myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 166,767
- 705,461
Vikao alivyo mwakilisha JPM alikuwa anaongea pia vizuri tuNadhani aliandikiwa akawa anasoma kitu ambacho hata Mtu wa kawaida anaweza ngoja waje wageni kutoka Magharibi tumuone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vikao alivyo mwakilisha JPM alikuwa anaongea pia vizuri tuNadhani aliandikiwa akawa anasoma kitu ambacho hata Mtu wa kawaida anaweza ngoja waje wageni kutoka Magharibi tumuone
No video?Ametoa hotuba nzuri ya dakika nane alopokuwa Uganda.
Anaongea fluently and she is apparently mentally tranquil.
Na hili neno, "determine" je wanalipatia?Hili neno watu wengi sana huwa wanalikosea na hii inatokana na neno la msingi "invite" kutamkwa "invai-ti" hiyo ndiyo sababu "invitation" inatamkwa kimakosa invai-teshen badala ya "inviteshen". Hii ni common mistake kwa non natives wengi wa lugha ya kiingereza.
Ametoa hotuba nzuri ya dakika nane alopokuwa Uganda.
Anaongea fluently and she is apparently mentally tranquil.
Nchi ya Tanzania ni nzuri Sana, haikustahili kuongozwa na mtu katili kama yuleKumbe tuliokuwa na dhamira hii tulikuwa ni wengi hivi? Ana bahati mno kwani alitukera na Kuliharibu sana tu hili Taifa letu.
Hiyo pronounciation yako ni kwa mujibu wa British, American au Australian accent?Kasoro tu invitation na demise. Invitation hutamkwa inviteshen si invaiteshen, na demise hutamkwa dimaiz si dimis!
Hata mwendazake Magufuli alikuwa anavuta bangi. Kama unabisha muulize Sugu wakiwa wote wabunge pale DodomaBangi haijawahi kumuacha mtu salama
Ametoa hotuba nzuri ya dakika nane alopokuwa Uganda.
Anaongea fluently and she is apparently mentally tranquil.
Tuna furaha ya kama nchi huru sasa kutoka kwenye utawala wa SUKUMA GANG, acha tufurahi kwa kila kitu cha Mama...Bado tunasafari ndefu kama nchi.
Yaani mtu kuzungumza Kingereza kizuri nalo ni swala la kujisifia?
Na hili neno, "determine" je wanalipatia?
Mwendazake hata cha kuomba maji alikuwa hawezi.Bado tunasafari ndefu kama nchi.
Yaani mtu kuzungumza Kingereza kizuri nalo ni swala la kujisifia?
mwenzio aliweza hata kuongoza nchi wewe kimekusaidiae tuanzie hapoMwendazake hata cha kuomba maji alikuwa hawezi.
Hiyo helufi i inatupaga shida sana kwenye matamshi ya kiingereza . Ili kuwa kuwa kuendana nayo vizuri inabidi upige mazoezi mengi ya kuongea maneno ya kiingereza kwa kurejea kwenye kamsi.Ana lafudhi nzuri lakini alikosea matamshi ya maneno mawili ya Kiingereza. Neno "Invitation" linatamkwa inviteshen siyo invaiteshen. Maana yake ni mwaliko.
Pia neno "demise" linatamkwa dimaiz siyo dimis. Maana yake ni kufariki
hata akipokwa karatasi bado atajitahidi tu kumbuka kafanya kazi WFP miaka 9 ambapo lugha ya kazi ni iingereza na kujibizana kwa emails ni kiingereza so kiingereza kwa kiasi kikubwa atakuwa anakimudu huwezi linganisha na marehemu jiwe mwendazakeRekebisha kidogo alisema inze ze ze ze ze reki
Ingine We politishani we toku tpku toku ...
Mama analafudhi nzuri yakiinglish japo sijajua akinyang'anywa karatasi anafloo au ze ze ze nyingi!!
Lugha rasmi ya kiingereza ni British no iliyopewa I.P.A yaani International Pronunciation Accent.Hiyo pronounciation yako ni kwa mujibu wa British, American au Australian accent?
American, British, Australian accents zote zinaheshimika.Lugha rasmi ya kiingereza ni British no iliyopewa I.P.A yaani International Pronunciation Accent.