Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Changamoto za kisaikolojia zipo nyingi na zinaweza kumpata mtu yeyoteMpaka mjinga anawaongoza hao wenye akili maana yake ni wajinga kuliko wanavyojidanganya.
Samia kwa viwango vya marais kwa sasa ndiye bora kuliko watangulizi wote, kwa sababu anaufahamu uwezo wake pia hana makuu, ana usikivu kwa wale wataalam wenye fani zao.