Mkuu,sijapanic na sina sababu ya kupanic. Sema tu chuki zako binafsi,hapa si kijiwe cha longolongo. Sasa mwenzangu, uwenyekiti wa mtaa wenyewe huna kigezo hata kimoja,unalalama kisa raisi kasoma hotuba. Je, tushabikie ujinga wako? Si ukaende huko nyani wanakoongea lugha moja labda utaenjoy?Nani kapinga labda wewe, kwanin upanic lkn hapa ni kijiweni wee vp
Nani kapinga labda wewe, kwanin upanic lkn hapa ni kijiweni wee vp
Isije kuwa labda ni kitete?💯%!
Alikuwa anasoma. Na licha ya kusoma, kuna maneno marahisi sana ambayo alikosea kuyatamka.
Hayuko hodari wa kukizungumza.
Lakini nadhani Kiingereza chake kiko vizuri zaidi ya kile cha Magufuli.
I’m not that impressed:
Lakini nadhani Kiingereza chake kiko vizuri zaidi ya kile cha Magufuli.
I’m not that impressed:
Thank you!Ana lafudhi nzuri lakini alikosea matamshi ya maneno mawili ya Kiingereza. Neno "Invitation" linatamkwa inviteshen siyo invaiteshen. Maana yake ni mwaliko.
Pia neno "demise" linatamkwa dimaiz siyo dimis. Maana yake ni kufariki
I am not impressed by her English as some people are.Do you mean, Would you be impressed if her English were poorer than that of Magu??
Samia kingereza anaflow nakumbuka amesoma na mkalimani kama sikoseiAmetoa hotuba nzuri ya dakika nane alopokuwa Uganda.
Anaongea fluently and she is apparently mentally tranquil.
Marekani kuna accent moja?American, British, Australian accents zote zinaheshimika.
Huwezi kumwabia Mmarekani eti wewe accent yako siyo standard, hawezi kukuelewa!
Ana lafudhi nzuri lakini alikosea matamshi ya maneno mawili ya Kiingereza. Neno "Invitation" linatamkwa inviteshen siyo invaiteshen. Maana yake ni mwaliko.
Pia neno "demise" linatamkwa dimaiz siyo dimis. Maana yake ni kufariki
Utabishiwa mkuu,Marekani kuna accent moja?
Mkuu matamshi ya kiingereza sio lazima yote yawe universal kwamba neno fulani ni lazima litamkwe namna fulani.Kasoro tu invitation na demise. Invitation hutamkwa inviteshen si invaiteshen, na demise hutamkwa dimaiz si dimis!
Hahah...hili nakataaWazanzibar kwa ngeli wapo vizuri mkuu tofauti na wanyamwezi.(Wabara).
Ya walio wengi!Marekani kuna accent moja?
Hivi Marekani accent ipi ni ya walio wengi? New York accent? Philly accent? Minnesota [midwest]?Ya walio wengi!
Natambua hata Great Britain kuna accent tofauti, scottish, Irish wana namna yao ya uzungumzaji tofautitofauti
Akiongea sir Ferguson na Tony Blair ni watu wawili tofauti
Nadhani aliandikiwa akawa anasoma kitu ambacho hata Mtu wa kawaida anaweza ngoja waje wageni kutoka Magharibi tumuone
Kujua English na Kiswahili fasaha ni muhimu. Ila sio kivile, ni message ifike. Tunatamka maneno kutokana na background zetu watu wote duniani.Ya walio wengi!
Natambua hata Great Britain kuna accent tofauti, scottish, Irish wana namna yao ya uzungumzaji tofautitofauti
Akiongea sir Ferguson na Tony Blair ni watu wawili tofauti
Hivi kusoma hotuba Ile Kama umeingia madarasani, ugumu uko wapi?_ ama nasema uwongo ndugu zangu?
Definitely better by far!Thank you!
At least mpo ambao mnajua jua na mlio na attention to detail!
Si hodari kivile. Aliye hodari wa Kiingereza hawezi kushindwa matamshi mepesi namna ile!
Kama ‘invitation’ na ‘demise’ tu yamemshinda kuyatamka wakati akisoma, pata picha akiwa anaongea extemporaneously....
I wasn’t impressed at all. However, she is better than her predecessor, by a mile.
Hebu tamka; Phoenix , na photocopy, phylum, pia Success na Excess , Island,Would, usually, pipe, people. Paper. Cattle, kettle, to, two.nk
Kiswahili au Kirusi na baadhi ya lugha kama kiarabu kinachoandikwa ndicho hicho hicho kinachosomwa.
Kiingereza ni hovyo.
Na maneno anayo yatamka ya kiswahili kwa lafudhi ya kizenji uwe unarekebisha mkuu ili tuweze kujifunza kutoka kwako mtaalamu wa lughaAna lafudhi nzuri lakini alikosea matamshi ya maneno mawili ya Kiingereza. Neno "Invitation" linatamkwa inviteshen siyo invaiteshen. Maana yake ni mwaliko.
Pia neno "demise" linatamkwa dimaiz siyo dimis. Maana yake ni kufariki