Mimi naikumbuka FENT FODAna lafudhi nzuri lakini alikosea matamshi ya maneno mawili ya Kiingereza. Neno "Invitation" linatamkwa inviteshen siyo invaiteshen. Maana yake ni mwaliko.
Pia neno "demise" linatamkwa dimaiz siyo dimis. Maana yake ni kufariki
Inze reeekiiiiNa hiri narisema kwa zati kabisa
Kusoma nako kipaji mkuu.......Nadhani aliandikiwa akawa anasoma kitu ambacho hata Mtu wa kawaida anaweza ngoja waje wageni kutoka Magharibi tumuone
hahahaa kuanzia leo ntakuwa nakusalimia pm kila asubuhi kwa shkamoo kubwa sana ..Naam. Alhamdulillah [emoji1787]
Mkuu, ustaarabu wala sio kutukana, una miaka mingapi, tuanzie hapo kwanza. Hivi pamoja na Magufuli kuchukiwa na wengi, but unaweza uka question professional yake kweli? Kua mkweli. By the way, hivi unadhani kwanini Waganda wamemshangilia mama kwa kutema yai la maana? Kingereza ni tatizo kubwa sana kwa Watanzania, angekua rais au kiongozi yeyote wa Kenya kaenda Uganda na kuongea Kingereza wala usingeona kama is one of the news, now it is news because Tanzania inaeleweka, Kingereza kuongea ni shida bila kujali una cheti gani. Zipo nyuzi humu miaka ya Kikwete, JK alikua anachemka na kingereza chake huko nchi za watu, kuna moja (ipo humu jukwaani ) alisikika akisema, "we will continue manufacturing teachers" na watu tukasuta humu. NImekuuliza umri wako cause huenda haya huyakumbuki, ulikua shule dogoAcha ushamba na ujinga. Kama unazungumzia wale wahandisi robots sawa. Utajua kama anacopy na kupaste. Utaendeshaje semina, kongamano na mhadhara wa kisayansi bila ya command ya Kiingereza? Kweli mhadhiri katika medicine asijue Kiingereza? Thesis inaandikwa katika lugha gani? Research inaandikwa na kuwasilishwa katika lugha gani? Pale kutoka kidato cha pili kuingia cha tatu unakuta mwanafunzi wa kwanza hadi wa tano katika somo la Kiingereza ni wale watakao chukua masomo ya sayansi! Unakutana na injinia uchwara kama wewe ndio unakuja kutolea mifano jf! Toa aibu hapa.
You go inside the prison?Wapi Prof. Joyce Ndalichako
Lugha huwezi kuijua kama hujaisoma,labda kama umezaliwa ughaibuni.Siyo wote wanaoongea Kiingereza wana elimu mkuu,Kiingereza ni lugha na wala siyo elimu.
Ukisema English ni Elimu utaonekana huna elimu
Kuna Warusi, Wataliano, Wafaransa hawazungumzi Kiingereza sio kwamba hawana elimu...KIINGEREZA NI LUGHA
Ndalichako na Mwendazake hawachekani kwenye English language. Halafu wote wanadai Wana PhD. You wonder walikuwa wanawasilisha vipi utetezi wa Thesis zaoUsiniambie kama Mama Le Prof Joyce hakijui vyema kizungu hahahahahahah nacheka sana eti anaweza kuomba ED. Hawa wasomi wetu aisee kuna wengi nawajua aisee tena MaPHD holder hawajui kbs lugha hii.
Nawe tumia akili zako vizuri. Hivi inakujia akikini kweli mtu mwenye PhD ambaye maandiko yake yote ya Masters na PhD yenyewe yalikuwa yanafanywa kwa Kiingereza na yanawasilishwa kwa Kiingereza kwenye panel.Wewe unayejua kiingereza una hata ubarozi wa nyumba kumi au sehemu gani pameandikwa PHD lazima uwe unaongea kiingereza?
Tuwe wakweli.Nafuu uishie Certificate kulikokuwa na PhD Fake na kiingereza cha Magufuli
Kuzaa sana bila kufikiria miaka 75 baadaye ,hadi mudahuu corono inaonyesha inaua sana wazee kuliko vijana...wanavoona wanakaribiwa kushikwa kwautengenezaji corona ,wamesambaza na kinachoatjiri na vijana kama wewe....staki nikiangalie kiingereza kama lugha ya taifa Fulani kama lugha,kama tutaangalia taifa,China inaizidi nn U.S.Auingereza inaizidi nini China?
R na L pia zinatupa tabu katika matamshi na uandishi, mfano ni mwanzo wa hii reply, pia tufanyie kazi hili.
Tunampongeza sana rais wetu na ni jambo zuri sana kuona rais wetu anapata sifa ndani na nje ya nchi.Ametoa hotuba nzuri ya dakika nane alopokuwa Uganda.
Anaongea fluently and she is apparently mentally tranquil.
Magufuli alikopi Thesis ya Dr. J.Y. Philip na alisimamiwa na Prof. Buchweishaija. Na baada ya yeye kuwa Rais akamteua Prof Buchweishaija kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara ili kumziba mdomo. Ni RUSHWA hiyoTuwe wakweli.
Hili ni suala fikirishi sana.
Unakuwa na Shahada ya Uzamivu, uliyosoma kwa lugha ya Kiingereza, wakati Kiingereza chenyewe hukijui!
Je, hiyo Shahada yako, ni Shahada kamili?
Na hii inatuma ujumbe gani kuhusu elimu itolewayo Nchini mwetu kuanzia Sekondari kwa lugha ambayo hata msomi wa ngazi ya PhD haiwezi?
Tunahitaji kujitafakari kama Taifa.
Una maana ya kumlinganisha na yule "a cataryst is samthing that speeds up reaction but it itserf does not change" Mr Mkapa is a cataryst.
Umenichekesha. Unaweza ukaquestion ....yake? My foot. Ongeza hata mwingine waliochemsha. Huyu hakuchemsha. Ametutoa kimasomaso. Tumefurahi. Kwa Tz ni news. This time around, good news. Furahi pamoja nasi. Mwendazake alituaibisha vibaya sana!Mkuu, ustaarabu wala sio kutukana, una miaka mingapi, tuanzie hapo kwanza. Hivi pamoja na Magufuli kuchukiwa na wengi, but unaweza uka question professional yake kweli? Kua mkweli. By the way, hivi unadhani kwanini Waganda wamemshangilia mama kwa kutema yai la maana? Kingereza ni tatizo kubwa sana kwa Watanzania, angekua rais au kiongozi yeyote wa Kenya kaenda Uganda na kuongea Kingereza wala usingeona kama is one of the news, now it is news because Tanzania inaeleweka, Kingereza kuongea ni shida bila kujali una cheti gani. Zipo nyuzi humu miaka ya Kikwete, JK alikua anachemka na kingereza chake huko nchi za watu, kuna moja (ipo humu jukwaani ) alisikika akisema, "we will continue manufacturing teachers" na watu tukasuta humu. NImekuuliza umri wako cause huenda haya huyakumbuki, ulikua shule dogo
Kwani zile PhD nizalugha? Wanasifia lugha sio point washenzi ao.