Gwappo Mwakatobe
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 1,730
- 2,230
Wewe umesikia hayo maneno mawili tu??--- basi na wewe una masikio mabovu au matamshi yako ni mabovu katika baadhi ya maneno ya kiingereza.
Mfano neno World alitamka "wold" na neno Worth alitamka "woth", hukusikia??.
Hapa ndio nashindwa kuwaelewa wabongo,When mentally enslaved black people judge your efficiency by your ability to speak a foreign language.[emoji3517][emoji3517][emoji3517][emoji3517][emoji3517][emoji3517][emoji3517][emoji3517][emoji3517][emoji3517][emoji3517]
Mkuu matamshi ya kiingereza sio lazima yote yawe universal kwamba neno fulani ni lazima litamkwe namna fulani.
Mfano ni wamarekani na wabritish wanavyotamka baadhi ya maneno na considering wao ndio wenye lugha zao.
Mfano neno Can't utakuta mmarekani anatamka "kent" ila mbritish anatamka kama lilivyoandikwa "kant".
Neno lingine ni Cut vilevile utakuta mmarekani anatamka "Kat" na mbritish anatamka kama lilivyoandikwa "Kut".
Na at the same time wote wapo sahihi huwezi sema wamekosea.
Na hapo kwenye invitation mama samia ametamka invaiteshen sababu kuna I kwenye hilo neno so technically hajakosea.
So mama samia yupo vizuri na sahihi.
Na maneno anayo yatamka ya kiswahili kwa lafudhi ya kizenji uwe unarekebisha mkuu ili tuweze kujifunza kutoka kwako mtaalamu wa lugha
R na L pia zinatupa tabu katika matamshi na uandishi, mfano ni mwanzo wa hii reply, pia tufanyie kazi hili.Hiyo helufi i inatupaga shida sana kwenye matamshi ya kiingereza . Ili kuwa kuwa kuendana nayo vizuri inabidi upige mazoezi mengi ya kuongea maneno ya kiingereza kwa kurejea kwenye kamsi.
Kuna mengine mengi yanatupaga shida wabongo kama vile ; 1. Build~ inatamkwa bild na sio biulid. 2. Determine ~inatamkwa ditamin, sio ditamain. 3. Passed ~ inatamkwa pasit na sio pasid. 4. Burry ( maana yake ni mazishi) inatamkwa beri na sio bari. To mention few.
Sijui aliye waaminisha ni nani, au ni agenda za wamiliki wa English medium?😂😂I have a dream, one day people will understand that English is a language and not a measure of intelligent.
haha we madam, kumbe kaumri kameenda age kidogo eeh..Huyo mama anajua. Aliwahi kuwa mshereheshaji katika semina moja nami nilishiriki zamani wakati nasoma O level Lumumba sec school. Ana accent nzuri. By then she was young and very beautiful. Jicho jichoo
Mama katema yai utadhani kasoma IST...Ametoa hotuba nzuri ya dakika nane alopokuwa Uganda.
Anaongea fluently and she is apparently mentally tranquil.
Kabisa, tena sana, kinyaturu chako kutoka huko barabara ya vumbi nani anataka!Bado tunasafari ndefu kama nchi.
Yaani mtu kuzungumza Kingereza kizuri nalo ni swala la kujisifia?
Hata huyo hajui kidhungu piaWapi Prof. Joyce Ndalichako
Ndiyo. Sasa tusifie nini? Kutojua kuzungumza?Bado tunasafari ndefu kama nchi.
Yaani mtu kuzungumza Kingereza kizuri nalo ni swala la kujisifia?
Pia alikuwa ma tatizo na neno " reiterate"Wewe umesikia hayo maneno mawili tu??--- basi na wewe una masikio mabovu au matamshi yako ni mabovu katika baadhi ya maneno ya kiingereza.
Mfano neno World alitamka "wold" na neno Worth alitamka "woth", hukusikia??.
Ila yule dhalim hata akiandikiwa alikuwa anashindwa kwani hata matamshi ilikuwa shida sana.Nadhani aliandikiwa akawa anasoma kitu ambacho hata Mtu wa kawaida anaweza ngoja waje wageni kutoka Magharibi tumuone
Hata hilo nalo linakupa jakamoyo?Eti anaongea fluently...,!!!!??
Naam. Alhamdulillah [emoji1787]haha we madam, kumbe kaumri kameenda age kidogo eeh..
heshimaaa [emoji113]
That is nothing but a colonial hangover !
uingereza inaizidi nini China?