Rais Samia, tengua uteuzi wa Waziri Makamba na Bodi nzima ya TANESCO. Au na wewe una maslahi na kinachoendelea?

Hafanyi vizuri kivipi? Ameingia juzi ameongeza megawatt kwenye gridi ya taifa ya umeme kwa kutumia gesi ambayo ilikuwepo lakini kwa sababu mbalimbali ikawa haitumiki.
Mlitaka muwe na waziri anayesimamia nishati huku kukiwa hakuna mvua ya kutosha watu wakae gizani? January kakuta umeme unaozalishwa na maji yaani mabwawa uko chini ya kiwango kwa ukame. Kajiongeza kaenda kuitumia gesi ambayo tayari ilikuwepo lakini haikuingizwa kwenye grid ya taifa! Kaingiza hizo megawat ambazo hata bwawa likiwa chini ya kiwango nchi inakuwa bado inao umeme wa uhakika. Anakuwaje chini ya kiwango?
 
Bado upo na huu msimamo?
Sana. Bado ninao. This man is real not only talented but also a visionary leader. Within few days he managed the country to apply its own resources for power generated from songas gas plant and increase over 30 megawatts to national eletricity supply through TANESCO! for me he is a man who decide!
 
Mpuuzi wewe umeme wenyewe uko wapi zaidi ya kukatika katika
 
Aliingia umeme haukatika sasa unakatika kila siku
 
Mpuuzi wewe umeme wenyewe uko wapi zaidi ya kukatika katika
Hapo ukute ni oficer wa serikali ndio unaona unatimiza sifa za kuita kila unayepingana nae kwa hoja mpuuzi. Iko hivi huo uafisa wako utakwisha, huo utumishi wako pia utakwisha. Heshimu kila mtu katika dunia hii.
 
Officer dingi ako, mm ni ofisa kwenye familia yangu asee, siyo kila mtu ni mtumishi wa umma Bashite mkubwa wewe
 
Hapo ukute ni oficer wa serikali ndio unaona unatimiza sifa za kuita kila unayepingana nae kwa hoja mpuuzi. Iko hivi huo uafisa wako utakwisha, huo utumishi wako pia utakwisha. Heshimu kila mtu katika dunia hii.
Ukiwa mjinga hutaki uambiwe?
 
Mvua zilisha nyesha sasa, shida iko wapi au ni dumzi mtu yule
 
Duuuh.yaani Kama janu he device to be thea,Basi hii nchi mtu yeyote anaweza kuwa waziri hakiyanani!!
 
Ni wivu tu, hamna lolote.

Huyo Makamba hiyo nafasi ana muda gani tangu ateuliwe. Yani muda huo mfupi ndio atatue matatizo tuliyojitengenezea miaka kibao?
Wala hapakua na matatizo eti ya kuja kutatua januari. Januari ana weledi gani kumshinda dr medard aliyekuepo. January kama kumshinda ni upigaji na ubabaishaji. Hilo ndio jambo wahuni wamempeleka january nishati aweze tunga kandarasi za wao kupiga hela ya umma.
 
Hivi ndivyo mnvyoaminishwa huko sasa mnakuja nayo hapa
 
Zimwi la uchafuzi mkuu wa 2020 linaendelea kutesa. Na kazi iendelee.
 
ngoja tuuze wese kwanza. Acha roho mbaya
 
Akili zako ziko matakoni

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…