Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Unaumwa tuweke list hapa washamba wa juzi nyie eti mna vipaji hamna sehemu munaipiku tangaMbeya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaumwa tuweke list hapa washamba wa juzi nyie eti mna vipaji hamna sehemu munaipiku tangaMbeya
MbeyaUnaumwa tuweke list hapa washamba wa juzi nyie eti mna vipaji hamna sehemu munaipiku tanga
Nawasalimu Wapenzi wote wa Michezo Tanzania kwa jina la JMT..
1. Dodoma-Seating Capacity 80,000-100,000
2. Mbeya -Seating Capacity 50,000-60,000
3. Arusha- Seating Capacity 40,000-50,000
4. Unguja/Zanzibar- Seating Capacity 20,000-40,000
Kazi iendelee👇
Hakuna kiwanja Kanda ya ziwa ambapo ndipo kwenye idadi kubwa ya watu n mashabiki wanapenda mpira?Nawasalimu Wapenzi wote wa Michezo Tanzania kwa jina la JMT..
Katika kile kinachoonekana ni muendelezo wa Rais Samia kuupiga mwingi, amesema Serikali yake inajipanga na kujiandaa kwa ajili ya kuomba kuandaa na kuwa Mwenyeji wa Mashindano ya AFCON mwaka 2027.
Hayo yamesemwa na Rais Samia wakati akipokea Kombe la Dunia na kuwataka Viongozi wa Michezo na wengine kwenye sekta mbalimbali wajiandae Ili kufanikisha Nia hiyo.
Aidha, Rais Samia amesema inahitajika walau viwanja vikubwa vingine kama 3 hivi Ili kufanya jumla ya viwanja vyenye hadhi vipatavyo 6.
Mimi kama mdau wa Michezo naunga mkono wazo hili la Serikali na Kwa hiyo kuanzia mwaka huu waanze kutenga pesa za kujenga viwanja na miundombinu mingine.
Napendekeza Viwanja hivyo vipya na training grounds vijengwe kwenye miji ifuatayo;
1. Dodoma-Seating Capacity 80,000-100,000
2. Mbeya -Seating Capacity 50,000-60,000
3. Arusha- Seating Capacity 40,000-50,000
4. Unguja/Zanzibar- Seating Capacity 20,000-40,000
Aidha, Serikali ifanye maboresho makubwa katika viwanja vya CCM Kirumba Mwanza, Uhuru Dar es Salaam na Jamhuri Morogoro Ili miji hiyo pamoja na viwanja vipya vitakavyojengwa iweze kuandaa Mashindano kwa pamoja.
Kazi iendelee👇
CCM Kirumba sio Kiwanja? Huo uwanja utaboreshwa..Hakuna kiwanja Kanda ya ziwa ambapo ndipo kwenye idadi kubwa ya watu n mashabiki wanapenda mpira?
Kwa akili Yako hapo CCM kirumba huo uwanja unakidhi viwango vya kimataifa?CCM Kirumba sio Kiwanja? Huo uwanja utaboreshwa..
Pili kama mnapenda mpira inakuaje hamna timu hata moja ligi kuu?
Kwamba mnapenda mpira ila hamjui kucheza sio?
Wewe huna akili,nini maana ya kukifanyia marekebisho makubwa?Kwa akili Yako hapo CCM kirumba huo uwanja unakidhi viwango vya kimataifa?
Wewe unatumia makamasi Mwanza kunatakiwa kujengwa uwanja mpya hivyo viwanja vya CCM waachiwe wafanye matamasha yao sawa dogoWewe huna akili,nini maana ya kukifanyia marekebisho makubwa?
Ndio hawajengi Sasa na maboresho yatafanyika..Wewe unatumia makamasi Mwanza kunatakiwa kujengwa uwanja mpya hivyo viwanja vya CCM waachiwe wafanye matamasha yao sawa dogo
Utaona Sasa kama hakutajengwa hii nchi hujui Siasa zake tuliza mshonoNdio hawajengi Sasa na maboresho yatafanyika..
Uwanja utajengwa Dom .