Rais Samia tafadhali sana…..

India na Tanganyika/Tanzania wakati huo chini ya mkoloni ilikua na uhusiano wa kibiashara na kidiplomasia na India chini ya Gandih.

Na alipokuja Nyerere nae akaendeleza uhusiano wa Tanzania na india Gandih akiwepo lakini pia wakati hayupo mamlakani.

Na kwahivyo uhusiano baina ya Tanzania na India ni wa kihistoria kwa Karne nyingi zilizopita.

muMama yuko sahihi mbaya SANA...
 
Thank you huyo ni Rais mwenye low brain IQ toka Dunia iumbwe, Rais wa bahati mbaya mwisho wake 2025 hana hadhi ya Urais
 
Kuna mavuvuzela yamekula kiapo muda si mrefu watakushukia hata akosee kapatia na akipatia ndio kapatia!
 
Kama marope ndio Anaendaa speech za bimkubwa basi , tujiandae na futuhi
 
Nadhani Waziri wa Foreign ndio kampotosha Rais

Ziko Wizara ambazo hawekwi mtu yoyote tu!
 
Mahatma Ghandi aliasisi upande wa India 🇮🇳 na kambarage aliasisi upande wa Tanzania 🇹🇿 kila mtu kwa muda wake

Au kuasisi ni lazima mkae mezani muhesabu moja, mbili, tatuuuuu
Nilitaka kumjibu hivi huyu mtoa hoja.
 
Wee jamaa kila mara huwa unatafuta vitu vyakumkosoa mama,...uwe unatafuta na mazuri basi ya kumsifia.

Wasukuma mnapata tabu sana na utawala huu.
 
Kumbe bombu kalitoa raisi wa nchi? Ina maana waziri wa mambo ya nje na mkuu wa itifaki hawaku muandalia raisi pointi na kumpitisha kwenye historian ya India kabla hajapanda ndege?
 
Hivi kweli mlitegemea nini zaidi kutoka kwa Samia? Mtu unavuna ulichopanda. Huyu siyo mtu wa kufanya research na sidhani hata kama huwa ana tabia ya kujisomea mambo muhimu. Huyu ni wale watu wanakesha kusoma Mange kaposti nini au Diamond kalala na nani! Samahani sana lakini ndiyo ukweli wenyewe. Na mbaya zaidi siku hizi wasaidizi wa rais huchukuliwa wenye vilaza wa ndiyo yes ndiyo.... wanaogopa kuchukuwa watu wenye akili.
 
Sasa KATIBU WA RAIS ni Waziri Salum kutwa anathinda INSTAGRAM kupost picha unategemea anamuandalia Hotuba gani Rais, Urais ulianza kufanywa mwepesi na Magufuli sasa wngine wote wanaona wanaweza kuwa Marais.
 
hahahahah daah bado tunasafari ndeeeefuuu sana kama vitu vidogo hivi wameshindwa kungamua je vikubwa
Kissinger alisema "kuwa rafiki wa Marekani" ni fatal. Matokeo ya maneno hayo yanapatikana.
 
Dr Janabi: Haters wa mama Samia hatarini kujifungua kabla ya wakati.
 
Hivi kwa nini Mskamba anapenda kumuingiza chaka mazeli? Alimuingiza chaka kwenye suala la SIMA mazeli naye akatangaza eti kuna upungufu, ameindoka upungufu umepotea.
Kwenye mafuta eti weka ruzuku ya bil 100 mazeli akaweka mafuta ndo yaka shoot.
Sasa huko pia amemuingiza chaka la Ghandi na Nyerere.
Nini mbaya? Mbona kumuingiza mazeli chaka?
 
Na hapo alikuwa anasoma madesa ndani ya ndege sijui hakuelewa
 
Ila bro unazingua. Japo najua anazingua ila amesema "..that was founded by our fore fathers......" hajasema between.
Umemaliza.

Jibu sahihi kabisa, bila ya kumtetea anayesemwa kutokuwa makini na chochote, kwa sababu hiyo ni jadi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…