Hizo ni minor mistakes tu, umeshapaliaKasoro matamshi (pronunciation) ya baadhi ya maneno ya Kiingereza alikosea, mfano:
1. Invitation hutamkwa inviteshen, siyo invaiteshen
2. Demise hutamkwa dimaiz, siyo dimis
Ila lafudhi (accent) yake ni nzuri kama ilivyo kwa Kiswahili
Kufahamu kwako kiingereza kumekusaidia nini? mbona umeajiliwa?
au alisoma kiingereza kikusaidie kuajiliwa na unalalamika mshahara ukicheleweshwa?
Naona nimepige ikulu,mpaka umeanza kumwaga kilugha,mimi sirushagi jiwe gizani.naponda kichwa cha mhusika.Foolish argument from a typical Dimwit!
Enzi zetu tunasoma,wajuzi wa kiingereza walikwenda madarasa ya art. maana waliikimbia hesabu na wasaidizi wakeNingeshangaa sana kama Uzi huu usingevamiwa na wasiokijua ' Kiingereza ' na najua mtajitokeza wengi tu.
Tunampongeza sana rais wetu na ni jambo zuri sana kuona rais wetu anapata sifa ndani na nje ya nchi.
Niwe mkweli kwamba,watu wengi wanadhani kuongea kiingereza au lugha nyingine ya nchi za ulaya ni usomi ,na asiyejua kuongea lugha hizo si msomi
huu mtizamo sio sahihi,kwa watu ambao wapo karibu na wachina au wakorea hata wajerumani wapo wengi wataalam ila hawajui kiingereza kabisa,nimewasahau warusi na wajapan ambao mpaka wanagundua vitu vingi vya kutisha ila ukiwasemesha kiingereza wanakuangalia kama kituko. Natamani watanzania tuondokane na ushamba huu,tujifunze na upande wa pili wa ulimwengu.
Mbona Wachina na Warusi na Wafaransa na wahispania hawana mpango na kiingerza kizuri? Hii nsio inayosababishwa wazazi wanapigwa hela nyingi kwenye vishule vya St. na academy. Una damu ya kikoloni wewe. Kinachojaliwa siku hizi ni matokeo "output"Jana Usiku nilipokea Meseji moja kutoka kwa Rafiki mkubwa kutoka Uganda akielezea Kufurahishwa Kwake na 'Kiingereza ' kizuri alichonacho Rais wa Tanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan.
"Mr. Generalist are you sure that this President of yours Mama Samia she's not a Briton? She speaks fluent English, very articulate, attractive and comfortable with it unlike other so called intellectuals with their doctorates on hand "
Na Waganda hawakuishia hapa tu kwa huyu Rafiki yangu Kunitumia hiyo Meseji bali hata ukienda huko Ugandans On Twitter ( UOT ) Wachangiaji wengi wamevutiwa na Uwezo mkubwa wa Kuongea Kiingereza ' kilichonyooka ' cha Mheshimiwa Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan.
Wameenda mbali zaidi na Kuhoji inakuwa Marais wengine (hasa Barani Afrika) wana Elimu Kubwa lakini walipokuwa wakiwasikiliza (wanapowasikiliza) huwa wanaongea Viingereza 'vibovu vibovu' tu wakati Makabatini mwao wamehifadhi Vyeti vya ' PhD ' zao.
Kongole sana Kwako Rais Mama Samia.
Hiyo hisabati anatumia lugha gani kufundishia?Nyie vilaza hamumuwezi kwa hisabati huyo mama.
Hata PhD ya jalalani (feki) utaijua hata ukiwa na Certificate halali ndo maana tunajua maPhD yote Bungeni na Serikalini ni feki.PhD halali utaijua na Diploma Halali utaijua hata certificate halali utaijua.
Bado tuna safari ndefu sana kama nchi. Kwamba kuongea kingereza ndio itakuwa mfano wa kiongozi bora...!. Ningefurahi sana kuongea kiswahili tu kokote.
Jana wakati Rais Samia akishuka kwenye ndege nafikiri mambo hayakuwa sawa au watu wa itifaki hawakuwa wamejipanga... Inakuwaje Rais anashuka kwenye ngazi za ndege akiwa ameongozana na Walinzi pamoja na Maofisa wengine kibao? Rais alikuwa amezongwa sana bila sababu za msingi. Nafikiri maafisa wa Itifaki ya Rais inabidi kuliangalia upya.
Usahihi ilikuwa wakati anashuka alitakiwa atangulie peke yake huku nyuma kwa karibu akifuatia ADC na Walinzi pembezoni basi..
Maafisa wengine wa litakiwa wawe wameshuka tayari(Wale wa Ulinzi na Itifaki) na wengine baada ya Rais kukanyaga ardhi..
Hii ingetoa fursa kwa Rais kupata 'Photo opp' stahili..
Ni muhimu kumpa Rais heshima na upekee unaostahili..
Kiingereza ni lugha kama kibena wala usimpe sifa yoyote.
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Mbona Wachina na Warusi na Wafaransa na wahispania hawana mpango na kiingerza kizuri? Hii nsio inayosababishwa wazazi wanapigwa hela nyingi kwenye vishule vya St. na academy. Una damu ya kikoloni wewe. Kinachojaliwa siku hizi ni matokeo "output"
Kama anajua maana yake ni competent kwenye kiingerezaKiingilishi ni vizuri kujua kwakurahisisha mawasiliano, ila haimaanishi mtu ni kompitenti..........
A good pointTunataka Rais wa hivyo sasa sio Rais anakimbia majukwaa ya kimataifa Kisa shida ya mawasiliano na maboko kibao akijifanya mzalendo
Mbona watoto wenu na wao hamuwapeleki kwenye mashule ya viswahili
Jinga la Kisukuma hili, ebu nenda kwenye Balozi za nchi yoyote au zote ulizotaja waeleze kwa Kiswahili au Kisukuma kuwa unaomba Viza ya kwenda kwenye hizo nchi watakupa Fomu ya kujaza ambayo imeandikwa Kingereza lakini ukiwaambia hujui lugha hiyo watakuuliza kama unajua lughaMbona Wachina na Warusi na Wafaransa na wahispania hawana mpango na kiingerza kizuri? Hii nsio inayosababishwa wazazi wanapigwa hela nyingi kwenye vishule vya St. na academy. Una damu ya kikoloni wewe. Kinachojaliwa siku hizi ni matokeo "output"
Na kuongea kwake kwa pozi vilevile.Ndiyo maana Mumewe HA akapagawa.
Watanzania wanafahamu kiingereza lakini wanazungumza kiingera kibovu. kujua kiingereza na kuzungumza kiingereza ni vitu 2 tofauti. Mfano, wazaramo wanajuwa kuongea kiswahili lakini hawajui kiswahili. Kinachojaliwa hapo ni mawasiliano tu. Hata mzungu anaposalimia kwa kusema jambo, hakuna matata, nk inatosha sana na wala hatumchekiJinga la Kisukuma hili, ebu nenda kwenye Balozi za nchi yoyote au zote ulizotaja waeleze kwa Kiswahili au Kisukuma kuwa unaomba Viza ya kwenda kwenye hizo watakuja Fomu ya kujaza ambayo imeandikwa Kingereza uki
Hahah...hili nakataa