Rais Samia tafadhali sana…..

Alaumiwe Kijana wake Makamba anayemuandaa kwa siku za baadaye kwa kushindwa kutofautisha Mahatma Gandhi na Rajiv Gandhi.
Tumlaumu nani kwa wewe kushindwa kutofautisha kati ya Rajiv na mama yake, Indira Gandhi?
 
Huenda alimaanisha jawahral nehru basi akatamka mahatma gandhi waziri mkuu wa kwanza maarufu, na nyerere ni maarufu
 
Inasikitisha sana kwa kweli! Kumbe katika wasaidizi wake hakuna anayemuhurumia?
 
Kwa akili yako intelligence ya AI ipo juu ya binadamu?
Kwa akili yangu swali lako ni gumu sana kutoa jibu rahisi kwan kuna baadhi ya mambo AI inashinda uwezo wa ubongo wa binadamu mfano kweny kuchakata na kuchambua idadi kubwa ya data kwa kasi na usahihi wa ajabu. Kwa upande mwingine wanadamu wana uwezo wa kufikiria, kuunda, na kuwa wabunifu kwa njia ambazo AI bado haijaweza kuiga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…