Ni kwamba kiujumla hiyo mikutano yote hairuhusiwi katika kiindi cha corona haijalishi ni ya ccm au ya upinzani, sasa sikutegemea kwamba upinzani na watataka kuufanya mikutano ya kisiasa kipindi cha corona.Kwa hiyo hiyo Corona inahusu mikutano ya wapinzani peke yao?
Amandla...
Hivi wale wanaokwenda kuangalia mpira na kujaza uwanja hawana kazi ya kufanya,wacha dharau, ukiangalia mwananchi halazimishwi kuhudhuria , ni uhuru kwa wananchi ,halafu covidi isiwe kisingizio cha kuibana hii haki ya mikutano.Mikutano ya ndani inatosha sana tu. Mbowe alishakiri kuwa mikutano ya ndani imesaidia sana Chadema. Acheni watu wafanye shughuli zao za uzalishaji mali.
Ungeanza kwa kuwasema CCM ambao wanaendelea nayo badala ya kuwashambulia wanaoomba kuruhusiwa. Badala ya kumshughulikia mwizi aliyekuwa tayari ndani mwako anakuibia unatoka nje kumlalamikia mtu ambae umesikia anakusudia kukuibia!Ni kwamba kiujumla hiyo mikutano yote hairuhusiwi katika kiindi cha corona haijalishi ni ya ccm au ya upinzani, sasa sikutegemea kwamba upinzani na watataka kuufanya mikutano ya kisiasa kipindi cha corona.
Kipindi cha Magufuli wapinzani walikuwa wakimkosoa jinsi anavyo shughulika na corona na sasa Mama samia anapongezwa kutokana anavyo shughlika na corona kisayansi, sasa kutonana na hayo ndio maana nikafikiri mpo pamoja na Rais kwenye hili la Corona.Ungeanza kwa kuwasema CCM ambao wanaendelea nayo badala ya kuwashambulia wanaoomba kuruhusiwa. Badala ya kumshughulikia mwizi aliyekuwa tayari ndani mwako anakuibia unatoka nje kumlalamikia mtu ambae umesikia anakusudia kukuibia!
Amandla...
Angekuwa analishughulikia kisayansi angezuia chama chenu kuwa na mikusanyiko. Tutakuwa nae kwenye kuvaa barakoa. Huko kwengine hatuwezi kuwa nae maana hajatoa maagizo yoyote.Kipindi cha Magufuli wapinzani walikuwa wakimkosoa jinsi anavyo shughulika na corona na sasa Mama samia anapongezwa kutokana anavyo shughlika na corona kisayansi, sasa kutonana na hayo ndio maana nikafikiri mpo pamoja na Rais kwenye hili la Corona.
Kwani nwangasi alikuwa mwanasiasa?Kule Iringa Mwangosi aliuawa kwa sababu zile zile za vurugu ya Chadema, je mmesahau kilichotokea! Hata JK hakuwa mpole sana kwa mikutano ya matusi na vurugu msiongope.
Barakoa inaenda pamoja na social distance,kunawa mikono n.k sasa huwezi kuvaa barakoa halafu unaenda kwenye mikusanyiko ukategemea barakoa ndio kila kitu, nadhani inahitajika elimu zaidi ya kujikinga na corona. Ilitakiwa wakati huu muwe mnamwambia Rais azuie hiyo mikutano ya ccm ila nyie ndio kwanza mnataka na nyie mruhusiwe kufanya mikutano ili mkusanyane kama ccm.Angekuwa analishughulikia kisayansi angezuia chama chenu kuwa na mikusanyiko. Tutakuwa nae kwenye kuvaa barakoa. Huko kwengine hatuwezi kuwa nae maana hajatoa maagizo yoyote.
Amandla...
Una akili sanaMnasifia Mama kushughulikia suala la Corona kisayansi ila hapo hapo mnataka mruhusiwe kukusanyana pasina ulazima, sasa hiyo social distance inapatikana vp? Mbona mnazidi kumuwekea ugumu Mama?
Kwa mara ya mwisho. Mikutano ya hadhara ni haki ya kikatiba ya vyama vyote vya siasa. Utawala wenu ulikiuka Katiba ulipoizua. Mbaya zaidi kuizuia kwa upinzani peke yake ni kuidhihaki Katiba. Wanachodai (sio maombi) ni Katiba iheshimiwe na hilo zuio liinuliwe.Barakoa inaenda pamoja na social distance,kunawa mikono n.k sasa huwezi kuvaa barakoa halafu unaenda kwenye mikusanyiko ukategemea barakoa ndio kila kitu, nadhani inahitajika elimu zaidi ya kujikinga na corona. Ilitakiwa wakati huu muwe mnamwambia Rais azuie hiyo mikutano ya ccm ila nyie ndio kwanza mnataka na nyie mruhusiwe kufanya mikutano ili mkusanyane kama ccm.
Unajua madhara ya kauli hiyo!!!au mnaamini katika uhuru usio na mipaka??Lini na wapi alitukanwa nani kwenye mikutano zaidi watu kwenye mikutano ya kisiasa watu huzungumza siyasa na mambo yahuyo siasa mwana siasa akisema mfano Magufuli kashindwa kuongoza kwenu linakua tusi?
Wengi tu,baba yako,dada yako,mjomba ako.Dikteta ameua watanzania wangapi?
Wakiitwa nyumbu,wanahoji ni kwanini!!!Mnasifia Mama kushughulikia suala la Corona kisayansi ila hapo hapo mnataka mruhusiwe kukusanyana pasina ulazima, sasa hiyo social distance inapatikana vp? Mbona mnazidi kumuwekea ugumu Mama?
Masalia mpoogoUnajua madhara ya kauli hiyo!!!au mnaamini katika uhuru usio na mipaka??
Rais ni taasis,ukisema hadharani raisi ameshindwa kungoza tafsiri yake,taifa liko kwenye hali ya hatari.
Sasa sijui ni jukumu la mwanasiasa yeyote kuropoka rais ameshindwa kuongoza au la mamlaka husika??
Tukiielewa siasa na kanuni zake,na kuitambua misingi yake kisheria,siasa itakuwa chakula bora sana kwa hatima ya tanzania,lakini kwa sasa ni upuuzi tu.
Anza na maza akoWengi tu,baba yako,dada yako,mjomba ako.
Bado nawewe,kama hutakituliza.
Mzima.Anza na maza ako
Umemkagua vizuri?Mzima.
jukumu la kumkagua mama yako uliridhi kwa baba yako???Umemkagua vizuri?
We endelea kuishi kwa shemeji yakojukumu la kumkagua mama yako uliridhi kwa baba yako???