I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Utakuta ndiye January mwenyewe huyo.Bado upo na huu msimamo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuta ndiye January mwenyewe huyo.Bado upo na huu msimamo?
YapUtakuta ndiye January mwenyewe huyo.
Wewe utakuwa chawa jamaa hafanyi vizuri.Katika akili ya kawaida kabisa huwezi kumuacha January Makamba nje ya baraza la mawaziri. Yaani huwezi. This man is talented
Sana. Bado ninao. This man is real not only talented but also a visionary leader. Within few days he managed the country to apply its own resources for power generated from songas gas plant and increase over 30 megawatts to national eletricity supply through TANESCO! for me he is a man who decide!Bado upo na huu msimamo?
Mpuuzi wewe umeme wenyewe uko wapi zaidi ya kukatika katikaSana. Bado ninao. This man is real not only talented but also a visionary leader. Within few days he managed the country to apply its own resources for power generated from songas gas plant and increase over 30 megawatts to national eletricity supply through TANESCO! for me he is a man who decide!
Aliingia umeme haukatika sasa unakatika kila sikuHafanyi vizuri kivipi? Ameingia juzi ameongeza megawatt kwenye gridi ya taifa ya umeme kwa kutumia gesi ambayo ilikuwepo lakini kwa sababu mbalimbali ikawa haitumiki.
Mlitaka muwe na waziri anayesimamia nishati huku kukiwa hakuna mvua ya kutosha watu wakae gizani? January kakuta umeme unaozalishwa na maji yaani mabwawa uko chini ya kiwango kwa ukame. Kajiongeza kaenda kuitumia gesi ambayo tayari ilikuwepo lakini haikuingizwa kwenye grid ya taifa! Kaingiza hizo megawat ambazo hata bwawa likiwa chini ya kiwango nchi inakuwa bado inao umeme wa uhakika. Anakuwaje chini ya kiwango?
Hapo ukute ni oficer wa serikali ndio unaona unatimiza sifa za kuita kila unayepingana nae kwa hoja mpuuzi. Iko hivi huo uafisa wako utakwisha, huo utumishi wako pia utakwisha. Heshimu kila mtu katika dunia hii.Mpuuzi wewe umeme wenyewe uko wapi zaidi ya kukatika katika
Officer dingi ako, mm ni ofisa kwenye familia yangu asee, siyo kila mtu ni mtumishi wa umma Bashite mkubwa weweHapo ukute ni oficer wa serikali ndio unaona unatimiza sifa za kuita kila unayepingana nae kwa hoja mpuuzi. Iko hivi huo uafisa wako utakwisha, huo utumishi wako pia utakwisha. Heshimu kila mtu katika dunia hii.
January ana account za kutosha Jf na twitter, na alijipanga hivyo kitamboMpuuzi wewe umeme wenyewe uko wapi zaidi ya kukatika katika
Ukiwa mjinga hutaki uambiwe?Hapo ukute ni oficer wa serikali ndio unaona unatimiza sifa za kuita kila unayepingana nae kwa hoja mpuuzi. Iko hivi huo uafisa wako utakwisha, huo utumishi wako pia utakwisha. Heshimu kila mtu katika dunia hii.
Tuhabarishe huo utalent alionaoKatika akili ya kawaida kabisa huwezi kumuacha January Makamba nje ya baraza la mawaziri. Yaani huwezi. This man is talented
Mvua zilisha nyesha sasa, shida iko wapi au ni dumzi mtu yuleMakamba ndiye kazuia mvua zisinyeshe? Ndiye amesababisha muwe wajinga na kutegemea chanzo cha umeme kimoja cha maji badala ya kugeukia njia mbadala (Gas)? Na kwa mabadiliko haya ya hali ya hewa hilo libwawa lenu mnalojenga bila akili litajaza matope na vyura tu...
Duuuh.yaani Kama janu he device to be thea,Basi hii nchi mtu yeyote anaweza kuwa waziri hakiyanani!!Sana. Bado ninao. This man is real not only talented but also a visionary leader. Within few days he managed the country to apply its own resources for power generated from songas gas plant and increase over 30 megawatts to national eletricity supply through TANESCO! for me he is a man who decide!
Wala hapakua na matatizo eti ya kuja kutatua januari. Januari ana weledi gani kumshinda dr medard aliyekuepo. January kama kumshinda ni upigaji na ubabaishaji. Hilo ndio jambo wahuni wamempeleka january nishati aweze tunga kandarasi za wao kupiga hela ya umma.Ni wivu tu, hamna lolote.
Huyo Makamba hiyo nafasi ana muda gani tangu ateuliwe. Yani muda huo mfupi ndio atatue matatizo tuliyojitengenezea miaka kibao?
Hivi ndivyo mnvyoaminishwa huko sasa mnakuja nayo hapaWala hapakua na matatizo eti ya kuja kutatua januari. Januari ana weledi gani kumshinda dr medard aliyekuepo. January kama kumshinda ni upigaji na ubabaishaji. Hilo ndio jambo wahuni wamempeleka january nishati aweze tunga kandarasi za wao kupiga hela ya umma.
Zimwi la uchafuzi mkuu wa 2020 linaendelea kutesa. Na kazi iendelee.Kauli yako, ya waziri mkuu na ya waziri January Makamba inaonyesha kuna udanganyifu mkubwa sana kwa mamlaka unaoendelea nchini.
Kauli zenu ndio zinafanya Watanzania watilie shaka weledi wenu kama viongozi wakuu wa nchi.
Teuzi ya January Makamba imebuma mapema mno, unasubiri mambo yaharibike kwa kiwango gani ndio uchukue hatua?
Sababu zote mlizozitoa zinatushangaza Watanzania, tena ni za ghafla na kinzani.
Haiwezekani kuondoa wabobezi wa fani ya masuala ya umeme wote kwa mkupuo ukafanikiwa, never!
Hii teuzi ukiing'ang'ania itakuharibia kila jema uwazalo kwa Watanzania, hafai, lawama zote zitakuangukia wewe kiranja mkuu.
Ulisema, unasoma mitandaoni sana, kilio na mtazamo wa wananchi umeusikia, hivyo kwa sasa ni ngumu kwadanganya Watanzania.
Amua haraka kwa faida ya nchi, si dhambi kurekebisha kosa.
Soma pia
1) Kwa nia njema kabisa, Rais Samia mfute kazi Waziri Makamba
2) January Makamba: Umeme mwisho kukatika wiki mbili, baada ya hapo nitafukuza watu
3) Waziri January Makamba hana msaada wowote kwenye wizara ya Nishati, Tumechoka aisee
ngoja tuuze wese kwanza. Acha roho mbayaKauli yako, ya waziri mkuu na ya waziri January Makamba inaonyesha kuna udanganyifu mkubwa sana kwa mamlaka unaoendelea nchini.
Kauli zenu ndio zinafanya Watanzania watilie shaka weledi wenu kama viongozi wakuu wa nchi.
Teuzi ya January Makamba imebuma mapema mno, unasubiri mambo yaharibike kwa kiwango gani ndio uchukue hatua?
Sababu zote mlizozitoa zinatushangaza Watanzania, tena ni za ghafla na kinzani.
Haiwezekani kuondoa wabobezi wa fani ya masuala ya umeme wote kwa mkupuo ukafanikiwa, never!
Hii teuzi ukiing'ang'ania itakuharibia kila jema uwazalo kwa Watanzania, hafai, lawama zote zitakuangukia wewe kiranja mkuu.
Ulisema, unasoma mitandaoni sana, kilio na mtazamo wa wananchi umeusikia, hivyo kwa sasa ni ngumu kwadanganya Watanzania.
Amua haraka kwa faida ya nchi, si dhambi kurekebisha kosa.
Soma pia
1) Kwa nia njema kabisa, Rais Samia mfute kazi Waziri Makamba
2) January Makamba: Umeme mwisho kukatika wiki mbili, baada ya hapo nitafukuza watu
3) Waziri January Makamba hana msaada wowote kwenye wizara ya Nishati, Tumechoka aisee
Akili zako ziko matakoniKauli yako, ya waziri mkuu na ya waziri January Makamba inaonyesha kuna udanganyifu mkubwa sana kwa mamlaka unaoendelea nchini.