Rais Samia tangaza kuruhusu Mikutano ya vyama vya siasa katika 'open ground', itakusaidia sana

UPINZANI MNA HAHA SANA HAPO MTU HATA HAUJANYWA CHAI UMEAMKA NA HANGOVER YAKO YA FARU JOHN UNATAKA UHURU WA KUPIGA KELELE...AMKA NENDA KAFANYE KAZI MDA WA KUWAFANYA WATANZANIA KAMA WAPUMBAVU UMEPITA....KUNA MASHAMBA MENGI YA KULIMA AU KAMA MNAONA MNABANWA FUNGUENI MAKANISA YA KITAPELI NA KUJIITA MANABII BADO MTAPATA WAJINGA....LINI USHASIKIA TRUMP AMEFANYA MKUTANO WA HADHARA KUMNANGA TRUMP BAADA YA KUKOSA URAISI
 
Kama nyie zilivyo wakaaa baada ya dikteta kuondoka
ona huyu sasa na hangover zake...nchi yoyote corrateral damage zipo..sasa we jifanye kimbelembele ukitumika na mataifa ya nje kufanya uhaini humu ndani uone watakufanya nn
 
Tetetetete mpuuzi wewe hizo enzi hazipo tena, twenda na Samia hakuna namna maza apige hata mpka 2035 poa tu
 
Ndio maana nikasema mnazidi kumuwekea ugumu, pengine sasa anafikiria kuzuia hiyo mikusanyiko ya chama chake ila nyie ndio kwanza mnakuja na ugumu zaidi.
Awaache wakusanyike na siku akiamua kuzuia awazuie wote. Itamuondolea dhambi ya kuvunja katiba.

Amandla...
 
Mikutano ya ndani inatosha sana tu. Mbowe alishakiri kuwa mikutano ya ndani imesaidia sana Chadema. Acheni watu wafanye shughuli zao za uzalishaji mali.
 
Ndugu,
Acha kuzungusha maneno. Kifungu gani cha katiba/sheria kinazuia mikutano ya siasa?
Nchi huwa haiongozwi kwa hisia binafsi.
Mikutano ya ndani inatosha sana tu. Mbowe alishakiri kuwa mikutano ya ndani imesaidia sana Chadema. Acheni watu wafanye shughuli zao za uzalishaji mali.
 
UPINZANI MNA HAHA SANA HAPO MTU HATA HAUJANYWA CHAI UMEAMKA NA HANGOVER YAKO YA FARU JOHN UNATAKA UHURU WA KUPIGA KELELE...AMKA NENDA KAFANYE KAZI MDA WA KUWAFANYA WATANZANIA KAMA WAPUMBAVU UMEPITA....KUNA MASHAMBA MENGI YA KULIMA AU KAMA MNAONA MNABANWA FUNGUENI MAKANISA YA KITAPELI NA KUJIITA MANABII BADO MTAPATA WAJINGA....LINI USHASIKIA TRUMP AMEFANYA MKUTANO WA HADHARA KUMNANGA TRUMP BAADA YA KUKOSA URAISI
Hayo mashamba kalime wewe hatuli kwako sisi.
 
Kwani mikutano ya kisiasa ilizuiwa kwa sababu ya Corona?

Amandla...
Wakati inazuiwa hakukuwa na corona ila sasa kuna corona unaanzaje kutaka kuruhusiwa hiyo mikutano kwa mazingira haya ya corona?
 
Back
Top Bottom