Rais Samia Suluhu, Waganda wamekupigia 'Salute' kwa Kiingereza chako kizuri japo huna PhD yoyote

mkuu mm sijamlaumu mtu yeyote yule ila tu nimewasihi watu kujua lugha tofauti tofauti ,ndio maana hata wazungu wakija afrika wanajifunza kingereza.
kiswahili
 
Siyo wote wanaoongea Kiingereza wana elimu mkuu,Kiingereza ni lugha na wala siyo elimu.

Ukisema English ni Elimu utaonekana huna elimu

Kuna Warusi, Wataliano, Wafaransa hawazungumzi Kiingereza sio kwamba hawana elimu...KIINGEREZA NI LUGHA
Waambie wakupe Formula ya BOYLE'S LAW kwa wanaojua Kiingereza
 
Sema tu humpendi Hayati kwani angeshindwa kusoma????
 
Mazindu Msambule nadhani unatatizo la kusoma na kuelewa. Ni hivi, hapa tunavyoongea Uingereza wamefunga mipaka yao na kuzuia muingliano na nchi nyingi mpaka za ulaya. Wanachanja raia wao wote kwa nguvu kubwa wanaamini kuwa ikifika June 2021, watakuwa wamesha kamilisha chanjo kwa raia wao wote hivyo hakutakuwa tena na shida ya lock down na ugonjwa huo utakuwa kama mafua.
Haya sema sasa sisi Tanzania tuko wapi?
Na ndio maana hakusema sasa hivi ugonjwa huo ni kama mafua UK, bali June , sasa hivi ni April na kuna lockdown ya nguvu.
Soma uelewe ndugu yangu sio kushabikia tu ujinga.
 
Wapi Prof. Joyce Ndalichako
Nipe tofauti Kati ya Reading and Speaking.Unajua hakuna anayependa kubagua Serikali kwani Serikali zote zimetokana na Mungu Mtasababisha hata tusiokuwa na itikadi fulani tuanze kuwakataa kwa propaganda za kijinga kama hizi ebu tuacheni tupumzike bado tuna Majonzi Makubwa hasa sisi Watanzania masikini.
 
Ni upumbavu kukandia watu wanaojua kingereza kuwa ni watumwa
Hata sisi makapuku kama tunataka kazi nzuri ya kuishi maisha ya kujikimu na familia yako, lazima masharti hiyo kazi ujue kingereza, hata kama ni ya serikali achilia mbali kazi mashirika ya nje yenye mshahara mzuri.
Kama hujui jifunze lakini usilete za sungura sizitaki mbichi hizi...........
 
Hv mkuu waganda si kama sisi2 sasa vingereza vya nn sasa kama sikuwashobokea wazungu2
 
Bado tunasafari ndefu kama nchi.

Yaani mtu kuzungumza Kingereza kizuri nalo ni swala la kujisifia?
Kuna mambo mengine unaweza sema kama tumerogwa, tunapenda sana kusifia mambo au vitu visivyotusaidia chochote yaani utafikiri kiingereza kimewahi kutujengea hata kilomita moja ya barabara ya lami jinsi watu wanavyokishabikia,
 
Mtanzania hataishi kwa steshenare tu...
 

Zanzibar second language ni English ya mwnzo ni kiswahili hakuna lugha za makabila
 
Hivi kingereza kimekuwa sifa kwa waafrika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ushamba wa mzungu utatuua sisi

Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Utakuwa punguwani wa akili sio bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…