Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mwanamke kilaza hajui English.Kwa kuwa wewe na ungwini wako umezoea kukariri unafikiri unaweza kukariri hisabati pia?
kati yake na yule aliyeweka div 5 nani aliyeharibu mfumo wa elimu?
Vipengele vitatusaidia nini? English ndo mpango mzima. Na aliyekuwa hajui English kaondoka na harudi tenaaaaaaaaaa milele ni mwendo wa kutafuta hela kwa utash tukiflow lugha ya maendeleo ENGLISH!Badala ya kuhoji vipengele vya mkataba aliosaini unasifia kingereza...
Lakini kaondoka kwa aibu huku hajui English 😂😂😂😂😂😂mwenzio aliweza hata kuongoza nchi wewe kimekusaidiae tuanzie hapo
Deleted the post.Jana Usiku nilipokea Meseji moja kutoka kwa Rafiki mkubwa kutoka Uganda akielezea Kufurahishwa Kwake na 'Kiingereza ' kizuri alichonacho Rais wa Tanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan.
"Mr. Generalist are you sure that this President of yours Mama Samia she's not a Briton? She speaks fluent English, very articulate, attractive and comfortable with it unlike other so called intellectuals with their doctorates on hand "
Na Waganda hawakuishia hapa tu kwa huyu Rafiki yangu Kunitumia hiyo Meseji bali hata ukienda huko Ugandans On Twitter ( UOT ) Wachangiaji wengi wamevutiwa na Uwezo mkubwa wa Kuongea Kiingereza ' kilichonyooka ' cha Mheshimiwa Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan.
Wameenda mbali zaidi na Kuhoji inakuwa Marais wengine (hasa Barani Afrika) wana Elimu Kubwa lakini walipokuwa wakiwasikiliza (wanapowasikiliza) huwa wanaongea Viingereza 'vibovu vibovu' tu wakati Makabatini mwao wamehifadhi Vyeti vya ' PhD ' zao.
Kongole sana Kwako Rais Mama Samia.
Mimi sina digrii [kama ulivyodai na unavyoamini].Can you tag Nyani Ngabu please
Ndiyo watu wajue kwanini Dr. John Pombe Joseph Magufuli(HAYATI)alikuwa AKILAZIMISHA EAST AFRICA AFRICA YOTE watu waongee Kiswahili ili kuficha UDHAIFU WAKE kwenye lugha ya Malkia....!!!Jana Usiku nilipokea Meseji moja kutoka kwa Rafiki mkubwa kutoka Uganda akielezea Kufurahishwa Kwake na 'Kiingereza ' kizuri alichonacho Rais wa Tanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan.
"Mr. Generalist are you sure that this President of yours Mama Samia she's not a Briton? She speaks fluent English, very articulate, attractive and comfortable with it unlike other so called intellectuals with their doctorates on hand "
Na Waganda hawakuishia hapa tu kwa huyu Rafiki yangu Kunitumia hiyo Meseji bali hata ukienda huko Ugandans On Twitter ( UOT ) Wachangiaji wengi wamevutiwa na Uwezo mkubwa wa Kuongea Kiingereza ' kilichonyooka ' cha Mheshimiwa Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan.
Wameenda mbali zaidi na Kuhoji inakuwa Marais wengine (hasa Barani Afrika) wana Elimu Kubwa lakini walipokuwa wakiwasikiliza (wanapowasikiliza) huwa wanaongea Viingereza 'vibovu vibovu' tu wakati Makabatini mwao wamehifadhi Vyeti vya ' PhD ' zao.
Kongole sana Kwako Rais Mama Samia.
Tunaacha kutumia Kiswahili tunashangilia lugha ya wakoloni.
wewe binafsi kiingereza kimekusaidia nini katika maisha yako
Watu wanamsifia lugha. Badala ya kusifia dili ya bomba la mafuta. Hongera JPM
Hakusoma eliu ya chini ya miembe yule na hana tabia za kutafuta excuses kama elimu bongo ilivyo.Nadhani aliandikiwa akawa anasoma kitu ambacho hata Mtu wa kawaida anaweza ngoja waje wageni kutoka Magharibi tumuone
Wow!Mimi sina digrii [kama ulivyodai na unavyoamini].
Mbona unanishobokoea hivyo?
Umeni-tag hapo ili iweje!?
Ili nijue kwamba nimo kichwani mwako?
FOH
Mtoa maada wewe ni mshamba ni dalili za kua mtumwa kichwani Jambo la lugha linakufanya umuone mtu wa maana zaidi yakile alichokiongea yaani ungekuja hapa nakusema mambo aliyosema ningekuona wa maana.
Wabongo sijui vp ko kwenye kingereza ndio mmeona pana tatizo kubwa lakutufanya tuwe underdeveloped kingereza sawa ni muhimu lakini haipaswi kuonekana kua ndio kitu ambacho kitawakomboa watu mazima kwani hicho hicho kingereza Cha mtu mweusi si ndio kinatumika kusahini mikataba ya kipumbavu.
Badala ya kuhoji vipengele vya mkataba aliosaini unasifia kingereza...
Hiyo pronounciation yako ni kwa mujibu wa British, American au Australian accent?
Shukrani sana mkuu..Umetoa hoja nzuri na yenye mashiko
Hata hilo nalo tunalikosea sana kulitamka vyema sababu ya hicho kiishio "--- mine" (main), utasikia mtu anatamka "ditamain" badala ya "ditamin"., kiingereza wakati mwingine hovyo kweli.[emoji12]