Rais Samia Suluhu umeanza kuwa Dikteta mapema kuliko hayati John Pombe Magufuli

Bado nina imani na mama! Pengine kapotoka kidogo lakini hajaharibu kabisa. Tumpe muda zaidi naye ni binadamu si mkamilifu. KUKOSEA KUPO!
Urais ni Taasisi na “traditionally” kile anachopanga kuongea Rais especially na media huwa kimeshakuwa digested & reviewed by a group of advisers

Almost kauli zote za Rais huwa zinamaanisha alichosema na kama ni “kupotoka”, amefanya kwa kukusudia kabisa in her sober mind.

Sikutegemea kama huyu mama anaweza kuwa inept namna hii. Yaani the so called kusimamisha uchumi ndio iwe sababu ya kuendelea kuminya haki za vyama kufanya mikutano?
 
Ndo shida, aliyetangulia akishavuruga mambo wanaofuatia wanaona kama ndo utaratibu unaofaa....
 
Je! Wewe ni Mataga au sukumagang? Maana CHADEMA mulimuona mama yupo upande wenu, nyote mkanunuliwa na kuanza kuunga juhudi za mama, Lissu na Mbowe nao wakauza uanachama wao kwa mama (yaani CCM MPYA - CCM ya Samia na Magufuli)! Sasa nini kimewashtua? Au mlitaka kuteuliwa na sasa mmekata tamaa baada ya nafasi za wakuu wa wilaya kwisha? Nashangaa mnaanza kupiga rivasi! Ila mkumbuke CCM ni ile ile na SAMIA = MAGUFULI pia awamu ya 6 ni Ext ya awamu ya tano!
 
Acha kuandika vitu usivyovijua.

Trump anapiga mikutano ya kisiasa kama kashaanza kampeni za uchaguzi wa 2024.

Jumamosi alikuwa Ohio. Na hakuna anayemkataza.

Soma hapa chini "The Washington Post" wameandika.Muandishibwao aliendq kushuhudia.

Siku nyingine kqbla ya kuandika vitu usivyovijua jaribu hata ku Google kwanza.

 
Nilichomsikia mimi ni kwamba tumpe muda.Tulizeni
 
Wacha kudanganya, Trump kakusanya watu juzi kwa mikutano tu, na anaendelea na siasa wewe vp. Jamani nafikiri tujaribu kuheshimu na kufuata katiba zetu, hata kwa hii mbovu tuliyonayo.
Trumpu yupi aliekusanya watu?? Acheni ujingaaa. Hakuna mikusanyiko ya kisiasa marekani baada ya uchaguziiii.
 
Ni vyema ukaenda hosp kutibiwa uendawazmu unaokusumbua.
Mama SSH hana na wala hawezi kuwa dikteta kam hule msukuma mwenzio!
Mama SSH ni mtu wa maadili, ana hofu ya Mungu na mstaarabu sana tofauti na Msukuma mwenzio! pambaf!
 
Nimeamini hata ufanye nini hapa duniani huwezi pendwa na kila mtu
Hasa watu hao wakiwa watanzania😂😂😂 kama unafiki ungekuwa ni kisomo basi watanzania wengi wangekuwa Ma Specialist wa unafiki!
 
Stupid and shallow analysis. Unalinganisha democracy ya USA na Tz?
Demokrasia si ni ile ile au definition ya democracy inatofautiana baina ya nchi na na nchi kwamba kuna democracy ya USA na Demokrasia ya bongo?
 
Hivi kusema ule ukweli. Mikutano ya hadhara ya kazi gani miaka hii?

Hawa wananchi tunawapa muda gani kujijengea uchumi kama tunataka siku zote tufanye mikutano hadharani?

Angekataza na mikutano ya ndani ya vyama vya siasa, hapo sawa ningeungana na wewe mleta uzi.

Alafu kuhusu suala la katiba, mimi nafikiri tusimsukume kihivyo. Tunaweza tukawa na katiba mpya na bado ikawa haifuatwi kama hii. Katiba mpya ianzie vichwani mwa raia wenyewe. Mfano mdogo tu, ni wangapi wanaijua katiba iliyopo? Nyie kama vyama vya upinzani, ni mpango upi mnao ili kuhakikisha kila mwananchi anaijua katiba iliyopo na mapungufu yake ni yapi?

Mkisha maliza suala la kuhakikisha kila mwananchi anaijua katiba iliyopo na mapungufu yake, ndipo mngeanzisha hizo mbio za kudai katiba mpya.

Mbali na hili nililoliandika hapa, mtaonekana wehu na wendawazimu maana watu mtaani hata hawawaelewi
 

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Hadi sasa mama kavunja haki au sheria ipi?

Mama hana haki ya kuwa na mawazo yake?

Tangu lini mtu akashutumiwa, akashtakiwa au hata kuhukumiwa kwa maoni yake?

Palikuwa na uzi hapa:

 
Nimeamini hata ufanye nini hapa duniani huwezi pendwa na kila

Narudia tena na tena. Anayeelewa mama anakotupeleka anyooshe kidole.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Hakuna jipya chini ya jua!
Hata Musa yalimkuta haya haya; Mayahudi yalianza kuhoji kule yalikokuwa yakipelekwa. Japo mwanzo yalikuwa yakiteswa sana lakini yalitamani yarudishwe kule kule Misri yakatafune zile finyango, samaki, vitunguu saumu, matikitimaji na mbogamboga. Kazi kweli kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…