peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Taasisi za dini acha walipe Kodi, wanafanya biashara, hawatoi huduma
Viongozi wa dini ndilo kundi linaloshika nafasi ya pili kwa kuishi maisha ya anasa baada ya wanasiasa! Majumba ya kifahari, magari makubwa, mipete ya gold na vidani.
Yanapenda kukaa kwenye viti vya mbele kama wasanii na Yesu alikataza!
Walipe kodi tu maana hakuna namna! Kwanza kulipa kodi ni heshima na wakiheshimika hata yale matamko yao yatapewa heshima!
Karibu shule zote ada ziko hivyoKule Kilimanjaro, shule ya st. Marygoreth ada tu ni Tsh. 2,800,000 ni shule ya kanisa.hiyo sio biashara? Walipe kodi
Mbona NHIF wanatuumiza sana katika upatikanaji wa huduma bora pamoja na kwamba tunazilipia, unasikia hiki na kile havipo kwenye bima inabidi ulipieAmesema lengo la Serikali ni kupunguza ugumu wa maisha kwa wananchi ambapo suluhisho lake ni kufanya kazi kwa uwazi na kuaminiana ili wanaotoza kodi wajue taasisi za dini hazifanyi kazi kibiashara.
Dini zimeingia kwenye huo uhuni baada ya kuwafukuza wamishenari ambao kimsingi walikuwa wanatoa huduma na gharama za matibabu zilikuwa affordableDini inatumika vibaya. Sasa wanataka wapewe nafasi za mbele sababu ni viongozi wa dini. Tusipokuwa makini watatugawa wakianza kupenyeza hizi agenda zao.
Taifa la Tanzania lina watu wenye kufuata dini. Hakuna dini rasmi. Mbona kama wanataka kuanza kula kodi zetu kama wanavyokula sadaka za waumini wao?
Aghakhan walitakiwa watozwe kodi kubwa sana.
Nchi itaendeshwaje bila ya Kodi ?!!!Rais wa makodi. Kila sehemu ni kukamuliwa tu.
Dini zimeingia kwenye huo uhuni baada ya kuwafukuza wamishenari ambao kimsingi walikuwa wanatoa huduma na gharama za matibabu zilikuwa affordable
Usizilaumu dini....Dini zimeingia kwenye huo uhuni baada ya kuwafukuza wamishenari ambao kimsingi walikuwa wanatoa huduma na gharama za matibabu zilikuwa affordable
Siamini kwamba mama naye kashapewa jina hilo. Tanzania ngumu sana kuongozaRais wa makodi. Kila sehemu ni kukamuliwa tu.
Hawakutoa huduma bure, nimesema gharama zilikuwa affordable tofauti na sasaUsizilaumu dini....
Kwani hao wamishionari usemao fedha walikuwa wanazipata wapi kutoa hiyo huduma ya bure?!!!
✍️ 🤝👍Ila wabaki kama viongozi wa roho kwa waumini wao. Agenda za jumla za Taifa hazihitaji wao wakae mbele wakitumia dini zao. waende kama watanzania wengine
Ilikuwa zamani Mkuu...Taasisi za Dini...Quality imeshuka mno...Wajipange tu kibiashara zaidi na Kodi walipe...Quality ya kinachotolewa inaweza kuwa tofauti Sana. Binafsi isiyo dini quality yake huwa Ni poor na hivyo gharama kuwa chini. I stand to be corrected
Umeongea kwa hisia Sana Mkuu...Dini nyingi sasa ni uzushi tu...Hizi taasisi za dini wala zisijitee kwa chichote,ni wafanyabiashara kama wengine tu,tena gharama zao zipo juu acha walipe Kodi tu.
Kuna hospitali wilaya fulani inamilikiwa na taasisi ya kidini ila Mgojwa alipelekwa kutoka kituo cha serikalini kabla hio Ambulance haijaondoka wanataka walipwe hela yao,kama mgonjwa hana pesa wanaambiwa ondoka nae hatuwezi kumpokea,halafu ndio useme taasisi za dini zinatoa huduma?
Halafu Unakuta lihospitali lina jina eti la Mtakatifu gani sijui,utakatifu upi wakati mnakataa wagonjwa wasio na kipato?
Hospitali hizi hizi tunazichangia kanisani tukiziita ni zetu lakini ugue uone kama huna hela utatibiwa kisa wewe muumini.
Ni bora hata hospitali za wapagani
Sawa mkuu...je ni nani alikuwa analipia "affordability" usemayo ?Hawakutoa huduma bure, nimesema gharama zilikuwa affordable tofauti na sasa
She Kipozeo ana Gari gani? Ponda je?Viongozi wa dini ndilo kundi linaloshika nafasi ya pili kwa kuishi maisha ya anasa baada ya wanasiasa! Majumba ya kifahari, magari makubwa, mipete ya gold na vidani.
Yanapenda kukaa kwenye viti vya mbele kama wasanii na Yesu alikataza!
Walipe kodi tu maana hakuna namna! Kwanza kulipa kodi ni heshima na wakiheshimika hata yale matamko yao yatapewa heshima!
Umechagua hao wawili tu?!!!She Kipozeo ana Gari gani? Ponda je?