Rais Samia, tengua uteuzi wa Waziri Makamba na Bodi nzima ya TANESCO. Au na wewe una maslahi na kinachoendelea?

Ni wivu tu, hamna lolote.

Huyo Makamba hiyo nafasi ana muda gani tangu ateuliwe. Yani muda huo mfupi ndio atatue matatizo tuliyojitengenezea miaka kibao?
Makamba ameingia ameukuta umeme upo hata kama ulikuwa unakatika haikuwa mbaya na hovyo kama ulivyo sasa hivi.
 
Utakunywa sana spar letta bar! Makamba ni kama reincarnation ya Makonda wa enzi za Magufuli. Yuko kimkakati pale hata aharibu vipi hutoskia katolewa[emoji28]
Waendeleee kumkumbatia ila adhabu yao wataiona kwenye uchaguzi
 

hiyo ic uliyo iandika "konekted" nadhani ndiyo shida ilipo
 
Kutoka kwa wakatanta
Waziri January Makamba ulipoingia wizarani baada ya kuunda bodi ya wakurugenzi haikupita muda mkaingia mkataba wa dola million 30 na kampuni ya kihindi ya Mahendrakwa ajili ya setelite.

Huu ni wizi wa mchana kabisa tena wa mapema ukifumbiwa macho na utawala.

1. Kama miundo mbinu mibovu inahitaji ukarabati, setalite ilikuwa priority? Au fedha hiyo ingetumika kukarabati kwanza so said miundo mbinu chakavu?

2. Kama hatuna umeme wa uhakika, kwanini fedha hiyo isingetumika kuongezea uzalishaji umeme?

3. Hiyo setelite haikuwa kipaumbele bali ni maslahi binafsi ya kwako na bodi yako.

Naomba mamlaka zichunguze kwa makini kuhusu mkataba huu wenye harafu ya kifisadi, mabingwa wanachukua chao mapema mno

 
Hata mimi nashangaa wanavyompigia debe la kuwa ahamishwe hata miezi sita haijafika.

Lazima kuna team fulani hivi inapiga majungu kila siku kwenye mtandao.
Utakua jinsia ya KE,neno wivu mara nyingi hutamkwa na jinsia nilioitaja
 
Watu eanahitaji perfectionism ambayo haitokaa itokee.

Labda uweke malaika.

Kwanza watanzania kulalamika na kulaumu ni sehemu ya maisha yao.

Utasikia, Yanga kufungwa leo ni nani alaumiwe.

In short, wabongo kwenye kila kitu lazima mtu alaumiwe.
 
Mtu mwenye akili timamu anajua Makamba kapewa cheo cha Uwaziri kwa upendeleo (pamoja na bodi yote iliyojaa ex President JK sycophants) na siyo kwa uwezo aliyo nao. Hili kwa Wafanyakazi wa TANESCO linakuwa very demoralizing in the long run.
 
Kwa nini ameingia na kuleta madudu yote haya?
Madudu ya ukame ameyaleta yeye? Mitambo mikongwe inatumia umeme wa maji halafu inakuwa overworked. Kuna siku ingeishia kugoma tu hata kama JPM bado angekuwa yuko hai.
 
Jamaa walivyoingia madarakani wakaharibu kila kitu. Kwasasa watu waliokuwa wanafanyakazi kwa mzuka kwishine. Hadi kabudi hasikiki utafikiri nae kafa na kuzikwa huko chato
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Madudu ya ukame ameyaleta yeye? Mitambo mikongwe inatumia umeme wa maji halafu inakuwa overworked. Kuna siku ingeishia kugoma tu hata kama JPM bado angekuwa yuko hai.
Kweli wewe ni bitimkongwe kwelikweli
 
Watu eanahitaji perfectionism ambayo haitokaa itokee.

Labda uweke malaika.

Kwanza watanzania kulalamika na kulaumu ni sehemu ya maisha yao.

Utasikia, Yanga kufungwa leo ni nani alaumiwe.

In short, wabongo kwenye kila kitu lazima mtu alaumiwe.
Wanazingua sana wabongo
 
Tatizo ni mfumo ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…