Rais Samia: Tanzania siyo masikini, tumeshindwa tu kutumia rasilimali vizuri

The way it is now will be different soon and some of the decisions made will be questionable
 
Kaanza kuchoka, aniachie nami japo mwezi moja nijaribu.

Milioni goli moja mimi nitaongeza milioni 10 kila goli, kipa akidaka, milioni 5, mpira ukikosa kosa goli milioni 2.5, penalt upate ukose milioni 1.

Kila timu itasafiri kwa ndege zetu bure, kwenda na kurudi.

Sasa hapo nitakuwa situmii rasilimali vizuri kweli ndugu zangu?
 
Kataja rasilimali zote kasahau umasikini wetu ni rasilimali "akili". Mimi nadhani IQ ya mtanzania iko chini sana, hivyo hata hizo rasilimali zingine hazina manufaa yoyote.
 
Kumbe ndo maana tukazigawa kwa wajomba na marafiki wa faida
Dipiwedi ipo na Bandari itaendelea kuwepo zama na zama zijazo hakuna atakaye ibeba na kuipeleka ujombani wala wapi 😳
Ila Dhahabu na Gesi yetu ikienda ujue imeenda jumla !!
Yanabakiaga mashimo tu !
Mama hajauza Rasilmali yeyote ya Nchi !
 
Kataja rasilimali zote kasahau umasikini wetu ni rasilimali "akili". Mimi nadhani IQ ya mtanzania iko chini sana, hivyo hata hizo rasilimali zingine hazina manufaa yoyote.
Katika Nchi yeyote Duniani wenye IQ kubwa huwa ni wachache lakini huwa Wanaheshimiwa na kulindwa ili waweze kuisaidia Nchi na watu wake !
Kwetu wenye IQ kubwa wanaonekana ni wakosoaji ni wapinzani ni maadui na ni wasaliti 😳 !

Watu wametanguliza maslahi yao na vyama vyao mbele badala ya maslahi ya Nchi Kwanza 😳🙄 !
 
Tàtizo yeye keshauza rasilimali zetu ngoroñgoro, bàndari nk àmetajirika sasa ànawasimanga masikini. Awape nào mbuga wauze siyo kuwasimanga.
 
🤣🤣😂😂 Sasa ndio anakumbuka. Toka 2021 alikuwa hajui.
Mimi nasema mtu asikae kwenye hicho kiti kabla hajajipanga...
 
Nakubaliana na Mama.
 
Hii video inayomwonesha Mh Rais Samia alisema yakuwa watanzania wameshindwa KUTUMIA rasirimali zilizopo Tanzania kujikomboa ilo ni uwongo wa mchana kweupe na linatakiwa kupingwa na kila mtanzania ambae anathamini rasirimali zetu

Dunia ya Leo uwezi sema tumekosa technolojia ya KUTOSHA wasomi wa KUTOSHA la hasha Bali hapa hoja ni kuwa ni mtanzania Gani amefundishwa KUTUMIA rasirimali zetu anashindwa?

Ni lini tulifumdishwa KUTUMIA mitambo ya kisasa kuchimba Madeni tukashindwa?

Lini tulifundishwa KUPANDA mrima kilimanjaro.tukashindwa?
Tanzania ndo nchi pekee mwanafunzi anafundishwa kuimba rasrimali lakini hafundishwi thamani yake,

Thamani ya rasrimali za nchi ni nyara ya serikali na wanaccm wachache

Hatuwezi sema watanzania sio masikini watanzania ni masikini na umaskini wao sio takwa la Mungu ni takwa la ccm na genge lake.
 
Hata Rais wa awamu ya Nne Kikwete aliulizwa na waandishi huko Paris kwamba kwanini Tanzania ni masikini ??
Akajibu hata yeye hajui ni kwanini Tanzania ni masikini !!!
 
Gentleman,
uoga na uvuvi wako ndiyo umaskini wako. Jikasirikie mwenyewe acha visingizio kwa wengine.

kua maskini au tajiri Tanzania ni uamuzi wako binafsi tu 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…