Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu unamsikia Makalla akitaka kupasuka kifua kwa sifa nyiingi kwa SSH.Kwanza huu mradi wa magomeni quater ulikuwa umekamilika kwa 98 kazi iliyokuwa imebaki ni kama kumakizai usafi tu sasa rahis kujigamba kuwa amemalizia huo ni uongo mwingine .. mfano daraja la wami lilikuwa linaenda kww kasi ya ajabu , lakini sasa ni amna kitu bara bara ya njia nane nayo ilikuw imekamilika kwa zaidi ya 92 lakini kwa sasa ni kama vile mradi unaanza upya
Mkuu Ng'wanamalundi.
Baadhi ya wachangiaji humu ni watu wenye kutoelewa kauli zao.
Saa ingine na changamoto za umri mdogo pia.
Pia ninadhani baadhi wanasukumwa na mahaba binafsi au itikadi za uchama kuliko kuangalia maslahi mapana ya Miradi hii mikubwa ya kitaifa.
Kama Rais yuko serious na anachohubiri majukwaani basi asingetimiza mwaka mmoja bila kukanyaga kwenye ule mradi kuukagua na kuuhimiza ujenzi kwenda kwa kasi iliyopangwa awali.
commonmwananchi
10101
Kwa hiyo Rais ni mtaaluma wa kuzindua miradi na siyo kusimamia pia utekelezaji?Makonda umeshamalizana na GSM?
Miradi yako ya chato imefikia wapi?
Unapaswa kujua, miradi inafanywa na kusimamiwa na wataalam, Rais hatakiwi kutembelea mradi ili ujue unaendelea, Rais ana majukumu mengi sana!
Tulia tu Dawa ikuingie vizuri
Kwani anakoenda sasa hivi kuna tofauti gani?Tofautisha kati ya Rais na mnyapara, ukijua tabia za Rais ni zipi na tabia za nyapara ni zipi huwezi kupata shida.
Rais anapewa daily briefing ya nchi mzima kila siku asubuhi, labda hulijui hili.
Rais kuzurura hovyo mabarabarani ni usumbufu mkubwa kwa raia na ni sababu ya kuuwa uchumi wa mtu mmoja mmoja.
Tatizo wengine mlizoea kuongozwa na washamba, sasa akiwa mtu mstaarabu madarakani vijambio vinaanza kuwapwita.
Kwa hiyo akienda ataenda na winch?Kutambelea Site kunahimiza watendaji kuongeza bidii ya kazi na pia kunazuia baadhi ya upigaji.
Kama ule tunaoambiwa na Makamba kwamba imekosekana winch ya kunyanyulia mlango wa bwawa.
commonmwananchi
10101
Makamu wa Rais na PM wote wameshaenda lakini nothing done, umeme kipindi cha dikteta mbona ulikuwa haukatika na vyanzo ni vilevile? dikteta pamoja na mabaya yake lakini kwenye umeme aliweza sn, huu mradi Kalemani angeendelea kuwepo pale nadhani tungekuwa mbali sn, Makamba anawaza uRais 2030 hivyo hataki kugombana na watu hasa wafanyabiashara.Siyo kila mradi. Bwawa hilo ni mradi mkubwa unaostahili hadhi hiyo. Kuisha kwa mradi huo kutanufaisha miradi mingine mingi. Kwa mfano kuna mradi wa SGR ambao ukiisha utategemea kwa asilimia kubwa sana huu mradi wa bwawa. Vivyo hivyo kuna vilio vingi kuhusu kukatikakatika kwa umeme ambako kunakwamisha miradi mingine mingi. Siyo sahihi kukosoa mtu anayetaka Rais aende huko kwa kusema 'kila mradi'. Mradi huu ni maalumu unaostahili hadhi hiyo, na siyo kulinganishwa na kufungua mradi wa maji Chalinze.
Aidha, awali mradi huo ulitajwa kukamilika (au kuanza kujaza maji) mwezi huu wa Machi. Sasa kama Waziri anasema hilo lengo halitafikiwa kutokana na maelezo yasiyoeleweka ya kukosekana winchi la kunyanyulia mlango, ipo haja ya Rais kwenda kujionea kulikoni.
Nakubaliana na wewe kabisaRais anaehamasisha ufisadi katika Serikali yake hawezi kuwa na uwezo hata wa kukamilisha mradi wa mabanda ya Kuku katika Taifa🐒🐒🐒
View attachment 2162656
Rais anaehamasisha ufisadi katika Serikali yake hawezi kuwa na uwezo hata wa kukamilisha mradi wa mabanda ya Kuku katika Taifa🐒🐒🐒
View attachment 2162656
Ila kuna wakati nyie raia mnakuwa nyanokho sana! Umeme mbona UK fresh tu? Wapi huko ambako mnakaa gizani masaa yote?Baada ya hapo kero ya umeme kukatika imeendelea kwa kasi ile ile ya mwaka 2010 - 2015.
Anahangaika zaidi na 10% ili apate fungu la kufanyia kampeni 2025.Makamu wa Rais na PM wote wameshaenda lakini nothing done, umeme kipindi cha dikteta mbona ulikuwa haukatika na vyanzo ni vilevile? dikteta pamoja na mabaya yake lakini kwenye umeme aliweza sn, huu mradi Kalemani angeendelea kuwepo pale nadhani tungekuwa mbali sn, Makamba anawaza uRais 2030 hivyo hataki kugombana na watu hasa wafanyabiashara.
Na kuunda mtandao wa uRaisAnahangaika zaidi na 10% ili apate fungu la kufanyia kampeni 2025.
Umetoa majibu ya hovyo ndiyo maana nikauliza hivyoHilo swali sintaweza kujibu kwa sababu ni la kihuni.
Kipo Chato.Kwani huko Rufiji kuna kiwanja kutua ndege, tuanzie hapa kwanza
Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
Umeongea jambo ambalo wengi hawalijui.Kwa kifupi ,rais anaogopa akifanya hivyo kigogo2014 atachukia, so anaogopa kumuudhi makamba.