Rais Samia Suluhu, Waganda wamekupigia 'Salute' kwa Kiingereza chako kizuri japo huna PhD yoyote

Ni kweli kabisa!
 
PhD halali utaijua na Diploma Halali utaijua hata certificate halali utaijua.
 
Hicho kiingereza kimeongeza pesa ngapi mfukoni?
 
Ndalichako amaweza akaomba ED ukimuambia akawakilishe mkutano ambao wanaongea Kiingereza
Usiniambie kama Mama Le Prof Joyce hakijui vyema kizungu hahahahahahah nacheka sana eti anaweza kuomba ED. Hawa wasomi wetu aisee kuna wengi nawajua aisee tena MaPHD holder hawajui kbs lugha hii.
 
Aliyekuambia elimu ya mtu inapimwa kwa kujua kiingereza nani?
China tuiweke wapi sasa wakati tayari wana vyombo vyao huko anga za mbali.
 
Hii post unataka isomwe na watu wa elimu gani eti? Tunataka hoja siyo lugha....
 
Nafuu uishie Certificate kulikokuwa na PhD Fake na kiingereza cha Magufuli
Wewe unayejua kiingereza una hata ubarozi wa nyumba kumi au sehemu gani pameandikwa PHD lazima uwe unaongea kiingereza?
 
That is nothing but a colonial hangover !
 
Sawa mkuu.
 
Aliyekuambia elimu ya mtu inapimwa kwa kujua kiingereza nani?
China tuiweke wapi sasa wakati tayari wana vyombo vyao huko anga za mbali.

Ningeshangaa sana kama Uzi huu usingevamiwa na wasiokijua ' Kiingereza ' na najua mtajitokeza wengi tu.

Ninachojua tu ni kwamba duniani kuna Lugha nyingi na nzuri ila hakuna ambayo hadi hivi leo imeweza kuwa ni Kiungo ' Kikuu ' cha Mataifa yote duniani iwe Kiuchumi na hata Kidiplomasia kama cha Kiingereza.

Kama Mchina, Mrusi, Mjerumani na Mchina pamoja na Jeuri zao zote za kuwa ' Super Powers ' ulimwenguni na Lugha zao pia ni Kubwa lakini bado hao hao wanakizungumza Kiingereza Wewe Mpuuzi Mmoja wa Kiswahili usiye na mbele wala nyuma ni nani ukipinge?

Itatuchukua muda mrefu sana na huenda pia hata isitokee kwa Mataifa mengi duniani Kuachana na Lugha ya Kiingereza kwani kama kuna Mafanikio makubwa ambayo nchi ya Uingereza ilipata tokea Kipindi cha ' Colonialism ' ni kuhakikisha Lugha yao si tu inaendelea kutumika bali pia inapendwa na kuendelea Kuaminiwa na Vizazi na Vizazi.

Kama Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere pamoja na kutowakubali Wazungu ( hasa kwa Sera zao na Matendo yao kwa Waafrika ) lakini Mwenyewe kwa Mdomo wake ( na Clips zipo Mitandaoni ) alikiri kuwa Kiingereza ni Lugha muhimu, siyo ya Kuepukwa duniani na ya Kibiashara zaidi.
 


Hebu tamka; Phoenix , na photocopy, phylum, pia Success na Excess , Island,Would, usually, pipe, people. Paper. Cattle, kettle, to, two.nk

Kiswahili au Kirusi na baadhi ya lugha kama kiarabu kinachoandikwa ndicho hicho hicho kinachosomwa.

Kiingereza ni hovyo.
 
Atakayeweka na ya jiwe akitiririka kingreza itapendeza.sitasahau Siku ile aliposema he don't care
 
Nadhani aliandikiwa akawa anasoma kitu ambacho hata Mtu wa kawaida anaweza ngoja waje wageni kutoka Magharibi tumuone
💯%!

Alikuwa anasoma. Na licha ya kusoma, kuna maneno marahisi sana ambayo alikosea kuyatamka.

Hayuko hodari wa kukizungumza.

Lakini nadhani Kiingereza chake kiko vizuri zaidi ya kile cha Magufuli.

I’m not that impressed:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…