mkamanga original
JF-Expert Member
- Jan 21, 2015
- 637
- 663
Wamekimbia vituo vyao, wamejazana Dodoma eti wanasema wanapigana ili warudi. Vituo vingi vinakaa bila watu, kazi hazifanyiki.
Wapo huko wanaingaikie teuzi
Wapo huko wanaingaikie teuzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Obvious ni makada wa CCMKwani Wakurugezi nao mama atawateua makada wa CCM tu??
Ukurugezi ni Professional na kama Mh. Rais SSH na wasaidizi wake Watateua toka ndani ya CCM basi nchi hii Wasio na vyama au ambao hawataki kujiusisha na Siasa wataishia kulima Michicha na matembele. Nashauri kwenye nafasi za Ukurugezi Tutume CV plus tuonyeshe Umahili wetu sio kuonyesha kadi za uanachama wa CCM or CHADEMA,. Kwa ufupi wangine Hatujawahi hata siku moja kuwa wanachama wa chama chochote kwenye siasa za Tanzania. Nashauri CCM na Makada wao wagawane ukuu wa wilaya na Mikoa but ukurugezi tufanyiwe interview..NAWASILISHA..
No sir.Yes you're very right in correct my swahili but my message is clear, well articulated and received. Do you have any further other observation ??
Well received, so let us show our dissatisfaction of what is going on...No sir.
Muhindi huyo msameheNo sir.
kiuhalisia wakurugenzi wanatakiwa watoke ndani ya utumishi wa umma especially wakuu wa idara,mwendazake ndio alipindisha mambo na kuweka makada ndio maana mambo yanakwama sana wilayani huko,hali tete.Obvious ni makada wa CCM
Nchi yenyewe imeoza, acha akae mtu yoyotekiuhalisia wakurugenzi wanatakiwa watoke ndani ya utumishi wa umma especially wakuu wa idara,mwendazake ndio alipindisha mambo na kuweka makada ndio maana mambo yanakwama sana wilayani huko,hali tete.
Lobbying🤣🤣🤣Wamekimbia vituo vyao, wamejazana Dodoma eti wanasema wanapigana ili warudi. Vituo vingi vinakaa bila watu, kazi hazifanyiki.
Wapo huko wanaingaikie teuzi
Ameenda kufanya lobbying nn kwenye kamati za vettingShikamooo. Hongera sana. Bandiko Zuri sana lenye ushauri DED wangu hayupo kituoni muda tu
Bila kuweka makada ccm haiwezi kuchomoaMsituwekee tena makada kwenye nafasi za wakurugenzi, senior officers wamejaa kwenye utumishi wa umma....nimepita kwenye baadhi ya halmashauri miradi imekaa kama magofu, wamewekwa vilaza ambao hawajui ni nini wanatakiwa kufanya....