Mkuu Retired , hivi mpaka leo ni zaidi ya mwaka, hujaujua tuu utendaji wa Samia?.1. Ruhusu mikutanoya Siasa iendelee maana iko Kikagtiba na kisheria.
Haki huwa haisemwi tu kuwa ni haki hadi ionekane kutendeka dhahir-shahir!Mbona hili limekwisha kitambo bado tuu kutangazwa!.
P
Hajui lolote huyoMkuu Retired , hivi mpaka leo ni zaidi ya mwaka, hujaujua tuu utendaji wa Samia?.
Mbona hili limekwisha kitambo pale tuu alipounda kamati ya Mkandala!, kilichobaki ni bado tuu kutangazwa!.
P
Sio kila kitu kila mtu lazima ajue, ila ana macho, kwani haoni?.Hajui lolote huyo
Hivi,ukimwambia mtu mwenye njaa kwamba ameshiba ndiyo atakuwa kashiba bila kula?Hajui lolote huyo
CCM ni wasanii.Na wanatumia hii komenti yako kuendeleza unyang'au wao.Yaani Rais unataka aheshimu katiba na wakati huo huo unataka aingilie mahakama?kwahiyo kina Halima haki Yao ya kimahakama na kikatiba aikanyage kukufurahisha wewe mwana Chadema.??halafu unataka aheshimu katiba? seriously?
Kwenye eneo hili la haki za binaadamu, Mama Samia, apewe kongole sana, huyu ni mpenda haki, muwaza haki, msema haki, mtenda haki.2. Heshimi Haki za binadamu ambazo zimeainishwa kwenye Katiba. Kuna uvunjifu wa haki za binadamu mdogo mdogo
Sijaona matokeo chanya ya kikatiba, tangible outcome from the so-called Mukandala kikosi kazi. Ni gheresha bla balh blah za hapa na pale! Utendaji ni ku buy time na ndiyo nasema tusichoke kusema, tupige kelele kama anavyosema Lisu!Mkuu Retired , hivi mpaka leo ni zaidi ya mwaka, hujaujua tuu utendaji wa Samia?.
Mbona hili limekwisha kitambo pale tuu alipounda kamati ya Mkandala!, kilichobaki ni bado tuu kutangazwa!.
P
Mifano michache ya haki za binadamu ni pamoja na haki ya kuishi, haki ya kuwa na makazi, haki ya kutoadhibiwa bila kusikilizwa, haki ya mtu kwenda anakotaka, haki ya kutodhalilishwa na kutwezwa kwa utu, haki ya kumiliki mali, nk.Kwenye eneo hili la haki za binaadamu, Mama Samia, apewe kongole sana, huyu ni mpenda haki, muwaza haki, msema haki, mtenda haki.
P
Najua sana.........Hajui lolote huyo
Usiwe na haraka, wewe niamini mimi hilo la mikutano limekwisha kitambo!.Sijaona matokeo chanya ya kikatiba, tangible outcome from the so-called Mukandala kikosi kazi. Ni gheresha bla balh blah za hapa na pale!
Kwa hiyo,mikutano ya siasa mnataka mfanye nyie tu duhUsiwe na haraka, wewe niamini mimi hilo la mikutano limekwisha kitambo!.
P
Mkuu mrangi , kwenye eneo hili, Mama anatakiwa asaidiwe!. Tutamsaidia kuelimisha na kuhamasisha kuhakikisha angalau 75% ya eligible voters wanajiandikisha na angalau 50% wanajitokeza na wanapiga kura ili kumpa legitimacy rais wa 2025 !.Kwa hiyo,mikutano ya siasa mnataka mfanye nyie tu duh
Kweli nyie chama $ ila elewa uchaguzi ujue idadi kubwa ya watu hawato piga kura.....uwanja mmeachiwa wenyewe
Acha tuwe watizamaji sahvi
Ova
Luca,huwa unapenda kujibiwa kwa staha.Sasa na weye mjibu kwa staha.Hakuna swali au hoja ya kijinga.Acha ubabaishaji wako wewe. Wakina Halima wenu nenda mkapambane nao huko mahakamani kisheria usitake njia za mkato. Suala la haki za binadamu naona ni Kama umelewa maana serikali Ni miongoni mwa serikali chache barani Afrika zinazozingatia misingi ya utawala Bora na sheria katika kuongoza serikali,ndio sababu husikii habari za matamko au mataarifa ya uvunjifu wa Haki za binadamu kutoka mataasisi ya kimataifa au wanaharakati.
Suala la mikutano ya kisiasa lipo katika majadiliano ya kuona namna nzuri ya kufanya shughuli za kisiasa kwa vyama vya siasa na siyo kutaka mzurule zurule mitaani Kama kuku,hamuoni nchi Kama marekani wakimaliza uchaguzi wanatulia kuacha serikali ifanye kazi ya kuwatumikia watu?
Mkuu Retired , tujifunze kuwa watu wa shukrani hata kwa madogo ili tupatiwe makubwa. Ukilinganisha na mtangulizi wake, lets be more appreciative kwa ku appreciate kwa haya mabadiliko maana... naMifano michache ya haki za binadamu ni pamoja na haki ya kuishi, haki ya kuwa na makazi, haki ya kutoadhibiwa bila kusikilizwa, haki ya mtu kwenda anakotaka, haki ya kutodhalilishwa na kutwezwa kwa utu, haki ya kumiliki mali, nk.
Ukienda ndani sana kuna haki hapo zinakiukwa kwa kisingizio cha vikosi kazi! Jaribu kuona kama mfano haki kutoadhibiwa bila ya kusikilizwa inalindwa inavyopashwa....as long as Judiciary haiko huru, hilo haliwezi kusimama!