Tumlaumu nani kwa wewe kushindwa kutofautisha kati ya Rajiv na mama yake, Indira Gandhi?Alaumiwe Kijana wake Makamba anayemuandaa kwa siku za baadaye kwa kushindwa kutofautisha Mahatma Gandhi na Rajiv Gandhi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumlaumu nani kwa wewe kushindwa kutofautisha kati ya Rajiv na mama yake, Indira Gandhi?Alaumiwe Kijana wake Makamba anayemuandaa kwa siku za baadaye kwa kushindwa kutofautisha Mahatma Gandhi na Rajiv Gandhi.
Mnachuki za kidini😀😀😀😀😀😀Watakuambia anahujumiwa!
Inasikitisha sana kwa kweli! Kumbe katika wasaidizi wake hakuna anayemuhurumia?Hivi kweli mlitegemea nini zaidi kutoka kwa Samia? Mtu unavuna ulichopanda. Huyu siyo mtu wa kufanya research na sidhani hata kama huwa ana tabia ya kujisomea mambo muhimu. Huyu ni wale watu wanakesha kusoma Mange kaposti nini au Diamond kalala na nani! Samahani sana lakini ndiyo ukweli wenyewe. Na mbaya zaidi siku hizi wasaidizi wa rais huchukuliwa wenye vilaza wa ndiyo yes ndiyo.... wanaogopa kuchukuwa watu wenye akili.
Kwa akili yako intelligence ya AI ipo juu ya binadamu?Haha ata AI kama ChatGPT na Bard huwa zinakosea
Anashindwa hata kugugo au hana intaneti.Watakuambia anahujumiwa!
Kwa akili yangu swali lako ni gumu sana kutoa jibu rahisi kwan kuna baadhi ya mambo AI inashinda uwezo wa ubongo wa binadamu mfano kweny kuchakata na kuchambua idadi kubwa ya data kwa kasi na usahihi wa ajabu. Kwa upande mwingine wanadamu wana uwezo wa kufikiria, kuunda, na kuwa wabunifu kwa njia ambazo AI bado haijaweza kuigaKwa akili yako intelligence ya AI ipo juu ya binadamu?