Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Unauliza kama mpumbavu,ziishw uzazi umepungua? Huku ni Ulaya ambako kuna growth rate ni ndogo au hamna kabisa?Hizi kampeni za kujenga madarasa mara vituo vya afya huwa haziishi? nafikiri yupo sahihi kusema tozo zitaendelea kuwepo maana na yeye ataendelea kuwepo.
Watu kama nyie mlipomaliza kujibu mitihani mkaoshia hapo hapo,uwe unafuatilia hata nchi zingine,juzi tuu hapo unaona akina Biden wanahaha kupotosha mabilioni ya fedha kwenye sekta ya Afya sasa sijui kama huko kulikoendelea hizo kampeni ziliisha?
Maendelea yataisha siku watu wakitoweka Duniani