In a nutshell, chanjo inavyopigiwa chapuo, kauli hiyo inaonyesha rasimi kutua tz.Hii ni kauli ya Mh Rais wa Jamhuri yaMuungano wa Tanzania Madam President Samia Suluhu Hassan. leo.
"Nataka kuwahakikishia kwamba tahadhari zote mlizotoa hapa juu ya chanjo na mengine zitafuatwa, kikamilifu na Serikali yenu, hata hivyo hii haina maana kwamba tutapokea kila kitu tutakacholetewa au kuambiwa la hasha lazima na sisi tukiridhishe.
Hata suala la chanjo tutajiridhisha kwanza kabla ya kuamua kutumia au kuacha kutumia.hivyo nawaasa watanzania kutokuwa na hofu yoyote Serikali iko makini sana katika kushughulikia suala hilo"......Rais Samia Suluhu Hassan 14/mei /2021.
MY TAKE ON COVID 19 VACCINE
Tanzania haina historia ya kugomea wala kukimbilia chanjo.
nikitolea mfano wa chanjo dhidi ya kansa ya shingo ya kizazi ambayo duniani ilianza kutumika mwaka 2006 ilichukua miaka 12 kuanza kutumika rasmi nchini Tanzania.Mwaka 2018 Serikali ilianza kueneza matumizi ya chanjo hii kwa awamu katika mikoa ya Tanzania.baada ya majaribio kadhaa miaka michache kabla.
Kenya walianza kuitumia mwaka mmoja au miwili kabla ya Tanzania.
Ikumbukwe kansa ya shingo ya kizazi imeumiza na kuua kina mama wengi pengine kuliko covid 19.do we have clear reasons why should the nation fast track and accept covid 19 vaccines?
Wazo la kufanya uchambuzi wa kina juu ya chanjo za corona ni wazo la kisayansi.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
View attachment 1784954
Kauli mrejesho: tumejiridhisha kupititia wataaramu wetu, madaktari na maprofesa kuwa chanjo ni salama pamoja na changamoto ndogo ilizonazo, ila itatumika hapa Tanzania kujikinga na corona, that's will be the end of the story.
Kinachohofiwa hapo ni international travel barriers kwa watu wasiokuwa na chanjo ya kirusi hicho. Mfano Leo Delta airline limetangaza kuwa wafanyakazi wake wote lazima wachanjwe ili kufanya kazi kwenye kampuni hilo kubwa la ndege marekani.
Watu wanataka billions of money out of hiyo chanjo, na hii ni moja ya sababu iliyomuua Magu.
Mama hana ubavu huo, hiyo kamati ni daganya toto tu, those guys are so easier to corrupt, watarambishwa kitita kitamu tu, wanakuja kumpa mama blaablaa tu na atakubali, na hivyo mama hana brain kubwa ya kuforecast mambo kama Magu, mwaka huu haupiti bila kupigwa chanjo.






