Rais Samia tafadhali nakuomba chukua muda wako leo na uupokee huu Ushauri wangu GENTAMYCINE, nina uhakika utakusaidia sana na Kunishukuru pia

Je? wakati wa John Pombe Magufuli ulitoa ushauri wa namna hii kwake.Kama hukotoa basi kakojoe ukalale ,hamna kheri hata moja hata mukafanyiwa kitu gani ,roho mbaya tu na choyo mmekaa kama Subiani.(mpewa hapokonyeki alopewa kapewa wewe ukifanya chuki bure unajisumbua)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…