Rais Samia tangaza kuruhusu Mikutano ya vyama vya siasa katika 'open ground', itakusaidia sana

Rais Samia tangaza kuruhusu Mikutano ya vyama vya siasa katika 'open ground', itakusaidia sana

Kwa hiyo hiyo Corona inahusu mikutano ya wapinzani peke yao?

Amandla...
Ni kwamba kiujumla hiyo mikutano yote hairuhusiwi katika kiindi cha corona haijalishi ni ya ccm au ya upinzani, sasa sikutegemea kwamba upinzani na watataka kuufanya mikutano ya kisiasa kipindi cha corona.
 
Mikutano ya ndani inatosha sana tu. Mbowe alishakiri kuwa mikutano ya ndani imesaidia sana Chadema. Acheni watu wafanye shughuli zao za uzalishaji mali.
Hivi wale wanaokwenda kuangalia mpira na kujaza uwanja hawana kazi ya kufanya,wacha dharau, ukiangalia mwananchi halazimishwi kuhudhuria , ni uhuru kwa wananchi ,halafu covidi isiwe kisingizio cha kuibana hii haki ya mikutano.

Kwa wanaojielewa na wasio magoigoi hawaogopi mikutano, siku mkikaa benchi itawasaidia hata nyinyi,CCM haitakuwepo au kuitawala nchi hii mpaka mwisho wa dunia ni suala la muda tu,mazingira mkiyabana yatakuja kuwaathiri wenyewe halafu mseme mnalipiziwa kisasi.

Hili ni jambo moja litakalo mpaisha Raisi Samia sio ndani ya Tz bali kimataifa kama alivyoanza kuchokonoa chanjo za covidi.,nyie msio mtakia heri ndio mnataka aendelee kubana ili mpate kumsaboteji na mnajua wazi upinzani utawatumbua viongozi wabovu na mabalaa yao.
 
Ni kwamba kiujumla hiyo mikutano yote hairuhusiwi katika kiindi cha corona haijalishi ni ya ccm au ya upinzani, sasa sikutegemea kwamba upinzani na watataka kuufanya mikutano ya kisiasa kipindi cha corona.
Ungeanza kwa kuwasema CCM ambao wanaendelea nayo badala ya kuwashambulia wanaoomba kuruhusiwa. Badala ya kumshughulikia mwizi aliyekuwa tayari ndani mwako anakuibia unatoka nje kumlalamikia mtu ambae umesikia anakusudia kukuibia!

Kipindi cha Magufuli wapinzani walikuwa wakimkosoa jinsi anavyo shughulika na corona na sasa Mama samia anapongezwa kutokana anavyo shughlika na corona kisayansi, sasa kutonana na hayo ndio maana nikafikiri mpo pamoja na Rais kwenye hili la Corona.
 
Angekuwa analishughulikia kisayansi angezuia chama chenu kuwa na mikusanyiko. Tutakuwa nae kwenye kuvaa barakoa. Huko kwengine hatuwezi kuwa nae maana hajatoa maagizo yoyote.

Amandla...
 
Kule Iringa Mwangosi aliuawa kwa sababu zile zile za vurugu ya Chadema, je mmesahau kilichotokea! Hata JK hakuwa mpole sana kwa mikutano ya matusi na vurugu msiongope.
Kwani nwangasi alikuwa mwanasiasa?
 
Angekuwa analishughulikia kisayansi angezuia chama chenu kuwa na mikusanyiko. Tutakuwa nae kwenye kuvaa barakoa. Huko kwengine hatuwezi kuwa nae maana hajatoa maagizo yoyote.

Amandla...
Barakoa inaenda pamoja na social distance,kunawa mikono n.k sasa huwezi kuvaa barakoa halafu unaenda kwenye mikusanyiko ukategemea barakoa ndio kila kitu, nadhani inahitajika elimu zaidi ya kujikinga na corona. Ilitakiwa wakati huu muwe mnamwambia Rais azuie hiyo mikutano ya ccm ila nyie ndio kwanza mnataka na nyie mruhusiwe kufanya mikutano ili mkusanyane kama ccm.
 
Mnasifia Mama kushughulikia suala la Corona kisayansi ila hapo hapo mnataka mruhusiwe kukusanyana pasina ulazima, sasa hiyo social distance inapatikana vp? Mbona mnazidi kumuwekea ugumu Mama?
Una akili sana
 
Kwa mara ya mwisho. Mikutano ya hadhara ni haki ya kikatiba ya vyama vyote vya siasa. Utawala wenu ulikiuka Katiba ulipoizua. Mbaya zaidi kuizuia kwa upinzani peke yake ni kuidhihaki Katiba. Wanachodai (sio maombi) ni Katiba iheshimiwe na hilo zuio liinuliwe.

Likiinuliwe ndio serikali itaweza ku suspend mikutano na mikusanyiko mingine kwa muda ili kuepusha maambukizo ya Corona. Chadema haiwezi kuomba agizo ambalo limekiuka Katiba litumike kwa chama kingine, hata kama chama hicho ni CCM.

Agizo likiondolewa ndio serikali itaweza ku suspend haki ya msingi ya Kikatiba ya uhuru wa kukusanyika kwa taifa zima, ikiwa pamoja na tsasisi za kimani, michezo n.k. Kusema kuwa unapambana na Corona kwa kuzuia mikutano ya vyama vya siasa peke yake hakutakuwa na maana yeyote ikiwa bado unaruhusu wakina Gwajima kukusanya watu kwa kisingizio kuwa ni mambo ya ibada.

Naona tumejadili vya kutosha na sitakujibu tena baada ya hapa.

Amandla...
 
Ila sishangai maana hata mwaka jana kampeni zilifanyika na watu wakakusanyana bila kuogopa corona na Magufuli hakupata lawama zozote kutoka upinzani.
 
Lini na wapi alitukanwa nani kwenye mikutano zaidi watu kwenye mikutano ya kisiasa watu huzungumza siyasa na mambo yahuyo siasa mwana siasa akisema mfano Magufuli kashindwa kuongoza kwenu linakua tusi?
Unajua madhara ya kauli hiyo!!!au mnaamini katika uhuru usio na mipaka??

Rais ni taasis,ukisema hadharani raisi ameshindwa kungoza tafsiri yake,taifa liko kwenye hali ya hatari.
Sasa sijui ni jukumu la mwanasiasa yeyote kuropoka rais ameshindwa kuongoza au la mamlaka husika??

Tukiielewa siasa na kanuni zake,na kuitambua misingi yake kisheria,siasa itakuwa chakula bora sana kwa hatima ya tanzania,lakini kwa sasa ni upuuzi tu.
 
Mnasifia Mama kushughulikia suala la Corona kisayansi ila hapo hapo mnataka mruhusiwe kukusanyana pasina ulazima, sasa hiyo social distance inapatikana vp? Mbona mnazidi kumuwekea ugumu Mama?
Wakiitwa nyumbu,wanahoji ni kwanini!!!
 
Unajua madhara ya kauli hiyo!!!au mnaamini katika uhuru usio na mipaka??

Rais ni taasis,ukisema hadharani raisi ameshindwa kungoza tafsiri yake,taifa liko kwenye hali ya hatari.
Sasa sijui ni jukumu la mwanasiasa yeyote kuropoka rais ameshindwa kuongoza au la mamlaka husika??

Tukiielewa siasa na kanuni zake,na kuitambua misingi yake kisheria,siasa itakuwa chakula bora sana kwa hatima ya tanzania,lakini kwa sasa ni upuuzi tu.
Masalia mpoogo
 
Back
Top Bottom