mwalimu_wa_IT
Member
- Nov 5, 2024
- 93
- 165
Kweli huyu ni Magufuli haya ni Maneno ya Magufuli alikua anayasema mara kwa mara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi ambayo wanasiasa ni matajiri kuliko wafanyabiashara.Raisi amekiri kuwa yeye, na chama chake, wameshindwa kuwaongoza Watanzania katika kujiletea maendeleo pamoja na kwamba tumebarikiwa rasilimali.
Dipiwedi ipo na Bandari itaendelea kuwepo zama na zama zijazo hakuna atakaye ibeba na kuipeleka ujombani wala wapi 😳Kumbe ndo maana tukazigawa kwa wajomba na marafiki wa faida
Katika Nchi yeyote Duniani wenye IQ kubwa huwa ni wachache lakini huwa Wanaheshimiwa na kulindwa ili waweze kuisaidia Nchi na watu wake !Kataja rasilimali zote kasahau umasikini wetu ni rasilimali "akili". Mimi nadhani IQ ya mtanzania iko chini sana, hivyo hata hizo rasilimali zingine hazina manufaa yoyote.
Tàtizo yeye keshauza rasilimali zetu ngoroñgoro, bàndari nk àmetajirika sasa ànawasimanga masikini. Awape nào mbuga wauze siyo kuwasimanga.Wakuu,
“Umasikini ni tafsiri, mtu anaweza kuja Tanzania akasema Tanzania ni nchi masikini, lakini ni tafsiri, inategemea vigezo gani ametumia. Mimi ukiniambia Tanzania ni nchi masikini ninakukatalia, ninakwambia Tanzania siyo masikini, sisi ni matajiri mno, tuna rasilimali, tuna maji, tuna ardhi nzuri, tuna kila kitu, lakini tuna mapungufu kwenye kuvitumia hivi na kuleta maisha bora kwa kila mtu"- Rais Samia.
Soma Pia: Jinsi Rais Samia alivyouliza maswali magumu kwenye mkutano wa G20
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akijibu swali la mwanahabari mwandamizi Absalom Kibanda katika mkutano wake na wahariri pamoja waandishi wa habari, uliofanyika huko nchini Brazil baada ya kushiriki mkutano wa G20.
Swali la mdau: Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?
fisadi hawapendi kusikia hiyo kitu !Misingi ya azimio la Arusha ndio ulikuwa mkombozi wetu, ili tuendelee tunahitaji vitu vinne
Watu
Ardhi
Siasa Safi na Uongozi Bora.
Tukiweza kutekeleza hivyo viwili vya mwisho tutakuwa mbali.
Labda Dhahabu na Gesi 🙄😳 ! Au ??!!Rasilimali zipi anaongelea? Kila siku anaziuza
Nakubaliana na Mama.Wakuu,
“Umasikini ni tafsiri, mtu anaweza kuja Tanzania akasema Tanzania ni nchi masikini, lakini ni tafsiri, inategemea vigezo gani ametumia. Mimi ukiniambia Tanzania ni nchi masikini ninakukatalia, ninakwambia Tanzania siyo masikini, sisi ni matajiri mno, tuna rasilimali, tuna maji, tuna ardhi nzuri, tuna kila kitu, lakini tuna mapungufu kwenye kuvitumia hivi na kuleta maisha bora kwa kila mtu"- Rais Samia.
Soma Pia: Jinsi Rais Samia alivyouliza maswali magumu kwenye mkutano wa G20
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akijibu swali la mwanahabari mwandamizi Absalom Kibanda katika mkutano wake na wahariri pamoja waandishi wa habari, uliofanyika huko nchini Brazil baada ya kushiriki mkutano wa G20.
Swali la mdau: Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?
Hii video inayomwonesha Mh Rais Samia alisema yakuwa watanzania wameshindwa KUTUMIA rasirimali zilizopo Tanzania kujikomboa ilo ni uwongo wa mchana kweupe na linatakiwa kupingwa na kila mtanzania ambae anathamini rasirimali zetu
Dunia ya Leo uwezi sema tumekosa technolojia ya KUTOSHA wasomi wa KUTOSHA la hasha Bali hapa hoja ni kuwa ni mtanzania Gani amefundishwa KUTUMIA rasirimali zetu anashindwa?
Ni lini tulifumdishwa KUTUMIA mitambo ya kisasa kuchimba Madeni tukashindwa?
Lini tulifundishwa KUPANDA mrima kilimanjaro.tukashindwa?
Tanzania ndo nchi pekee mwanafunzi anafundishwa kuimba rasrimali lakini hafundishwi thamani yake,
Thamani ya rasrimali za nchi ni nyara ya serikali na wanaccm wachache
Hatuwezi sema watanzania sio masikini watanzania ni masikini na umaskini wao sio takwa la Mungu ni takwa la ccm na genge lake.
Gentleman,Hii video inayomwonesha Mh Rais Samia alisema yakuwa watanzania wameshindwa KUTUMIA rasirimali zilizopo Tanzania kujikomboa ilo ni uwongo wa mchana kweupe na linatakiwa kupingwa na kila mtanzania ambae anathamini rasirimali zetu
Dunia ya Leo uwezi sema tumekosa technolojia ya KUTOSHA wasomi wa KUTOSHA la hasha Bali hapa hoja ni kuwa ni mtanzania Gani amefundishwa KUTUMIA rasirimali zetu anashindwa?
Ni lini tulifumdishwa KUTUMIA mitambo ya kisasa kuchimba Madeni tukashindwa?
Lini tulifundishwa KUPANDA mrima kilimanjaro.tukashindwa?
Tanzania ndo nchi pekee mwanafunzi anafundishwa kuimba rasrimali lakini hafundishwi thamani yake,
Thamani ya rasrimali za nchi ni nyara ya serikali na wanaccm wachache
Hatuwezi sema watanzania sio masikini watanzania ni masikini na umaskini wao sio takwa la Mungu ni takwa la ccm na genge lake.
💯 Truth !Nchi ambayo wanasiasa ni matajiri kuliko wafanyabiashara.