#COVID19 Rais Samia: Tanzania haitakubali chanjo ya Corona kabla ya kujiridhisha

Endelea kusongamana,kama no hivyo umekuja kutushawishi na sisi tusongamane au shida no chanjo.
 
We kama hutaki chanjo, tulia tu kila mtu na maisha yake isiwe tabu... na kila mtu na chaguo na maisha yake...kazi iendelee.
 
Kwanza kbs hata kama kuna wagonjwa ww hujui ukitaka kuzungumzia hili fanya tafiti mahospitalini ukishirikiana na madaktari, pili huez pata ushahid wa hiki unachoamini kwa kuzunguka sehem ambazo c rasmi kwa wagonjwa, tatu Usiseme hatuna ugonjwa wowote.. sema sina ugonjwa wowote, mwisho kbs chanjo kama itakuja itakua kwa wengine ww unaweza achana nayo. OVER!!!
 
Uzuri wake hata ikija inakuwa option, kama huitaki unakaa mbali tu...wanaoitaka watachanja.

Corona mwaka jana ilipiga ikatembea na watu Tanzania na kwingineko, vumbi likatulia ilipokuja tena kuanzia Nov to April imepita na wengi pia na wengine waliumwa, binafsi nawajua walioumwa serious na ambao hawakuwa serious....decembere to April misiba ilikuwa mingi sana uraiani na wale jamaa zetu wa Moshi barabara ilikuwa busy kweli....ghafla April mpaka sasa imetoweka tena....tumuombe Mungu atunusuru na pia tuchukue tahadhari...wanaoteseka na Corona hawakuomba iwapige ni mipango tu ya Mungu..
 
Wewe kama hutaki chanjo tulia ... wengine wanahitaji sababu either wanamagonjwa sugu ama ni wazeee....

Huu ugonjwa sio wa kubezwa especially kama una tatizo la kiafya ama una umri mkubwa .

Kaa kimya mzee
 
Mkuu

Unauliza wakati shehena ilishatinga mlangoni? Ushoga tayari njia nyeupe ila hatatangaza hadgarani!!!

Timu iliyoundwa tayari imekuwa 'compromised' majibu yatakayotoka yataendana na kileambacho tayari kinaonekana hadharani wanakifanya
 
Nasema mtanikumbuka kwa mazuri na sio mabaya...nimesacrifice maisha yangu kwa ajili yenu...

Mkuu serikali imesema inatujali chanjo km ikija itakuwa salama...huenda ni vigezo vya wawekezaji lazima tuchome...
 
I see.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…