#COVID19 Rais Samia Suluhu: Tutalichukulia kwa uzito suala la COVID-19

Mwache mama aogelee atakuja kuona urais ni mzigo. Waungaji mkono anawatimua kimya kimya.
 
Hahahaha TAGA pole sana nenda chato nawewe kaingie kwenye kile kigozi cha kondoo.

Mlituharibia sana nchi kwa ushenzi wenu.
 
Point yake kuu ni Tanzania ijulikane ina msimamo gani, wanakubaliana na mapendekezo au hawakubaliani nayo ila sio kukaa tu na kuwa haijulikani msimamo wake ni upi.

Yeye msimamo wake unaonekana wazi, havai barakoa hana mpango wa lockdown maana hata hajazungumzia.
 
Point yake kuu ni Tanzania ijulikane ina msimamo gani, wanakubaliana na mapendekezo au hawakubaliani nayo ila sio kuwa haijulikani msimamo wake...
Yeye msimamo wake unaonekana wazi, havai barakoa hana mpango wa lockdown maana hata hajazungumzia...
Haswaaa
 
Kwenye hiyo kamati awemo pia Dr Kigwangalla na Prof Mchembe!
Hakuna jipya hapo, kama ni kutangaza wagonjwa je ameamua kuzuia watalii?

Nimesikia anataka watalii je kama covid ni nyingi watakuja au?

Je, mko tayari kufungiwa mikoa na kupunguza muingiliano?

Muko tayari kuwekewa karantini ya masaa ya kutembea?

Sioni kama hata wanao fulahi wakikaa kimya zaidi tena ya kupinga.
 
Leo nimethibitisha kwa rasilimali CCM walizo nazo wana uwezo wa kushikilia dola miaka mingine 100 ijayo

Hongera sana rais wetu Samia Suluhu Hassan[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] Unaweza sana mama
"Corona ni ka ugonjwa kadogo, tumeikimbiza kwa maombi". Mataga wanapiga vigelegele.

"Hatuwezi kujitenga, tutaunda team ya wataalam kukabiliana na Corona". Mataga wanapiga vigelegele tena.

Wazazi kuweni makini na malezi mnayowapa watoto wenu. Taifa limekumbwa na upungufu wa maadili. Siku hizi uongo na unafki ni sifa. We're doomed!
 
Mataga ni shida sana
 
Nimesikitika sana Kwa JPM kujitoa kwa Makusudi kwa Watu wasio na Shukrani na Wanafiki. Nimejifunza hapa Duniani ni kuamini katika imani ya Mungu tu na kujipenda na kusaidia wengine bila kujali nini nitalipwa. Binadamu ni Viumbe wa ajabu sana.
 
 
Uzuri hata hizo chanjo zikiletwa wewe hautalazimishwa kuchanja kwahiyo utulie tu na familia yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…