Rais Samia Suluhu, Waganda wamekupigia 'Salute' kwa Kiingereza chako kizuri japo huna PhD yoyote

Rais Samia Suluhu, Waganda wamekupigia 'Salute' kwa Kiingereza chako kizuri japo huna PhD yoyote

Nani kapinga labda wewe, kwanin upanic lkn hapa ni kijiweni wee vp
Mkuu,sijapanic na sina sababu ya kupanic. Sema tu chuki zako binafsi,hapa si kijiwe cha longolongo. Sasa mwenzangu, uwenyekiti wa mtaa wenyewe huna kigezo hata kimoja,unalalama kisa raisi kasoma hotuba. Je, tushabikie ujinga wako? Si ukaende huko nyani wanakoongea lugha moja labda utaenjoy?
Nani kapinga labda wewe, kwanin upanic lkn hapa ni kijiweni wee vp
 
💯%!

Alikuwa anasoma. Na licha ya kusoma, kuna maneno marahisi sana ambayo alikosea kuyatamka.

Hayuko hodari wa kukizungumza.

Lakini nadhani Kiingereza chake kiko vizuri zaidi ya kile cha Magufuli.

I’m not that impressed:
Isije kuwa labda ni kitete?
 
Ana lafudhi nzuri lakini alikosea matamshi ya maneno mawili ya Kiingereza. Neno "Invitation" linatamkwa inviteshen siyo invaiteshen. Maana yake ni mwaliko.

Pia neno "demise" linatamkwa dimaiz siyo dimis. Maana yake ni kufariki
Thank you!

At least mpo ambao mnajua jua na mlio na attention to detail!

Si hodari kivile. Aliye hodari wa Kiingereza hawezi kushindwa matamshi mepesi namna ile!

Kama ‘invitation’ na ‘demise’ tu yamemshinda kuyatamka wakati akisoma, pata picha akiwa anaongea extemporaneously....

I wasn’t impressed at all. However, she is better than her predecessor, by a mile.
 
Wewe umesikia hayo maneno mawili tu??--- basi na wewe una masikio mabovu au matamshi yako ni mabovu katika baadhi ya maneno ya kiingereza.

Mfano neno World alitamka "wold" na neno Worth alitamka "woth", hukusikia??.
 
Kasoro tu invitation na demise. Invitation hutamkwa inviteshen si invaiteshen, na demise hutamkwa dimaiz si dimis!
Mkuu matamshi ya kiingereza sio lazima yote yawe universal kwamba neno fulani ni lazima litamkwe namna fulani.

Mfano ni wamarekani na wabritish wanavyotamka baadhi ya maneno na considering wao ndio wenye lugha zao.

Mfano neno Can't utakuta mmarekani anatamka "kent" ila mbritish anatamka kama lilivyoandikwa "kant".
Neno lingine ni Cut vilevile utakuta mmarekani anatamka "Kat" na mbritish anatamka kama lilivyoandikwa "Kut".

Na at the same time wote wapo sahihi huwezi sema wamekosea.

Na hapo kwenye invitation mama samia ametamka invaiteshen sababu kuna I kwenye hilo neno so technically hajakosea.

So mama samia yupo vizuri na sahihi.
 
Hivi kusoma hotuba Ile Kama umeingia madarasani, ugumu uko wapi?_ ama nasema uwongo ndugu zangu?
 
Ya walio wengi!

Natambua hata Great Britain kuna accent tofauti, scottish, Irish wana namna yao ya uzungumzaji tofautitofauti

Akiongea sir Ferguson na Tony Blair ni watu wawili tofauti
Hivi Marekani accent ipi ni ya walio wengi? New York accent? Philly accent? Minnesota [midwest]?
 
Nadhani aliandikiwa akawa anasoma kitu ambacho hata Mtu wa kawaida anaweza ngoja waje wageni kutoka Magharibi tumuone

WAKIJA ATAONGEA NAO KISWAHILI, KUNA WAKALIMANI WAZULI TU!
 
Ya walio wengi!

Natambua hata Great Britain kuna accent tofauti, scottish, Irish wana namna yao ya uzungumzaji tofautitofauti

Akiongea sir Ferguson na Tony Blair ni watu wawili tofauti
Kujua English na Kiswahili fasaha ni muhimu. Ila sio kivile, ni message ifike. Tunatamka maneno kutokana na background zetu watu wote duniani.

Wazungu hawajali kama umekosea, wenyewe wanakosea sana tu.

UK, kuna accent nyingi sana, mfano Liverpool, accent, Scottish, Irish, Manchester, Birmingham, Welsh, Yorkshire, Cumbria, Stoke, Cornwall, Bristol, Middlesbough, Newcastle, Cockney, London (Proper kama ya Queen au ile ya mtaani).
 
Hivi kusoma hotuba Ile Kama umeingia madarasani, ugumu uko wapi?_ ama nasema uwongo ndugu zangu?

Ni kitu rahisi sana. Niliona alikuwa nervous kidogo, understandable so. Ni sisi Watanzania we make it big deal.

Kenyatta, Museveni, Kagame, premier league managers kama Mourinho, Guardiola, Ancelloti, Bielsa, Wenger, Arteta,wote wana accent tofauti wanakosea sana tu.

Muhimu message ifike, ieleweke.
 
Thank you!

At least mpo ambao mnajua jua na mlio na attention to detail!

Si hodari kivile. Aliye hodari wa Kiingereza hawezi kushindwa matamshi mepesi namna ile!

Kama ‘invitation’ na ‘demise’ tu yamemshinda kuyatamka wakati akisoma, pata picha akiwa anaongea extemporaneously....

I wasn’t impressed at all. However, she is better than her predecessor, by a mile.
Definitely better by far!
 
Ni kweli. Tukakuta "island" siyo isiland bali ailand, tukapotea. Debut siyo dibat bali debyu, tukazidi kupotea kabisa!
Hebu tamka; Phoenix , na photocopy, phylum, pia Success na Excess , Island,Would, usually, pipe, people. Paper. Cattle, kettle, to, two.nk

Kiswahili au Kirusi na baadhi ya lugha kama kiarabu kinachoandikwa ndicho hicho hicho kinachosomwa.

Kiingereza ni hovyo.
 
Ana lafudhi nzuri lakini alikosea matamshi ya maneno mawili ya Kiingereza. Neno "Invitation" linatamkwa inviteshen siyo invaiteshen. Maana yake ni mwaliko.

Pia neno "demise" linatamkwa dimaiz siyo dimis. Maana yake ni kufariki
Na maneno anayo yatamka ya kiswahili kwa lafudhi ya kizenji uwe unarekebisha mkuu ili tuweze kujifunza kutoka kwako mtaalamu wa lugha
 
Back
Top Bottom