Mkuu, ustaarabu wala sio kutukana, una miaka mingapi, tuanzie hapo kwanza. Hivi pamoja na Magufuli kuchukiwa na wengi, but unaweza uka question professional yake kweli? Kua mkweli. By the way, hivi unadhani kwanini Waganda wamemshangilia mama kwa kutema yai la maana? Kingereza ni tatizo kubwa sana kwa Watanzania, angekua rais au kiongozi yeyote wa Kenya kaenda Uganda na kuongea Kingereza wala usingeona kama is one of the news, now it is news because Tanzania inaeleweka, Kingereza kuongea ni shida bila kujali una cheti gani. Zipo nyuzi humu miaka ya Kikwete, JK alikua anachemka na kingereza chake huko nchi za watu, kuna moja (ipo humu jukwaani ) alisikika akisema, "we will continue manufacturing teachers" na watu tukasuta humu. NImekuuliza umri wako cause huenda haya huyakumbuki, ulikua shule dogo