huska
JF-Expert Member
- May 1, 2019
- 292
- 336
kiswahilimkuu mm sijamlaumu mtu yeyote yule ila tu nimewasihi watu kujua lugha tofauti tofauti ,ndio maana hata wazungu wakija afrika wanajifunza kingereza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kiswahilimkuu mm sijamlaumu mtu yeyote yule ila tu nimewasihi watu kujua lugha tofauti tofauti ,ndio maana hata wazungu wakija afrika wanajifunza kingereza.
Phd, PhD, PhD, zingine ukiwa umependeza au una mvuto unapewa tu.Kwani alitunukiwa PhD ya lugha?
Kweli nyie majuha nimekimbia mbio mbio, kwani Ww bwasheeeee huwezi kusoma alivyokuwa anasoma Kiingereza kwann mnapenda kutoa taharuki kwa vitu vidogo jamani kweli hii Nchi inahitaji Maombi.Huyu ataongea ....zis ....zis....!
Waambie wakupe Formula ya BOYLE'S LAW kwa wanaojua KiingerezaSiyo wote wanaoongea Kiingereza wana elimu mkuu,Kiingereza ni lugha na wala siyo elimu.
Ukisema English ni Elimu utaonekana huna elimu
Kuna Warusi, Wataliano, Wafaransa hawazungumzi Kiingereza sio kwamba hawana elimu...KIINGEREZA NI LUGHA
Sema tu humpendi Hayati kwani angeshindwa kusoma????Jana Usiku nilipokea Meseji moja kutoka kwa Rafiki mkubwa kutoka Uganda akielezea Kufurahishwa Kwake na 'Kiingereza ' kizuri alichonacho Rais wa Tanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan.
"Mr. Generalist are sure that this President of yours Mama Samia she's not a Briton? She speaks fluent English, very articulate, attractive and comfortable with it unlike other so called intellectuals with their doctorates on hand "
Na Waganda hawakuishia hapa tu kwa huyu Rafiki yangu Kunitumia hiyo Meseji bali hata ukienda huko Ugandans On Twitter ( UOT ) Wachangiaji wengi wamevutiwa na Uwezo mkubwa wa Kuongea Kiingereza ' kilichonyooka ' cha Mheshimiwa Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan.
Wameenda mbali zaidi na Kuhoji inakuwa Marais wengine (hasa Barani Afrika) wana Elimu Kubwa lakini walipokuwa wakiwasikiliza (wanapowasikiliza) huwa wanaongea Viingereza 'vibovu vibovu' tu wakati Makabatini mwao wamehifadhi Vyeti vya ' PhD ' zao.
Kongole sana Kwako Rais Mama Samia.
Mazindu Msambule nadhani unatatizo la kusoma na kuelewa. Ni hivi, hapa tunavyoongea Uingereza wamefunga mipaka yao na kuzuia muingliano na nchi nyingi mpaka za ulaya. Wanachanja raia wao wote kwa nguvu kubwa wanaamini kuwa ikifika June 2021, watakuwa wamesha kamilisha chanjo kwa raia wao wote hivyo hakutakuwa tena na shida ya lock down na ugonjwa huo utakuwa kama mafua.Kuna nchi bado inaamini katika lockdown? Kamsikilize mshauri wa masuala ya afya wa Uingereza kuhusu corona then linganisha na hotuba za Magufuli kuhusu corona mwaka jana, namnukuu, "tutajuaje, kama liugonjwa tutaendelea kuishi nalo kama magonjwa mengine" Yule jamaa wa UK kasema exactly the same as of what Magufuli said.
Nipe tofauti Kati ya Reading and Speaking.Unajua hakuna anayependa kubagua Serikali kwani Serikali zote zimetokana na Mungu Mtasababisha hata tusiokuwa na itikadi fulani tuanze kuwakataa kwa propaganda za kijinga kama hizi ebu tuacheni tupumzike bado tuna Majonzi Makubwa hasa sisi Watanzania masikini.Wapi Prof. Joyce Ndalichako
Hv mkuu waganda si kama sisi2 sasa vingereza vya nn sasa kama sikuwashobokea wazungu2Jana Usiku nilipokea Meseji moja kutoka kwa Rafiki mkubwa kutoka Uganda akielezea Kufurahishwa Kwake na 'Kiingereza ' kizuri alichonacho Rais wa Tanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan.
"Mr. Generalist are sure that this President of yours Mama Samia she's not a Briton? She speaks fluent English, very articulate, attractive and comfortable with it unlike other so called intellectuals with their doctorates on hand "
Na Waganda hawakuishia hapa tu kwa huyu Rafiki yangu Kunitumia hiyo Meseji bali hata ukienda huko Ugandans On Twitter ( UOT ) Wachangiaji wengi wamevutiwa na Uwezo mkubwa wa Kuongea Kiingereza ' kilichonyooka ' cha Mheshimiwa Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan.
Wameenda mbali zaidi na Kuhoji inakuwa Marais wengine (hasa Barani Afrika) wana Elimu Kubwa lakini walipokuwa wakiwasikiliza (wanapowasikiliza) huwa wanaongea Viingereza 'vibovu vibovu' tu wakati Makabatini mwao wamehifadhi Vyeti vya ' PhD ' zao.
Kongole sana Kwako Rais Mama Samia.
Kuna mambo mengine unaweza sema kama tumerogwa, tunapenda sana kusifia mambo au vitu visivyotusaidia chochote yaani utafikiri kiingereza kimewahi kutujengea hata kilomita moja ya barabara ya lami jinsi watu wanavyokishabikia,Bado tunasafari ndefu kama nchi.
Yaani mtu kuzungumza Kingereza kizuri nalo ni swala la kujisifia?
sasa tunapaswa kumuacha hayati Magufuli apumzike.Nafuu uishie Certificate kulikokuwa na PhD Fake na kiingereza cha Magufuli
Mtanzania hataishi kwa steshenare tu...Tanzania maduka ya stationery yote yamejaa vifaa vya kuandikia toka China ambao hawajawahi kututawala.Vifaa havitoki Kwa waingereza au wajerumani waliotutawala vinatoka china
Soko lote la stationery nchi nzima asilimia 99 limeshikwa na Mchina sio mwingereza wala mjerumani
Hakuna nyumba Tanzania isiyokuwa na bidhaa za mchina kuanzia vifaa vya ujenzi, umeme hadi vya jikoni hata iwe ikuluMtanzania hataishi kwa steshenare tu...
Na unaona sifa...Hakuna nyumba Tanzania isiyokuwa na bidhaa za mchina kuanzia vifaa vya ujenzi, umeme hadi vya jikoni hata iwe ikulu
then don"t blame others kwa kushindwa kujua kiingeteza hata wao izo sorry wanaziweza kuzitoa baada ya kukosea
Lugha ya wengine ni ya wengine tuheshimiane tuvumiliane.Kama mtu anaekeweka anamaanisha nini akiongea lugha ya wengine inatosha.Ukikomaa kuwa mtu aongee kingerezs fluently wakati kingereza sio lugha yake ya kwanza pekee ka mwingereza na mumarekani unamuonea.
Mimi kingereza nakijua kwa kiasi changu kwangu ni lugha ya tatu
Ninaongea kilugha fluently.Shuleni nikafunzwa kiswahili nakiongea Fluently.Secondary nk nikasoma kiingereza kama lugha ya tatu.Kunilinganisha kiingereza changu na Mwingereza na mmarekani ambaye toka kuzaliwa anaongea lugha hiyo tu si haki
Magufuli alikua anaongea kizilankende na kihaya na kisukuma na kiswahili fluently kiingereza ilikuwa lugha yake ya tano alijitahidi kiasi chake.Sijui Mama Samia English ni lugha yake ya ngapi.
Utakuwa punguwani wa akili sio bureJana Usiku nilipokea Meseji moja kutoka kwa Rafiki mkubwa kutoka Uganda akielezea Kufurahishwa Kwake na 'Kiingereza ' kizuri alichonacho Rais wa Tanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan.