Rais Samia, tengua uteuzi wa Waziri Makamba na Bodi nzima ya TANESCO. Au na wewe una maslahi na kinachoendelea?

Wewe ni mtaalamu wa Umeme? Kiasi cha maji cha kuzalisha umeme kinapimwa kwa macho yako yanayoona mto Ruaha una maji kila siku au kwa volume ambayo inapimwa kitaalamu?
 
Huu ukame ulianza from nowhere? Walikuwa hawajui hali ingefikia hapa ilipo na namna gani wajipange kuikabili mapema?
 
Wewe ni mtaalamu wa Umeme? Kiasi cha maji cha kuzalisha umeme kinapimwa kwa macho yako yanayoona mto Ruaha una maji kila siku au kwa volume ambayo inapimwa kitaalamu?
Inaonekana na wewe ni layman kwenye uzalishaji wa umeme wa HEP.
 
CCM haijawahi kushindwa
Kushindwa haijawahi na pengine haitatokea hata huko mbele. Ila hali halisi kilichotokea kwenye masunduku ya kura huwa wanafahamu.

Unajua kwanini J K Nyerere alifanya uchaguzi kila baada ya miaka mitano, japo mshindani wake alikuwa ni Kivuli? Alitaka kujua hivi katika masunduku ya kura ukweli upoje? Yaani asilimia ngapi wanamtaka na asilimia ngapi wanamtosa. Kwa mwanasiasa hizi takwimu kuzijua zina maana sana, hata kama ataendelea kuapishwa na kuongoza nchi/jimbo.

Hizi takwimu huwa zinawafanya wakose usingizi usiku. Ulishasikia kuwa huu Urais kaupata kwa kudra za M Mungu, anasubiri ule wa wananchi au wakupewa na NEC.
 
Wee Chadema unazingua sasa embu tulia huko...

maana ilikuwa kila anaye laumu mamlaka kama ufanyavyo unaona ni mpinzani, na kwako bwashee mpinzani haruhusiwi kutoa maoni au kulialia kama wewe...

ebu agiza mbege bwashee..

mkishaua upinzani ndiyo basi tena
 
Huu ukame ulianza from nowhere? Walikuwa hawajui hali ingefikia hapa ilipo na namna gani wajipange kuikabili mapema?
Lawama ziende kwa Serikali zote kuanzia awamu ya kwanza kwa kutegemea chanzo kimoja kikuu cha umeme kwa kipindi cha miaka 60, Na siyo eti leo hii tatizo la Umeme lionekane ni la Samia na January, ni upuuzi wa hali ya juu
 
Inaonekana na wewe ni layman kwenye uzalishaji wa umeme wa HEP.
Ndiyo maana siwezi kuongelea kiundani mambo ya HEP! Ila na ulayman wangu siwezi kusema eti sababu nimeona maji mto Ruaha basi yanatosha kama ulivyosema wewe, umetoa a very simple conclusion
 
Utakunywa sana spar letta bar! Makamba ni kama reincarnation ya Makonda wa enzi za Magufuli. Yuko kimkakati pale hata aharibu vipi hutoskia katolewa[emoji28]
Umenipa kufikiri sana. Nani huwa anafanya vetting ya viongozi?
Je taasisi hiyo iko huru au la?

Kwahiyo baada ya mama yetu nikija kuwa rahisi wenyu, nabandika vile roho yangu inapenda siyo?

Bantu haitakaa itoboe kiraisi
 
Chama na nchi imerudi kwa wapiga dili wa mwambao. Marope Jr hakuna kitu pale, management ya umeme imeshamshinda.
 
Umenipa kufikiri sana. Nani huwa anafanya vetting ya viongozi?
Je taasisi hiyo iko huru au la?

Kwahiyo baada ya mama yetu nikija kuwa rahisi wenyu, nabandika vile roho yangu inapenda siyo?

Bantu haitakaa itoboe kiraisi
Eeh mzee ni mwendo wa kusimika wana, unamtupia King D wizara ya ardhi, jecha man unamuweka Nishati na Madini, ukija kwa mwanao Lupacriss unampa wizara ya fedha pale mnamenya tu nchi!

Ni kujigawia maeneo tu na kupiga mipunga hazina!

Viwanda na biashara unamtupia Amanizzo pale anarekebisha maswala ya mikataba yote ya wawekezaji!
 
Wananchi hawana haja ya kumfahamu mtu la muhimu ni utendaji wake wenye matokeo yenye tija!! Hatutaki mumuongopee mama na longolongo zenu huku mkiwa na ajenda zenu za siri!!
 
Wananchi hawana haja ya kumfahamu mtu la muhimu ni utendaji wake wenye matokeo yenye tija!! Hatutaki mumuongopee mama na longolongo zenu huku mkiwa na ajenda zenu za siri!!
Hakuna anayeongopewa, kuna manyoka kila sehemu katika nchi yetu, Mama akitaka ukweli kuhusu jambo lolote anaupata ndani ya dakika moja! CHUKI ZENU KWA JANUARY ZINAWAPA UPOFU, KAMA NI KWA SABABU YA URAIS 2030 BASI HIZO MBIO MMEZIANZA MAPEMA SANA, MMEKOSEA TIMING...BY THAT TIME MTAKUWA MMECHOKA HOI NA KUJIEXPOSE VYA KUTOSHA KWA WAPINZANI WENU
 
Lawama ziende kwa Serikali zote kuanzia awamu ya kwanza kwa kutegemea chanzo kimoja kikuu cha umeme kwa kipindi cha miaka 60, Na siyo eti leo hii tatizo la Umeme lionekane ni la Samia na January, ni upuuzi wa hali ya juu
Bullshit. Times change. Teknologia, options na alternative solutuons zilizo available leo hiii siyo sawa na zile za miaka 60 iliyopita au hata miaka 5 iliyopita. What hasn’t changed in 60 years is the CCM policies na hao wawili are part of the problem.
 
Eeh mzee ni mwendo wa kusimika wana, unamtupia King D wizara ya ardhi, jecha man unamuweka Nishati na Madini, ukija kwa mwanao Lupacriss unampa wizara ya fedha pale mnamenya tu nchi!
Ujinga uliopo wahuni wanakula watakaosema wanasemwa wivu.
Kwanini vyombo vyote vya usalama viko kimya?
1. TISS kimyaaaaa
2. Intel ya Jeshi kimyaaa
3. Intel ya polisi zote kimyaa
4. Intel ya fedha na uchumi kimya
Inamaanisha wako konekitedi nao kutafuna mali za vizazi vijavyo, hayupo aliye tayari kuifia nchi?

Jamani vizazi vijavyo !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…