Rais Samia Suluhu, Waganda wamekupigia 'Salute' kwa Kiingereza chako kizuri japo huna PhD yoyote

Nyie vilaza hamumuwezi kwa hisabati huyo mama.
Ngojeni basi itokee siku aongee na kiarabu ndio mtapigwa na butaa.
Hii ndiyo zanzibar tuliyoipoteza.Matunda ya wahenga waliosoma zama zile za awali ya mapinduzi kuelekea chini.Intelectualy and inteligent.
lakinisiku hizi ni buruta matari tuu
 

uko sahihi sana

wasomi wa TZ ni waswahili may he only 3% wanaweza kuongea excellently

wengine wana rank tofauti kama GOOD,BETTER....

Hata hao wachina, warusi wanaongea kawaida, cha kubabaisha and life goes on

Ulichoshangaza ni kushangaa kiingereza cha mtu

You seem inferior
 
Usisahau, haya umeyaandika kwa kutumia vifaa vya kikoloni....
Tanzania maduka ya stationery yote yamejaa vifaa vya kuandikia toka China ambao hawajawahi kututawala.Vifaa havitoki Kwa waingereza au wajerumani waliotutawala vinatoka china

Soko lote la stationery nchi nzima asilimia 99 limeshikwa na Mchina sio mwingereza wala mjerumani
 
Mbona hawa ma house boy wa ki Malawi wanajua kiingereza kizuri, kwa hiyo na Mimi nitakuwa miongoni mwao
 
Tunaacha kutumia Kiswahili tunashangilia lugha ya wakoloni.
Siyo lugha ya wakoloni bali ni international language! Hata vitu vinavyotengenezwa vinawekewa international language Sasa tukishabikia kiswahili hatutaweza kufanya mawasiliano na wenzetu hata Africa mashariki.
 
Hao wanaoshabikia kujua kiingereza hata viongozi kiingereza chao ni ovyo hata shule walipata Div.0 lkn utasikia yule bwana hajui Kiingereza.Na hata hivyo Mungu alimpandisha zaidi na akapata Urais kitu ambacho Lissu na Mbowe Watanzania hatuwezi kuwapa Urais Mabwana hawa aslani!!
 
An authentic Moron like you can't correct me on my English. I'm competent and a wordsmith on this ( that ) language.

Stop wasting your time arguing with me Generalist ( alias ) ' Gifted Intellectually, Knowledgeable and Well Informed ' Man okay?
Kumbe ni wewe ulie andika! Mbona ulisema ni rafiki yako mganda? Hivi wewe una akili sawa sawa? Pole! Lakini ni nacho kijua, wewe huna PhD!
 
Hahahahahahaaa!! Mwenda zake alikua hajui english kabisa
Wajua kingeteza vizuri ni wasoma nadomo ya porojo ya Arts!! mwanamgu upigwr hesabu za uhakika .Upigwe PCB au PCM ya kufa mtu ukimwona mwalimu wa kiingereza darasani lazima umkimbie na umwambie sina muda na wewe

Watoto wa masomo hayo wanaokijua kiingereza barabara ni waliosoma English medium primary schools
Lakini ukiona Tanzania mtu.ambaye hakusoma English Medium Primary Schools au Christian seminaries Huyo lazima awr kasoma masomo ya porojo ya arts kama Tindu Lisu ba HGL zake.
 
Magufuli aliwa outsmart vipi WHO kwenye corona? UK wamecopy nini? Hebu acheni ujinga huu.
Kuna nchi bado inaamini katika lockdown? Kamsikilize mshauri wa masuala ya afya wa Uingereza kuhusu corona then linganisha na hotuba za Magufuli kuhusu corona mwaka jana, namnukuu, "tutajuaje, kama liugonjwa tutaendelea kuishi nalo kama magonjwa mengine" Yule jamaa wa UK kasema exactly the same as of what Magufuli said.
 
Wenye IQ kubwa tu ndiyo tutakuelewa.
kweli kabisa wenye iQ tunamuelewa sana,ndio maana tunapenda kujifunza lugha tofauti tofauti ili hata ikitokea tumeenda nje ya nchi iwe rahisi kwetu kula mzigo ya watoto wazuri wa wakoloni wetu.
 
ooh sorry i mean its good to knw (yaani ni vizuri kujua lugha zote)
then don"t blame others kwa kushindwa kujua kiingeteza hata wao izo sorry wanaziweza kuzitoa baada ya kukosea
Lugha ya wengine ni ya wengine tuheshimiane tuvumiliane.Kama mtu anaekeweka anamaanisha nini akiongea lugha ya wengine inatosha.Ukikomaa kuwa mtu aongee kingerezs fluently wakati kingereza sio lugha yake ya kwanza pekee ka mwingereza na mumarekani unamuonea.

Mimi kingereza nakijua kwa kiasi changu kwangu ni lugha ya tatu

Ninaongea kilugha fluently.Shuleni nikafunzwa kiswahili nakiongea Fluently.Secondary nk nikasoma kiingereza kama lugha ya tatu.Kunilinganisha kiingereza changu na Mwingereza na mmarekani ambaye toka kuzaliwa anaongea lugha hiyo tu si haki
Magufuli alikua anaongea kizilankende na kihaya na kisukuma na kiswahili fluently kiingereza ilikuwa lugha yake ya tano alijitahidi kiasi chake.Sijui Mama Samia English ni lugha yake ya ngapi.
 
MADA zakipumbavu Kama hizi zinatapisha[emoji1787][emoji1787][emoji25][emoji25][emoji25]
 
mkuu mm sijamlaumu mtu yeyote yule ila tu nimewasihi watu kujua lugha tofauti tofauti ,ndio maana hata wazungu wakija afrika wanajifunza kingereza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…