Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 8,048
- 15,651
Watu wengi wameuliwa na kupotezwa , acha kujitoa akili au wakikuua wewe na familia yako utaaminiMbona mimi na wewe hatujauliwa?. Vijana jifunzeni kutii sheria bila shuruti.
Watu wengi wameuliwa na kupotezwa , acha kujitoa akili au wakikuua wewe na familia yako utaaminiMbona mimi na wewe hatujauliwa?. Vijana jifunzeni kutii sheria bila shuruti.
Cha ajabu na wewe upo kutwa mitandaoni tena iliyofungiwa na hao mapimbi wenzako?!Kuna mtu anashangaa kwanini Rwanda na Zanzibar wamepiga hatua, marais hawakutani na wajuaji wengi wa mitandaoni wanaachwa huru kufanya yale ya kitaalam.
Kule Dubai kuna hali ya juu kiuchumi, sababu yule kiongozi wao mkuu alipiga vita wapiga miluzi wa mitandaoni yupo huru kufanya analotaka kwa manufaa ya nchi anayoiongoza.
Demokrasia ikizidi huzaa ujinga mwingi kwa kigezo cha uhuru wa kuongea.
Halafu kuna mtu akaja na kidomile cha nywi nywi nywi.Rais Samia akiwaapisha viongozi mbambali aliowateua, amesema Tanzania kila unalofanya linatafsiriwa, akirejelea Uteuzi wa Waziri Rajabu Salum ambapo amedai kuwa watu walisema katolewa. Rais Samia amesema Salumu kakua hivyo amempa nafasi ya kisekta.
Majobless kusema ndiyo kazi yetu.Rais Samia akiwaapisha viongozi mbambali aliowateua, amesema Tanzania kila unalofanya linatafsiriwa, akirejelea Uteuzi wa Waziri Rajabu Salum ambapo amedai kuwa watu walisema katolewa. Rais Samia amesema Salumu kakua hivyo amempa nafasi ya kisekta.
Kufa ni amri ya Mungu, hakuna atakayedumu juu ya uso wa dunia.Kwani WAUAJI wameshamaliza KUUA.
Tunaweza kuuliwa KESHO.
Hata polepole, alisema hajauliwa wakati kina SOKA wanauliwa.
Ila na yeye hayupo.
Wakati Polepole anapotea, WALIOULIWA ikiwemo wenye AKILI MAVI kama zako kina SHEIKH MAJINI pia walisema mbona wao hawajauliwa. Oktoba akauiwa.
Wauaji bado wapo, na WANAUA.
Hata wewe ZAMU yako itafika.
Tupunguze miluzi mingi inampoteza mbwa.Cha ajabu na wewe upo kutwa mitandaoni tena iliyofungiwa na hao mapimbi wenzako?!
Kuna mtu kamuonea wivu Rais Mwinyi akisema Zanzibar awamu hii wanapendelewa sana nimemkumbusha kwamba huko visiwani Mwinyi anasimama akiwa nyota wa mchezo kwenye kila kinachofanyika huku bara kila mtu ana mdomo mrefu.Sasa Rwanda na Zanzibar Kuna maendeleo Gani?
Ikiwa hata hawana maji ya kunywa, barabara hawana, watu masikini wa kutupwa
Unategemea na akili ya kiongozi. Huku kwetu kwa uwezo wa akili wa huyu hata uwe bubu lazima utaongea tuWewe unayejiona una akili kubwa unaweza kuwa ndio mwenye akili ndogo.
Rwanda na Zanzibar zinapiga hatua zikiongozwa na marais wenye uhuru wa kufanya kile wanachoamua.
Hizi demokrasia za kutaka kila mtu asikike zimetuchelewesha sana.
Hayati JPM angewasikiliza wanaharakati asingeweza kufanya mengi makubwa.
Huwa hamna shukrani kila mada mnainua midomo kutaka kuichangia hata kama uelewa wenu ni asilimia 10 ya kinachojadiliwa.Unategemea na akili ya kiongozi. Huku kwetu kwa uwezo wa akili wa huyu hata uwe bubu lazima utaongea tu
Yaani mitandao ni tatizo?...ifungeni Sasa tatizo liishe.Kuna mtu anashangaa kwanini Rwanda na Zanzibar wamepiga hatua, marais hawakutani na wajuaji wengi wa mitandaoni wanaachwa huru kufanya yale ya kitaalam
Hata vita ya dunia hawakufa watu wote lakini haimaanishi kuwa hakuna mamilion waliouwawaMbona mimi na wewe hatujauliwa?. Vijana jifunzeni kutii sheria bila shuruti.
Ukijitia kimbelembele unahatarisha maisha yako.Hata vita ya dunia hawakufa watu wote lakini haimaanishi kuwa hakuna mamilion waliouwawa
Hana uwezo wa kuua watu wote ndio maana mimi na wewe tupo
Huo Uhuru wa kufanya anachotaka bila watu kuongea, akafanye kwa familia yake sio nchjWewe unayejiona una akili kubwa unaweza kuwa ndio mwenye akili ndogo.
Rwanda na Zanzibar zinapiga hatua zikiongozwa na marais wenye uhuru wa kufanya kile wanachoamua.
Hizi demokrasia za kutaka kila mtu asikike zimetuchelewesha sana.
Hayati JPM angewasikiliza wanaharakati asingeweza kufanya mengi makubwa.
Yeye analindwa masaa 24 na makandoo wa kila aina, helicopters na vyote, ina maana ana kimbelembele?Ukijitia kimbelembele unahatarisha maisha yako.
Hao wauaji, wangejua hilo wangeacha KUUA na kusweoa watu mahabusu kwasababu hata wao WATAKUFA.Kufa ni amri ya Mungu, hakuna atakayedumu juu ya uso wa dunia.
Tumefika hapa tulipo, kwasababu WATAWALA wameshindwa kufuata KATIBA, KANUNI na SHERIA za NCHI.Lakini kumbuka kuheshimu sheria za nchi, punguza mdomo mrefu ndio muhimu.
Rais Samia akiwaapisha viongozi mbambali aliowateua, amesema Tanzania kila unalofanya linatafsiriwa, akirejelea Uteuzi wa Waziri Rajabu Salum ambapo amedai kuwa watu walisema katolewa. Rais Samia amesema Salumu kakua hivyo amempa nafasi ya kisekta.