Rais Samia Suluhu, Waganda wamekupigia 'Salute' kwa Kiingereza chako kizuri japo huna PhD yoyote

Kuna mambo mengine unaweza sema kama tumerogwa, tunapenda sana kusifia mambo au vitu visivyotusaidia chochote yaani utafikiri kiingereza kimewahi kutujengea hata kilomita moja ya barabara ya lami jinsi watu wanavyokishabikia,

Ningeshangaa sana kama Uzi huu usingevamiwa na wasiokijua ' Kiingereza ' na najua mtajitokeza wengi tu.

Ninachojua tu ni kwamba duniani kuna Lugha nyingi na nzuri ila hakuna ambayo hadi hivi leo imeweza kuwa ni Kiungo ' Kikuu ' cha Mataifa yote duniani iwe Kiuchumi na hata Kidiplomasia kama cha Kiingereza.

Kama Mchina, Mrusi, Mjerumani na Mchina pamoja na Jeuri zao zote za kuwa ' Super Powers ' ulimwenguni na Lugha zao pia ni Kubwa lakini bado hao hao wanakizungumza Kiingereza Wewe Mpuuzi Mmoja wa Kiswahili usiye na mbele wala nyuma ni nani ukipinge?

Itatuchukua muda mrefu sana na huenda pia hata isitokee kwa Mataifa mengi duniani Kuachana na Lugha ya Kiingereza kwani kama kuna Mafanikio makubwa ambayo nchi ya Uingereza ilipata tokea Kipindi cha ' Colonialism ' ni kuhakikisha Lugha yao si tu inaendelea kutumika bali pia inapendwa na kuendelea Kuaminiwa na Vizazi na Vizazi.

Kama Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere pamoja na kutowakubali Wazungu ( hasa kwa Sera zao na Matendo yao kwa Waafrika ) lakini Mwenyewe kwa Mdomo wake ( na Clips zipo Mitandaoni ) alikiri kuwa Kiingereza ni Lugha muhimu, siyo ya Kuepukwa duniani na ya Kibiashara zaidi.
 
Kwa puruka puruka zangu za kutaka kukujibu nimebonyeza than you badala ya option ya quote. Hivi wewe alokwambia kuwa kuweza kuwa na uwezo wa kuongea kiingereza fanisi ni lazima uwe na PhD? Kwani unafikiri kuwa watu wote duniani ambao wana PhD wamesoma katika vyuo vinavyosomesha kwa kiingereza? Nimechoka na kuona post ambazo hazina maana kabisa na mahali pake ni kwenye vibaraza na maskani za kitoto.

Ningeshangaa sana kama Uzi huu usingevamiwa na wasiokijua ' Kiingereza ' na najua mtajitokeza wengi tu.

Ninachojua tu ni kwamba duniani kuna Lugha nyingi na nzuri ila hakuna ambayo hadi hivi leo imeweza kuwa ni Kiungo ' Kikuu ' cha Mataifa yote duniani iwe Kiuchumi na hata Kidiplomasia kama cha Kiingereza.

Kama Mchina, Mrusi, Mjerumani na Mchina pamoja na Jeuri zao zote za kuwa ' Super Powers ' ulimwenguni na Lugha zao pia ni Kubwa lakini bado hao hao wanakizungumza Kiingereza Wewe Mpuuzi Mmoja wa Kiswahili usiye na mbele wala nyuma ni nani ukipinge?

Itatuchukua muda mrefu sana na huenda pia hata isitokee kwa Mataifa mengi duniani Kuachana na Lugha ya Kiingereza kwani kama kuna Mafanikio makubwa ambayo nchi ya Uingereza ilipata tokea Kipindi cha ' Colonialism ' ni kuhakikisha Lugha yao si tu inaendelea kutumika bali pia inapendwa na kuendelea Kuaminiwa na Vizazi na Vizazi.

Kama Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere pamoja na kutowakubali Wazungu ( hasa kwa Sera zao na Matendo yao kwa Waafrika ) lakini Mwenyewe kwa Mdomo wake ( na Clips zipo Mitandaoni ) alikiri kuwa Kiingereza ni Lugha muhimu, siyo ya Kuepukwa duniani na ya Kibiashara zaidi.
 
Sijaona hata mara moja wakuu au wa viongozi wa nchi kama China, russia, Korea, saudi arabia na wengineo wakisimama katika majukwaa ya UN na kuzungumza kiingereza, usidanganye watu hapa.

Kiingereza kitajenga madaraja na kutupeleka uchumi wa juu?

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app

Hee baba hebu tuliza akili yako vizuri!! Mimi kiingereza nakijua vizuri sana cha kuandika na kuongea, na hata naweza kukufanyia editing ya ripoti zako kama zimeandikwa kwa kile kiswanglish!!

Nani amekwambia mimi ni mpuuzi nisiye na mbele wala nyuma? Shida yenu nyinyi munaojiona kama mumesoma basi wengine wote ni wapuuzi. Pole sana.

Mimi nimehudhuria mikutano mingi ya kimataifa (scientific meetings) na nimeona mascientist wakubwa sana wanafanya presentation na hawawezi kuzungumza kiingereza hata sentensi mbili, lakini utaalamu wao unathaminiwa sawa na wale wanaojua kiingereza.

Usijikweze bure.
 
Jana Usiku nilipokea Meseji moja kutoka kwa Rafiki mkubwa kutoka Uganda akielezea Kufurahishwa Kwake na 'Kiingereza ' kizuri alichonacho Rais wa Tanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan.

"Mr. Generalist are sure that this President of yours Mama Samia she's not a Briton? She speaks fluent English, very articulate, attractive and comfortable with it unlike other so called intellectuals with their doctorates on hand "

Na Waganda hawakuishia hapa tu kwa huyu Rafiki yangu Kunitumia hiyo Meseji bali hata ukienda huko Ugandans On Twitter ( UOT ) Wachangiaji wengi wamevutiwa na Uwezo mkubwa wa Kuongea Kiingereza ' kilichonyooka ' cha Mheshimiwa Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan.

Wameenda mbali zaidi na Kuhoji inakuwa Marais wengine (hasa Barani Afrika) wana Elimu Kubwa lakini walipokuwa wakiwasikiliza (wanapowasikiliza) huwa wanaongea Viingereza 'vibovu vibovu' tu wakati Makabatini mwao wamehifadhi Vyeti vya ' PhD ' zao.

Kongole sana Kwako Rais Mama Samia.
Sisi tutaangalia utendaji wake sio anavyoongea kingereza. Wala hatutampenda kwa kujua kingereza ila namna atakavyoelekeza uchumi kuwapatia maendeleo umma wa watanzania. Kama ataona kuwapa furaha wala rushwa na fisadi ndio jambo lake ataishia kupendwa na wala rushwa na fisadi.
 
Hivi kingereza kimekuwa sifa kwa waafrika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ushamba wa mzungu utatuua sisi

Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app

Ningeshangaa sana kama Uzi huu usingevamiwa na wasiokijua ' Kiingereza ' na najua mtajitokeza wengi tu.

Ninachojua tu ni kwamba duniani kuna Lugha nyingi na nzuri ila hakuna ambayo hadi hivi leo imeweza kuwa ni Kiungo ' Kikuu ' cha Mataifa yote duniani iwe Kiuchumi na hata Kidiplomasia kama cha Kiingereza.

Kama Mchina, Mrusi, Mjerumani na Mchina pamoja na Jeuri zao zote za kuwa ' Super Powers ' ulimwenguni na Lugha zao pia ni Kubwa lakini bado hao hao wanakizungumza Kiingereza Wewe Mpuuzi Mmoja wa Kiswahili usiye na mbele wala nyuma ni nani ukipinge?

Itatuchukua muda mrefu sana na huenda pia hata isitokee kwa Mataifa mengi duniani Kuachana na Lugha ya Kiingereza kwani kama kuna Mafanikio makubwa ambayo nchi ya Uingereza ilipata tokea Kipindi cha ' Colonialism ' ni kuhakikisha Lugha yao si tu inaendelea kutumika bali pia inapendwa na kuendelea Kuaminiwa na Vizazi na Vizazi.

Kama Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere pamoja na kutowakubali Wazungu ( hasa kwa Sera zao na Matendo yao kwa Waafrika ) lakini Mwenyewe kwa Mdomo wake ( na Clips zipo Mitandaoni ) alikiri kuwa Kiingereza ni Lugha muhimu, siyo ya Kuepukwa duniani na ya Kibiashara zaidi.
 
Sijaona hata mara moja wakuu au wa viongozi wa nchi kama China, russia, Korea, saudi arabia na wengineo wakisimama katika majukwaa ya UN na kuzungumza kiingereza, usidanganye watu hapa.
... mitaala za nchi zao ni kwa lugha za kwao from lowest to the highest level; kwa Tanzania lugha rasmi ya kufundishia, ku-present dissertations and theses ni English jombaa acha kujitoa ufahamu!
 
Utakuwa punguwani wa akili sio bure

Ningeshangaa sana kama Uzi huu usingevamiwa na wasiokijua ' Kiingereza ' na najua mtajitokeza wengi tu.

Ninachojua tu ni kwamba duniani kuna Lugha nyingi na nzuri ila hakuna ambayo hadi hivi leo imeweza kuwa ni Kiungo ' Kikuu ' cha Mataifa yote duniani iwe Kiuchumi na hata Kidiplomasia kama cha Kiingereza.

Kama Mchina, Mrusi, Mjerumani na Mchina pamoja na Jeuri zao zote za kuwa ' Super Powers ' ulimwenguni na Lugha zao pia ni Kubwa lakini bado hao hao wanakizungumza Kiingereza Wewe Mpuuzi Mmoja wa Kiswahili usiye na mbele wala nyuma ni nani ukipinge?

Itatuchukua muda mrefu sana na huenda pia hata isitokee kwa Mataifa mengi duniani Kuachana na Lugha ya Kiingereza kwani kama kuna Mafanikio makubwa ambayo nchi ya Uingereza ilipata tokea Kipindi cha ' Colonialism ' ni kuhakikisha Lugha yao si tu inaendelea kutumika bali pia inapendwa na kuendelea Kuaminiwa na Vizazi na Vizazi.

Kama Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere pamoja na kutowakubali Wazungu ( hasa kwa Sera zao na Matendo yao kwa Waafrika ) lakini Mwenyewe kwa Mdomo wake ( na Clips zipo Mitandaoni ) alikiri kuwa Kiingereza ni Lugha muhimu, siyo ya Kuepukwa duniani na ya Kibiashara zaidi.
 
Sina hakika kama kujua kingereza ndio kipimo cha kusoma; Magufuli na "mabaya" yake but kwenye issue ya Corona kawa outsmart hadi WHO na sasa hivi mataifa mengi makubwa (including UK ) wana copy from Magufuli, Magufuli kweli hakuakijua vizuri Kingereza but jamaa shule yake imeonekana kwenye mambo mengi ukiachilia mbali tabia za ubabe ambazo sidhani kama shule inaweza ku unlock.
Kingine, wazee wenzangu, tusijitoe ufahamu, wasomi wengi wa masomo ya sayansi wale wa zamani, na of course hata sasa hivi baadhi wapo, kingereza kwao kuongea ni shida sana, tena sana. Tafuta Engineer yeyote au msomi hata wa Hesabu kama mama Ndalichako, nuongee nae Kingereza kwa dakika 5 tu, atachemsha vibaya sana, why, Science ina deal zaidi na symbols, maneno kama therefore, etc, so nk yote yana alama, chemicals zote alama, sentensi inaweza kua ndefu, engineer atatumia alama tu na engineer mwenzie akaelewa jamaa anataka kusema nini; watu hao hao sasa, wapeni kazi ndio utajua kama alisoma au hakusoma.
Acha ushamba na ujinga. Kama unazungumzia wale wahandisi robots sawa. Utajua kama anacopy na kupaste. Utaendeshaje semina, kongamano na mhadhara wa kisayansi bila ya command ya Kiingereza? Kweli mhadhiri katika medicine asijue Kiingereza? Thesis inaandikwa katika lugha gani? Research inaandikwa na kuwasilishwa katika lugha gani? Pale kutoka kidato cha pili kuingia cha tatu unakuta mwanafunzi wa kwanza hadi wa tano katika somo la Kiingereza ni wale watakao chukua masomo ya sayansi! Unakutana na injinia uchwara kama wewe ndio unakuja kutolea mifano jf! Toa aibu hapa.
 
Sisi tutaangalia utendaji wake sio anavyoongea kingereza. Wala hatutampenda kwa kujua kingereza ila namna atakavyoelekeza uchumi kuwapatia maendeleo umma wa watanzania. Kama ataona kuwapa furaha wala rushwa na fisadi ndio jambo lake ataishia kupendwa na wala rushwa na fisadi.

Ningeshangaa sana kama Uzi huu usingevamiwa na wasiokijua ' Kiingereza ' na najua mtajitokeza wengi tu.

Ninachojua tu ni kwamba duniani kuna Lugha nyingi na nzuri ila hakuna ambayo hadi hivi leo imeweza kuwa ni Kiungo ' Kikuu ' cha Mataifa yote duniani iwe Kiuchumi na hata Kidiplomasia kama cha Kiingereza.

Kama Mchina, Mrusi, Mjerumani na Mchina pamoja na Jeuri zao zote za kuwa ' Super Powers ' ulimwenguni na Lugha zao pia ni Kubwa lakini bado hao hao wanakizungumza Kiingereza Wewe Mpuuzi Mmoja wa Kiswahili usiye na mbele wala nyuma ni nani ukipinge?

Itatuchukua muda mrefu sana na huenda pia hata isitokee kwa Mataifa mengi duniani Kuachana na Lugha ya Kiingereza kwani kama kuna Mafanikio makubwa ambayo nchi ya Uingereza ilipata tokea Kipindi cha ' Colonialism ' ni kuhakikisha Lugha yao si tu inaendelea kutumika bali pia inapendwa na kuendelea Kuaminiwa na Vizazi na Vizazi.

Kama Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere pamoja na kutowakubali Wazungu ( hasa kwa Sera zao na Matendo yao kwa Waafrika ) lakini Mwenyewe kwa Mdomo wake ( na Clips zipo Mitandaoni ) alikiri kuwa Kiingereza ni Lugha muhimu, siyo ya Kuepukwa duniani na ya Kibiashara zaidi.
 
Jana Usiku nilipokea Meseji moja kutoka kwa Rafiki mkubwa kutoka Uganda akielezea Kufurahishwa Kwake na 'Kiingereza ' kizuri alichonacho Rais wa Tanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan.

"Mr. Generalist are sure that this President of yours Mama Samia she's not a Briton? She speaks fluent English, very articulate, attractive and comfortable with it unlike other so called intellectuals with their doctorates on hand "

Na Waganda hawakuishia hapa tu kwa huyu Rafiki yangu Kunitumia hiyo Meseji bali hata ukienda huko Ugandans On Twitter ( UOT ) Wachangiaji wengi wamevutiwa na Uwezo mkubwa wa Kuongea Kiingereza ' kilichonyooka ' cha Mheshimiwa Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan.

Wameenda mbali zaidi na Kuhoji inakuwa Marais wengine (hasa Barani Afrika) wana Elimu Kubwa lakini walipokuwa wakiwasikiliza (wanapowasikiliza) huwa wanaongea Viingereza 'vibovu vibovu' tu wakati Makabatini mwao wamehifadhi Vyeti vya ' PhD ' zao.

Kongole sana Kwako Rais Mama Samia.
Halafu ni Mganda wa wapi huyo. anaandika "....are sure that...
 
Namjua kiongozi mmoja tokea tz aliyekuwa na phd lakini kizungu chake shiiiiida kweli......utakuwa aje na phd halafu kizungu kikushinde??????????? Yaani hiyo miaka yoooooote nshuleni halafu kizungu tena kiwe balaaaaaaa.....nampenda bure mama suluhu
 
Halafu ni Mganda wa wapi huyo. anaandika "....are sure that...

Ningeshangaa sana kama Uzi huu usingevamiwa na wasiokijua ' Kiingereza ' na najua mtajitokeza wengi tu.

Ninachojua tu ni kwamba duniani kuna Lugha nyingi na nzuri ila hakuna ambayo hadi hivi leo imeweza kuwa ni Kiungo ' Kikuu ' cha Mataifa yote duniani iwe Kiuchumi na hata Kidiplomasia kama cha Kiingereza.

Kama Mchina, Mrusi, Mjerumani na Mchina pamoja na Jeuri zao zote za kuwa ' Super Powers ' ulimwenguni na Lugha zao pia ni Kubwa lakini bado hao hao wanakizungumza Kiingereza Wewe Mpuuzi Mmoja wa Kiswahili usiye na mbele wala nyuma ni nani ukipinge?

Itatuchukua muda mrefu sana na huenda pia hata isitokee kwa Mataifa mengi duniani Kuachana na Lugha ya Kiingereza kwani kama kuna Mafanikio makubwa ambayo nchi ya Uingereza ilipata tokea Kipindi cha ' Colonialism ' ni kuhakikisha Lugha yao si tu inaendelea kutumika bali pia inapendwa na kuendelea Kuaminiwa na Vizazi na Vizazi.

Kama Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere pamoja na kutowakubali Wazungu ( hasa kwa Sera zao na Matendo yao kwa Waafrika ) lakini Mwenyewe kwa Mdomo wake ( na Clips zipo Mitandaoni ) alikiri kuwa Kiingereza ni Lugha muhimu, siyo ya Kuepukwa duniani na ya Kibiashara zaidi.
 
Acha ushamba na ujinga. Kama unazungumzia wale wahandisi robots sawa. Utajua kama anacopy na kupaste. Utaendeshaje semina, kongamano na mhadhara wa kisayansi bila ya command ya Kiingereza? Kweli mhadhiri katika medicine asijue Kiingereza? Thesis inaandikwa katika lugha gani? Research inaandikwa na kuwasilishwa katika lugha gani? Pale kutoka kidato cha pili kuingia cha tatu unakuta mwanafunzi wa kwanza hadi wa tano katika somo la Kiingereza ni wale watakao chukua masomo ya sayansi! Unakutana na injinia uchwara kama wewe ndio unakuja kutolea mifano jf! Toa aibu hapa.
Tafadhali bwana siyo thesis zote duniani zinaandikwa kwa kiingereza, na wala siyo presentations zote kwenye mikutano ya kimataifa zinafanywa kwa kiingereza.

Tafadhali tafadhali tafadhali .......... Wacuba ni katika taifa ambalo lina madaktari wazuri sana na wa kuaminika duniani lakini asilimia kubwa hawajui kiingereza, wao ni kispanish kwa kwenda mbele.
 
Halafu ni Mganda wa wapi huyo. anaandika "....are sure that...
sasa angalia upumbavu wenu....mtu anapo andika hivyo kwa kukosea....intelligent people understand that that is a typo yaani its a common human mistake and only fools will dwell on such minor grammatical errors.
 
Back
Top Bottom