RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 4,504
- 8,842
Kuna wengine hatuna midomo lakini tuna speculative analysis ya matukio!!
Mfano aliekuchorea namna ulivyo shika dola Kwa awamu hii ndio aliekuaharibia urais wako Sasa !japo unafanya mazuri lakini doa alilozalisha linazima kabisa juhudi zako ulizonazo za maendeleo ya taifa letu!!