Rais Samia Suluhu, Waganda wamekupigia 'Salute' kwa Kiingereza chako kizuri japo huna PhD yoyote

Rais Samia Suluhu, Waganda wamekupigia 'Salute' kwa Kiingereza chako kizuri japo huna PhD yoyote

Acha ushamba na ujinga. Kama unazungumzia wale wahandisi robots sawa. Utajua kama anacopy na kupaste. Utaendeshaje semina, kongamano na mhadhara wa kisayansi bila ya command ya Kiingereza? Kweli mhadhiri katika medicine asijue Kiingereza? Thesis inaandikwa katika lugha gani? Research inaandikwa na kuwasilishwa katika lugha gani? Pale kutoka kidato cha pili kuingia cha tatu unakuta mwanafunzi wa kwanza hadi wa tano katika somo la Kiingereza ni wale watakao chukua masomo ya sayansi! Unakutana na injinia uchwara kama wewe ndio unakuja kutolea mifano jf! Toa aibu hapa.
Mkuu, ustaarabu wala sio kutukana, una miaka mingapi, tuanzie hapo kwanza. Hivi pamoja na Magufuli kuchukiwa na wengi, but unaweza uka question professional yake kweli? Kua mkweli. By the way, hivi unadhani kwanini Waganda wamemshangilia mama kwa kutema yai la maana? Kingereza ni tatizo kubwa sana kwa Watanzania, angekua rais au kiongozi yeyote wa Kenya kaenda Uganda na kuongea Kingereza wala usingeona kama is one of the news, now it is news because Tanzania inaeleweka, Kingereza kuongea ni shida bila kujali una cheti gani. Zipo nyuzi humu miaka ya Kikwete, JK alikua anachemka na kingereza chake huko nchi za watu, kuna moja (ipo humu jukwaani ) alisikika akisema, "we will continue manufacturing teachers" na watu tukasuta humu. NImekuuliza umri wako cause huenda haya huyakumbuki, ulikua shule dogo
 
Siyo wote wanaoongea Kiingereza wana elimu mkuu,Kiingereza ni lugha na wala siyo elimu.

Ukisema English ni Elimu utaonekana huna elimu

Kuna Warusi, Wataliano, Wafaransa hawazungumzi Kiingereza sio kwamba hawana elimu...KIINGEREZA NI LUGHA
Lugha huwezi kuijua kama hujaisoma,labda kama umezaliwa ughaibuni.
Ndo maana inaitwa elimu.
 
Usiniambie kama Mama Le Prof Joyce hakijui vyema kizungu hahahahahahah nacheka sana eti anaweza kuomba ED. Hawa wasomi wetu aisee kuna wengi nawajua aisee tena MaPHD holder hawajui kbs lugha hii.
Ndalichako na Mwendazake hawachekani kwenye English language. Halafu wote wanadai Wana PhD. You wonder walikuwa wanawasilisha vipi utetezi wa Thesis zao
 
Wewe unayejua kiingereza una hata ubarozi wa nyumba kumi au sehemu gani pameandikwa PHD lazima uwe unaongea kiingereza?
Nawe tumia akili zako vizuri. Hivi inakujia akikini kweli mtu mwenye PhD ambaye maandiko yake yote ya Masters na PhD yenyewe yalikuwa yanafanywa kwa Kiingereza na yanawasilishwa kwa Kiingereza kwenye panel.

Ingekuwa ana elimu ya Form SIX pekee ningeelewa. Ndiyo maana Ben Saanane alikuwa anasema Mwendazake ana PhD ya PLAGIARISM
 
Nafuu uishie Certificate kulikokuwa na PhD Fake na kiingereza cha Magufuli
Tuwe wakweli.
Hili ni suala fikirishi sana.
Unakuwa na Shahada ya Uzamivu, uliyosoma kwa lugha ya Kiingereza, wakati Kiingereza chenyewe hukijui!
Je, hiyo Shahada yako, ni Shahada kamili?
Na hii inatuma ujumbe gani kuhusu elimu itolewayo Nchini mwetu kuanzia Sekondari kwa lugha ambayo hata msomi wa ngazi ya PhD haiwezi?
Tunahitaji kujitafakari kama Taifa.
 
uingereza inaizidi nini China?
Kuzaa sana bila kufikiria miaka 75 baadaye ,hadi mudahuu corono inaonyesha inaua sana wazee kuliko vijana...wanavoona wanakaribiwa kushikwa kwautengenezaji corona ,wamesambaza na kinachoatjiri na vijana kama wewe....staki nikiangalie kiingereza kama lugha ya taifa Fulani kama lugha,kama tutaangalia taifa,China inaizidi nn U.S.A
 
Ametoa hotuba nzuri ya dakika nane alopokuwa Uganda.
Anaongea fluently and she is apparently mentally tranquil.
Tunampongeza sana rais wetu na ni jambo zuri sana kuona rais wetu anapata sifa ndani na nje ya nchi.
Niwe mkweli kwamba,watu wengi wanadhani kuongea kiingereza au lugha nyingine ya nchi za ulaya ni usomi ,na asiyejua kuongea lugha hizo si msomi
huu mtizamo sio sahihi,kwa watu ambao wapo karibu na wachina au wakorea hata wajerumani wapo wengi wataalam ila hawajui kiingereza kabisa,nimewasahau warusi na wajapan ambao mpaka wanagundua vitu vingi vya kutisha ila ukiwasemesha kiingereza wanakuangalia kama kituko. Natamani watanzania tuondokane na ushamba huu,tujifunze na upande wa pili wa ulimwengu.
 
Tuwe wakweli.
Hili ni suala fikirishi sana.
Unakuwa na Shahada ya Uzamivu, uliyosoma kwa lugha ya Kiingereza, wakati Kiingereza chenyewe hukijui!
Je, hiyo Shahada yako, ni Shahada kamili?
Na hii inatuma ujumbe gani kuhusu elimu itolewayo Nchini mwetu kuanzia Sekondari kwa lugha ambayo hata msomi wa ngazi ya PhD haiwezi?
Tunahitaji kujitafakari kama Taifa.
Magufuli alikopi Thesis ya Dr. J.Y. Philip na alisimamiwa na Prof. Buchweishaija. Na baada ya yeye kuwa Rais akamteua Prof Buchweishaija kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara ili kumziba mdomo. Ni RUSHWA hiyo
 
Kwani zile PhD nizalugha? Wanasifia lugha sio point washenzi ao.
 
Mkuu, ustaarabu wala sio kutukana, una miaka mingapi, tuanzie hapo kwanza. Hivi pamoja na Magufuli kuchukiwa na wengi, but unaweza uka question professional yake kweli? Kua mkweli. By the way, hivi unadhani kwanini Waganda wamemshangilia mama kwa kutema yai la maana? Kingereza ni tatizo kubwa sana kwa Watanzania, angekua rais au kiongozi yeyote wa Kenya kaenda Uganda na kuongea Kingereza wala usingeona kama is one of the news, now it is news because Tanzania inaeleweka, Kingereza kuongea ni shida bila kujali una cheti gani. Zipo nyuzi humu miaka ya Kikwete, JK alikua anachemka na kingereza chake huko nchi za watu, kuna moja (ipo humu jukwaani ) alisikika akisema, "we will continue manufacturing teachers" na watu tukasuta humu. NImekuuliza umri wako cause huenda haya huyakumbuki, ulikua shule dogo
Umenichekesha. Unaweza ukaquestion ....yake? My foot. Ongeza hata mwingine waliochemsha. Huyu hakuchemsha. Ametutoa kimasomaso. Tumefurahi. Kwa Tz ni news. This time around, good news. Furahi pamoja nasi. Mwendazake alituaibisha vibaya sana!
 
Kwani zile PhD nizalugha? Wanasifia lugha sio point washenzi ao.

Ningeshangaa sana kama Uzi huu usingevamiwa na wasiokijua ' Kiingereza ' na najua mtajitokeza wengi tu.

Ninachojua tu ni kwamba duniani kuna Lugha nyingi na nzuri ila hakuna ambayo hadi hivi leo imeweza kuwa ni Kiungo ' Kikuu ' cha Mataifa yote duniani iwe Kiuchumi na hata Kidiplomasia kama cha Kiingereza.

Kama Mchina, Mrusi, Mjerumani na Mchina pamoja na Jeuri zao zote za kuwa ' Super Powers ' ulimwenguni na Lugha zao pia ni Kubwa lakini bado hao hao wanakizungumza Kiingereza Wewe Mpuuzi Mmoja wa Kiswahili usiye na mbele wala nyuma ni nani ukipinge?

Itatuchukua muda mrefu sana na huenda pia hata isitokee kwa Mataifa mengi duniani Kuachana na Lugha ya Kiingereza kwani kama kuna Mafanikio makubwa ambayo nchi ya Uingereza ilipata tokea Kipindi cha ' Colonialism ' ni kuhakikisha Lugha yao si tu inaendelea kutumika bali pia inapendwa na kuendelea Kuaminiwa na Vizazi na Vizazi.

Kama Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere pamoja na kutowakubali Wazungu ( hasa kwa Sera zao na Matendo yao kwa Waafrika ) lakini Mwenyewe kwa Mdomo wake ( na Clips zipo Mitandaoni ) alikiri kuwa Kiingereza ni Lugha muhimu, siyo ya Kuepukwa duniani na ya Kibiashara zaidi.
 
Back
Top Bottom