Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Sawa, si nchi yao, si yako. Wana haki ya kusema maana ni mali yaoRais Samia akiwaapisha viongozi mbambali aliowateua, amesema Tanzania kila unalofanya linatafsiriwa, akirejelea Uteuzi wa Waziri Rajabu Salum ambapo amedai kuwa watu walisema katolewa. Rais Samia amesema Salumu kakua hivyo amempa nafasi ya kisekta.
Rais Samia akiwaapisha viongozi mbambali aliowateua, amesema Tanzania kila unalofanya linatafsiriwa, akirejelea Uteuzi wa Waziri Rajabu Salum ambapo amedai kuwa watu walisema katolewa. Rais Samia amesema Salumu kakua hivyo amempa nafasi ya kisekta.
vidole juu mwanamkeRais Samia akiwaapisha viongozi mbambali aliowateua, amesema Tanzania kila unalofanya linatafsiriwa, akirejelea Uteuzi wa Waziri Rajabu Salum ambapo amedai kuwa watu walisema katolewa. Rais Samia amesema Salumu kakua hivyo amempa nafasi ya kisekta.
Kuna fani angeingia angefiti sana ila ndo basi MIFUMO YETU ya nchi imefeliRais Samia akiwaapisha viongozi mbambali aliowateua, amesema Tanzania kila unalofanya linatafsiriwa, akirejelea Uteuzi wa Waziri Rajabu Salum ambapo amedai kuwa watu walisema katolewa. Rais Samia amesema Salumu kakua hivyo amempa nafasi ya kisekta.
Kuna mtu anashangaa kwanini Rwanda na Zanzibar wamepiga hatua, marais hawakutani na wajuaji wengi wa mitandaoni wanaachwa huru kufanya yale ya kitaalam.Sawa, si nchi yao, si yako. Wana haki ya kusema maana ni mali yao
Huyu bibi sijui ALIOKOTWA wapi??Rais Samia akiwaapisha viongozi mbambali aliowateua, amesema Tanzania kila unalofanya linatafsiriwa, akirejelea Uteuzi wa Waziri Rajabu Salum ambapo amedai kuwa watu walisema katolewa. Rais Samia amesema Salumu kakua hivyo amempa nafasi ya kisekta.
Kwahiyo huko Dubai, wanaua tu watu kama NZIGE na kupora mali za umma , na watu wao HAWAPIGI midomo???Kuna mtu anashangaa kwanini Rwanda na Zanzibar wamepiga hatua, marais hawakutani na wajuaji wengi wa mitandaoni wanaachwa huru kufanya yale ya kitaalam.
Kule Dubai kuna hali ya juu kiuchumi, sababu yule kiongozi wao mkuu alipiga vita wapiga miluzi wa mitandaoni yupo huru kufanya analotaka kwa manufaa ya nchi anayoiongoza.
Demokrasia ikizidi huzaa ujinga mwingi kwa kigezo cha uhuru wa kuongea.
KUONGOZA nchi sio kuongoza FAMILIA YAKO/ KUMTAWALA MKEO AU MUMEO....ukisema ugali wiki nzima ewala ukisema mwisho saa kumi na mbili ewala..Kuna mtu anashangaa kwanini Rwanda na Zanzibar wamepiga hatua, marais hawakutani na wajuaji wengi wa mitandaoni wanaachwa huru kufanya yale ya kitaalam.
Kule Dubai kuna hali ya juu kiuchumi, sababu yule kiongozi wao mkuu alipiga vita wapiga miluzi wa mitandaoni yupo huru kufanya analotaka kwa manufaa ya nchi anayoiongoza.
Demokrasia ikizidi huzaa ujinga mwingi kwa kigezo cha uhuru wa kuongea.
Mbona mimi na wewe hatujauliwa?. Vijana jifunzeni kutii sheria bila shuruti.Kwahoyo huko Dubai, wanaua tu watu akam NZIGE na kuoora mali za umma , na watu wao HAWAPIGI midomo???
TZ siyo kisowa cha MAITI.
Mmeopora madaraka kwa BUNDUKI, kama uweninwote basi ili kusiwe na kelele.
Mapumbavu nyie
Wewe unayejiona una akili kubwa unaweza kuwa ndio mwenye akili ndogo.KUTONGOZA nchi sio kuongoza FAMILIA YAKO....ukisema ugali wiki nzima ewala ukisema mwisho saa kumi na mbili ewala..
Kuongoza taifa ni kua na upepo kama wa MFALME Suleiman Sasa matatizo huanza pale ambapo AKILI NDOGO INAPO TAKA KUITAWALA AKILI KUBWA.
Wasalamu
Kwa Sasa Cheka kigamboni
Kwani WAUAJI wameshamaliza KUUA.Mbona mimi na wewe hatujauliwa?. Vijana jifunzeni kutii sheria bila shuruti.
Auwe watu asiambiweKuna mtu anashangaa kwanini Rwanda na Zanzibar wamepiga hatua, marais hawakutani na wajuaji wengi wa mitandaoni wanaachwa huru kufanya yale ya kitaalam.
Kule Dubai kuna hali ya juu kiuchumi, sababu yule kiongozi wao mkuu alipiga vita wapiga miluzi wa mitandaoni yupo huru kufanya analotaka kwa manufaa ya nchi anayoiongoza.
Demokrasia ikizidi huzaa ujinga mwingi kwa kigezo cha uhuru wa kuongea.
Hii nchi kinacho takiwa ili makelele yatoweke...jambo ni moja KATIBA MPYA..Wewe unayejiona una akili kubwa unaweza kuwa ndio mwenye akili ndogo.
Rwanda na Zanzibar zinapiga hatua zikiongozwa na marais wenye uhuru wa kufanya kile wanachoamua.
Hizi demokrasia za kutaka kila mtu asikike zimetuchelewesha sana.
Hayati JPM angewasikiliza wanaharakati asingeweza kufanya mengi makubwa.
Sasa Rwanda na Zanzibar Kuna maendeleo Gani?Wewe unayejiona una akili kubwa unaweza kuwa ndio mwenye akili ndogo.