Rais Samia teua Wakurugenzi, hawapo vituoni wote wamejazana Dodoma

Rais Samia teua Wakurugenzi, hawapo vituoni wote wamejazana Dodoma

Ukurugezi ni Professional na kama Mh. Rais SSH na wasaidizi wake Watateua toka ndani ya CCM basi nchi hii Wasio na vyama au ambao hawataki kujiusisha na Siasa wataishia kulima Michicha na matembele.

Nashauri kwenye nafasi za Ukurugezi zitumwe CV's plus waombaji waeleze Umahili wao sio kuonyesha kadi za uanachama wa CCM or CHADEMA.

Kwa ufupi wangine Watanzania walio wengi hawakuwahi hata siku moja kuwa wanachama wa chama chochote kwenye siasa za Tanzania.

Nashauri CCM na Makada wao wagawane huo ukuu wa wilaya na Mikoa but ukurugenzi tufanyiwe na nafasi za kitaaluma interview ni muhimu na anayefaa akamate post ili awatumikie watanzania regardless of their political affiliation.

Haiwezekani watu wakakimbia shule na kutojiendeleza na kujiunga na CCM ili wapate vyeo vya kuteuliwa kuwaongoza wasomi. Watanzania wote wanadeserve kufaidika na Mama Tanzania sio tu wanaCCM eti kwa kumiliki Kadi ya CCM tu uteuliwe.

Hii sio sawa kabisa wasio na vyama nao wafikiliwe ili mradi tu wawe na sifa. NAWASILISHA.
 
Hao makada wa vyama ndiyo wanasumbua watu kwenye usimamizi wa miradi ..unakua mtu hajui utofauti wa ujenzi wa jengo la serikali na nyumba yake ya kuishi lakini anapindisha shingo weee.
 
Ukurugezi ni Professional na kama Mh. Rais SSH na wasaidizi wake Watateua toka ndani ya CCM basi nchi hii Wasio na vyama au ambao hawataki kujiusisha na Siasa wataishia kulima Michicha na matembele. Nashauri kwenye nafasi za Ukurugezi Tutume CV plus tuonyeshe Umahili wetu sio kuonyesha kadi za uanachama wa CCM or CHADEMA,. Kwa ufupi wangine Hatujawahi hata siku moja kuwa wanachama wa chama chochote kwenye siasa za Tanzania. Nashauri CCM na Makada wao wagawane ukuu wa wilaya na Mikoa but ukurugezi tufanyiwe interview..NAWASILISHA..
1624352009658.png
 
Yes you're very right in correct my swahili but my message is clear, well articulated and received. Do you have any further observation ??
 
Hata kama mama anataka kuteua hadi wakurugenzi, basi azingatie uzoefu katika mambo ya utawala hasa halmashauri.

Ni bora kumteua mtendaji wa kata kuwa mkurugenzi, kuliko kumteua mwanasiasa ambaye hajawahi kuwa sehemu ya utawala kuwa mkurugenzi. Angalau mtendaji wa kata ana A,B,C za utawala, mfano usimamizi wa shughuli za kimaendeleo za kila siku.

Ilivyokuwa inajulikana, kwamba, wakurugenzi ni watalaam kabisa, na wenye uzoefu katika mambo ya utawala.

Kule halmashauri kuna idara nyingi zinazoendeshwa na wakuu wa idara, ambao ni wataalamu. Sasa ukiteua mwanasiasa akawa mkurugenzi, je, ataweza kukabiliana na changamoto za halmashauri?

Inahisiwa kwamba, angalau mkurugenzi awe ana A,B,C za utawala. Kule, pia ni vyema kuzifahamu sheria za utumishi wa umma. Mkurugenzi mwanasiasa akikurupuka, anaweza kuisababishia hasara serikali kwa kushtakiwa mahakamani.
 
Tutateuwa waliosaidia kukwamisha wapinzani wasikabidhi form za ugombea kwa msimamizi wa uchaguzi. Full stop
 
Msituwekee tena makada kwenye nafasi za wakurugenzi, senior officers wamejaa kwenye utumishi wa umma....nimepita kwenye baadhi ya halmashauri miradi imekaa kama magofu, wamewekwa vilaza ambao hawajui ni nini wanatakiwa kufanya....
 
Bila kuwataja majina hebu tuweke list za Halmashauri ambazo hadi midi mida hii wakurugenzi wake hawapo kazini
 
Msituwekee tena makada kwenye nafasi za wakurugenzi, senior officers wamejaa kwenye utumishi wa umma....nimepita kwenye baadhi ya halmashauri miradi imekaa kama magofu, wamewekwa vilaza ambao hawajui ni nini wanatakiwa kufanya....
Bila kuweka makada ccm haiwezi kuchomoa
 
Back
Top Bottom