Rais Samia: Taasisi za Dini zinazotoa huduma ya Afya na Elimu baadhi zinatozwa kodi kwa sababu zinafanya biashara

Rais Samia: Taasisi za Dini zinazotoa huduma ya Afya na Elimu baadhi zinatozwa kodi kwa sababu zinafanya biashara

Viongozi wa dini ndilo kundi linaloshika nafasi ya pili kwa kuishi maisha ya anasa baada ya wanasiasa! Majumba ya kifahari, magari makubwa, mipete ya gold na vidani.

Yanapenda kukaa kwenye viti vya mbele kama wasanii na Yesu alikataza!

Walipe kodi tu maana hakuna namna! Kwanza kulipa kodi ni heshima na wakiheshimika hata yale matamko yao yatapewa heshima!

Dini inatumika vibaya. Sasa wanataka wapewe nafasi za mbele sababu ni viongozi wa dini. Tusipokuwa makini watatugawa wakianza kupenyeza hizi agenda zao.
Taifa la Tanzania lina watu wenye kufuata dini. Hakuna dini rasmi. Mbona kama wanataka kuanza kula kodi zetu kama wanavyokula sadaka za waumini wao?
 
Amesema lengo la Serikali ni kupunguza ugumu wa maisha kwa wananchi ambapo suluhisho lake ni kufanya kazi kwa uwazi na kuaminiana ili wanaotoza kodi wajue taasisi za dini hazifanyi kazi kibiashara.
Mbona NHIF wanatuumiza sana katika upatikanaji wa huduma bora pamoja na kwamba tunazilipia, unasikia hiki na kile havipo kwenye bima inabidi ulipie
 
Unapotoa huduma kwa kutoza fedha nyingi ni lazima ULIPE KODI....haijalishi uko katika taasisi ya dini ama laa!

#KaziIendelee
 
Dini inatumika vibaya. Sasa wanataka wapewe nafasi za mbele sababu ni viongozi wa dini. Tusipokuwa makini watatugawa wakianza kupenyeza hizi agenda zao.
Taifa la Tanzania lina watu wenye kufuata dini. Hakuna dini rasmi. Mbona kama wanataka kuanza kula kodi zetu kama wanavyokula sadaka za waumini wao?
Dini zimeingia kwenye huo uhuni baada ya kuwafukuza wamishenari ambao kimsingi walikuwa wanatoa huduma na gharama za matibabu zilikuwa affordable
 
Rais wa makodi. Kila sehemu ni kukamuliwa tu.
Nchi itaendeshwaje bila ya Kodi ?!!!

Walimu walipwe mishahara....
Madaktari na manesi walipwe mishahara yao.....
Askari walipwe mishahara yao....

Fedha inapatikana wapi bila ya KULIPA KODI KWA NGUVU ZOTE?!!

#KaziIendelee
 
Dini zimeingia kwenye huo uhuni baada ya kuwafukuza wamishenari ambao kimsingi walikuwa wanatoa huduma na gharama za matibabu zilikuwa affordable

Wasaka tonge wanaanzisha makanisa kila asubuhi. Siku moja wataanza kukaa viti vya mbele wakidai viongozi wa dini, kumbe ni watafuta fursa.
Dini ziopo na ziheshimike. Ila wabaki kama viongozi wa roho kwa waumini wao. Agenda za jumla za Taifa hazihitaji wao wakae mbele wakitumia dini zao. waende kama watanzania wengine
 
Dini zimeingia kwenye huo uhuni baada ya kuwafukuza wamishenari ambao kimsingi walikuwa wanatoa huduma na gharama za matibabu zilikuwa affordable
Usizilaumu dini....

Kwani hao wamishionari usemao fedha walikuwa wanazipata wapi kutoa hiyo huduma ya bure?!
 
Quality ya kinachotolewa inaweza kuwa tofauti Sana. Binafsi isiyo dini quality yake huwa Ni poor na hivyo gharama kuwa chini. I stand to be corrected
Ilikuwa zamani Mkuu...Taasisi za Dini...Quality imeshuka mno...Wajipange tu kibiashara zaidi na Kodi walipe...
 
Hizi taasisi za dini wala zisijitee kwa chichote,ni wafanyabiashara kama wengine tu,tena gharama zao zipo juu acha walipe Kodi tu.

Kuna hospitali wilaya fulani inamilikiwa na taasisi ya kidini ila Mgojwa alipelekwa kutoka kituo cha serikalini kabla hio Ambulance haijaondoka wanataka walipwe hela yao,kama mgonjwa hana pesa wanaambiwa ondoka nae hatuwezi kumpokea,halafu ndio useme taasisi za dini zinatoa huduma?

Halafu Unakuta lihospitali lina jina eti la Mtakatifu gani sijui,utakatifu upi wakati mnakataa wagonjwa wasio na kipato?

Hospitali hizi hizi tunazichangia kanisani tukiziita ni zetu lakini ugue uone kama huna hela utatibiwa kisa wewe muumini.

Ni bora hata hospitali za wapagani
Umeongea kwa hisia Sana Mkuu...Dini nyingi sasa ni uzushi tu...
 
Viongozi wa dini ndilo kundi linaloshika nafasi ya pili kwa kuishi maisha ya anasa baada ya wanasiasa! Majumba ya kifahari, magari makubwa, mipete ya gold na vidani.

Yanapenda kukaa kwenye viti vya mbele kama wasanii na Yesu alikataza!

Walipe kodi tu maana hakuna namna! Kwanza kulipa kodi ni heshima na wakiheshimika hata yale matamko yao yatapewa heshima!
She Kipozeo ana Gari gani? Ponda je?
 
Back
Top Bottom