
Hakika huyo anayemshauri Mh. Rais Samia Suluhu kwamba Tanzania kuna corona anampotosha!

Kwa nchi ilipofikia huko tumevuka na tumepita, mabeberu walituaminisha tutakufa na kuokota maiti barabarani lakini hii haikutokea
Wameenda mbali zaidi kututisha kwa second version ya corona ni tishio lakini Waswahili tunaendelea na maisha yetu kama kawaida.

Tanzania hii haina corona, rais tuwache tuendelee na maisha tuliyozoea kwani naziona dalili za kuzuia mikusanyiko na lockdown
Usiwe mjinga wa kiwango hicho. Yaani wewe unadhani tahadhari ya corona ni Lockdown tu. Acha upumbavu
 
Sio kila mtu ni mtaalam!
Wacha mengine haya ya Covid wafanye wabobezi!!

Corona imetuchukulia ndugu zetu wengi sana ila hatujali.

Wacha wenge! Subiri ushauri wa wataalam
Hata malaria imetuchukulia ndugu wengi tu.
 
Hakika huyo anayemshauri Mh. Rais Samia Suluhu kwamba Tanzania kuna corona anampotosha!

Kwa nchi ilipofikia huko tumevuka na tumepita, mabeberu walituaminisha tutakufa na kuokota maiti barabarani lakini hii haikutokea
Wameenda mbali zaidi kututisha kwa second version ya corona ni tishio lakini Waswahili tunaendelea na maisha yetu kama kawaida.

Tanzania hii haina corona, rais tuwache tuendelee na maisha tuliyozoea kwani naziona dalili za kuzuia mikusanyiko na lockdown
"tanzania hakuna covid" based on what research?

nyie ndio watu mnaopotosha alichokisema bi mkubwa. hakusema ataweka lockdown. bali ataunda kamati ya kuchunguza.. tena wataalam wa hapa nyumbani na hatua gani zichukuliwe.

acheni kupanic
 
jitahidi kutumia akili timamu, rais hajatoa kauli yoyote inayoonesha Tanzania tuna corona ndio maana akasema wataalam ndio watatafiti tujue tunachukua hatua gani maana hatuwezi sema ipo au haipo......

unakurupuka bila kufatilia hata taarifa sahihi. Pole na msiba.

Cyo cyprian musiba kweli huyo?

Maana kwa sasa ni mtu ambae amechanganyikiwa sana
 
kinachoenda kutokea ni kuletewa astra zeneca hapo ndipo wagonjwa wataongezeka mara mia 500 na vifo kutapakaa
hakuna mahali serikal imesema wataleta hiyo chanjo. ndio maana inaundwa tume kuchunguza kwanza.
halaf chanjo ziko nyingi. si aina moja tu.

ucha kusambaza hofu
 
Mama anaonesha dalili mbaya inaamana hiyo kamati hakuwah kumshauri magufuli?inaamana Corona kwetu imetuathiri sana mpaka atafute ufumbuzi ?inaamana hao wa duniani anaotaka tufanane kwa kuwa sisi sio kisiwa wamefanikiwa katika kuidhibiti corona?au wao ndio wanaiga njia zetu kwa Sasa?Jaman tatzo kubwa la mama mpenda sifa na anataka amfuraishe kila mtu hatuitaji umama huruma tunataka maendeleo .
 
Sio kila mtu ni mtaalam!
Wacha mengine haya ya Covid wafanye wabobezi!!

Corona imetuchukulia ndugu zetu wengi sana ila hatujali.

Wacha wenge! Subiri ushauri wa wataalam
Wataalamu wenyewe si ndio akina Kigwa magangala? ambao leo wanashika microscope kesho wanashika tunguli?
 
"tanzania hakuna covid" based on what research?

nyie ndio watu mnaopotosha alichokisema bi mkubwa. hakusema ataweka lockdown. bali ataunda kamati ya kuchunguza.. tena wataalam wa hapa nyumbani na hatua gani zichukuliwe.

acheni kupanic
mkuu kama huwezi kingereza andika kiswahili tu utaeleweka
 
Sio kila mtu ni mtaalam!
Wacha mengine haya ya Covid wafanye wabobezi!!

Corona imetuchukulia ndugu zetu wengi sana ila hatujali.

Wacha wenge! Subiri ushauri wa wataalam
Vp kuhusu malararia,Ukimwi, Cancer inaacha watu salama?.Nenda Hospitali kaone jinsi hayo magonjwa yanavyouwa maelfu ya watu,Corona kitu gani
 
Back
Top Bottom