Tanganyika Kwetu
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 221
- 175
Lakini alizungumza yeye. Waganda hawakusema kiingereza alichozungumza kimeandikwa vizuri bali alizungumza vizuriTena Hotuba yenyewe ya kuandikiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini alizungumza yeye. Waganda hawakusema kiingereza alichozungumza kimeandikwa vizuri bali alizungumza vizuriTena Hotuba yenyewe ya kuandikiwa
Ngojeni basi itokee siku aongee na kiarabu ndio mtapigwa na butaa.Nyie vilaza hamumuwezi kwa hisabati huyo mama.
Ningeshangaa sana kama Uzi huu usingevamiwa na wasiokijua ' Kiingereza ' na najua mtajitokeza wengi tu.
Ninachojua tu ni kwamba duniani kuna Lugha nyingi na nzuri ila hakuna ambayo hadi hivi leo imeweza kuwa ni Kiungo ' Kikuu ' cha Mataifa yote duniani iwe Kiuchumi na hata Kidiplomasia kama cha Kiingereza.
Kama Mchina, Mrusi, Mjerumani na Mchina pamoja na Jeuri zao zote za kuwa ' Super Powers ' ulimwenguni na Lugha zao pia ni Kubwa lakini bado hao hao wanakizungumza Kiingereza Wewe Mpuuzi Mmoja wa Kiswahili usiye na mbele wala nyuma ni nani ukipinge?
Itatuchukua muda mrefu sana na huenda pia hata isitokee kwa Mataifa mengi duniani Kuachana na Lugha ya Kiingereza kwani kama kuna Mafanikio makubwa ambayo nchi ya Uingereza ilipata tokea Kipindi cha ' Colonialism ' ni kuhakikisha Lugha yao si tu inaendelea kutumika bali pia inapendwa na kuendelea Kuaminiwa na Vizazi na Vizazi.
Kama Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere pamoja na kutowakubali Wazungu ( hasa kwa Sera zao na Matendo yao kwa Waafrika ) lakini Mwenyewe kwa Mdomo wake ( na Clips zipo Mitandaoni ) alikiri kuwa Kiingereza ni Lugha muhimu, siyo ya Kuepukwa duniani na ya Kibiashara zaidi.
Tanzania maduka ya stationery yote yamejaa vifaa vya kuandikia toka China ambao hawajawahi kututawala.Vifaa havitoki Kwa waingereza au wajerumani waliotutawala vinatoka chinaUsisahau, haya umeyaandika kwa kutumia vifaa vya kikoloni....
Mbona hawa ma house boy wa ki Malawi wanajua kiingereza kizuri, kwa hiyo na Mimi nitakuwa miongoni mwaoJana Usiku nilipokea Meseji moja kutoka kwa Rafiki mkubwa kutoka Uganda akielezea Kufurahishwa Kwake na 'Kiingereza ' kizuri alichonacho Rais wa Tanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan.
"Mr. Generalist are sure that this President of yours Mama Samia she's not a Briton? She speaks fluent English, very articulate, attractive and comfortable with it unlike other so called intellectuals with their doctorates on hand "
Na Waganda hawakuishia hapa tu kwa huyu Rafiki yangu Kunitumia hiyo Meseji bali hata ukienda huko Ugandans On Twitter ( UOT ) Wachangiaji wengi wamevutiwa na Uwezo mkubwa wa Kuongea Kiingereza ' kilichonyooka ' cha Mheshimiwa Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan.
Wameenda mbali zaidi na Kuhoji inakuwa Marais wengine (hasa Barani Afrika) wana Elimu Kubwa lakini walipokuwa wakiwasikiliza (wanapowasikiliza) huwa wanaongea Viingereza 'vibovu vibovu' tu wakati Makabatini mwao wamehifadhi Vyeti vya ' PhD ' zao.
Kongole sana Kwako Rais Mama Samia.
Siyo lugha ya wakoloni bali ni international language! Hata vitu vinavyotengenezwa vinawekewa international language Sasa tukishabikia kiswahili hatutaweza kufanya mawasiliano na wenzetu hata Africa mashariki.Tunaacha kutumia Kiswahili tunashangilia lugha ya wakoloni.
Hata ma yaya wakimalawi wana kiingereza kizuri , hivyo na "thithi" ni miongoni mwamo hususan wewe au wewe ni mgongoni mwa PHDSubiri matusi na kejeli toka kwa Sukuma Gang
Kumbe ni wewe ulie andika! Mbona ulisema ni rafiki yako mganda? Hivi wewe una akili sawa sawa? Pole! Lakini ni nacho kijua, wewe huna PhD!An authentic Moron like you can't correct me on my English. I'm competent and a wordsmith on this ( that ) language.
Stop wasting your time arguing with me Generalist ( alias ) ' Gifted Intellectually, Knowledgeable and Well Informed ' Man okay?
Wajua kingeteza vizuri ni wasoma nadomo ya porojo ya Arts!! mwanamgu upigwr hesabu za uhakika .Upigwe PCB au PCM ya kufa mtu ukimwona mwalimu wa kiingereza darasani lazima umkimbie na umwambie sina muda na weweHahahahahahaaa!! Mwenda zake alikua hajui english kabisa
ooh sorry i mean its good to knw (yaani ni vizuri kujua lugha zote)It Is what ? goods!!!
What kind of English is this?
Kuna nchi bado inaamini katika lockdown? Kamsikilize mshauri wa masuala ya afya wa Uingereza kuhusu corona then linganisha na hotuba za Magufuli kuhusu corona mwaka jana, namnukuu, "tutajuaje, kama liugonjwa tutaendelea kuishi nalo kama magonjwa mengine" Yule jamaa wa UK kasema exactly the same as of what Magufuli said.Magufuli aliwa outsmart vipi WHO kwenye corona? UK wamecopy nini? Hebu acheni ujinga huu.
kweli kabisa wenye iQ tunamuelewa sana,ndio maana tunapenda kujifunza lugha tofauti tofauti ili hata ikitokea tumeenda nje ya nchi iwe rahisi kwetu kula mzigo ya watoto wazuri wa wakoloni wetu.Wenye IQ kubwa tu ndiyo tutakuelewa.
Kwa kuwa alikuwa bingwa wa kukariri orodha? Hisabati my foot huku English hajui?Nyie vilaza hamumuwezi kwa hisabati huyo mama.
then don"t blame others kwa kushindwa kujua kiingeteza hata wao izo sorry wanaziweza kuzitoa baada ya kukoseaooh sorry i mean its good to knw (yaani ni vizuri kujua lugha zote)
Kwani alitunukiwa PhD ya lugha?Kingereza ni Zero aibu kwa University iliyo mtunuku
mkuu mm sijamlaumu mtu yeyote yule ila tu nimewasihi watu kujua lugha tofauti tofauti ,ndio maana hata wazungu wakija afrika wanajifunza kingereza.then don"t blame others kwa kushindwa kujua kiingeteza hata wao izo sorry wanaziweza kuzitoa baada ya kukosea
Lugha ya wengine ni ya wengine tuheshimiane tuvumiliane.Kama mtu anaekeweka anamaanisha nini akiongea lugha ya wengine inatosha.Ukikomaa kuwa mtu aongee kingerezs fluently wakati kingereza sio lugha yake ya kwanza pekee ka mwingereza na mumarekani unamuonea.
Mimi kingereza nakijua kwa kiasi changu kwangu ni lugha ya tatu
Ninaongea kilugha fluently.Shuleni nikafunzwa kiswahili nakiongea Fluently.Seondary nk nikasoma kiingereza kama lugha ya tatu.Kunilinganisha kiingereza changu na Mwingereza na mmarekani ambaye toka kuzaliwa anaongea lugha hiyo si haki
Magufuli alikua anaongea kizilankende na kihaya na kisukuma na kiswahili fluently kiingereza ilikuwa lugha yake ya tano alijitahidi kiasi chake.Sijui Mama Samia English ni lugha yake ya ngapi.