Rais Samia: Tanzania inakusudia kuandaa Mashindano ya AFCON 2027. Viwanja 3 vipya kujengwa

Washindani wa Tanzania kwenye mbio za AFCON ni Botswana na Namibia ambao wanapanga kuandaa kwa pamoja 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220603-171551.png
    84.9 KB · Views: 12

Zanzibar nako kunahitajika uwanja wa 50,000 - 60,000, 40,000 ni ndogo sana for the future. Tanzania tunahitaji viwanja vikubwa mana population yetu ni kubwa na pia mapenzi yetu ya mchezo wa football ni makubwa.
 
Unfortunately Mashindano yataandaliwa kwa pamoja na Uganda 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220717-182836.png
    140.1 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220717-183030.png
    123.8 KB · Views: 5
Hakuna kiwanja Kanda ya ziwa ambapo ndipo kwenye idadi kubwa ya watu n mashabiki wanapenda mpira?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…