Rais Samia: Tuko vizuri kisiasa lakini mwenzetu mmoja anaendelea kutafakari, Tunaendelea kupokea matakwa yake

Hii Ndio Maana halisi ya Respect is Earned not offered.
 
Wazee wa sisitimu ya taarifa mwenyekiti, Rasi kasokota nywele zake vizuri, taarifa mwenyekiti, tena kasokota vizuri kuliko marasi wote waliowahi kutangulia akiwemo Marehemu Bob Marley.
 
Wazee wa sisitimu ya taarifa mwenyekiti, Rasi kasokota nywele zake vizuri, taarifa mwenyekiti, tena kasokota vizuri kuliko marasi wote waliowahi kutangulia akiwemo Marehemu Bob Marley.
ok.🐒
 
Kabla ya Uchaguzi, walikusanyana na vyama vyetu pendwa 18 vya mfukoni lakini mwisho wa siku tukaishia kwenye yale maafa ya MO29. Kwa nini tunarudia kosa lile lile? Kuamini kuwa hivyo vyama ni wawakilishi wa wananchi walio wengi? Hatuwezi kutatua matattizo yetu kwa kudhani kuwa hayapo au yameisha. Na muhimu zaidi, hatuwezi kutatua matatizo yetu kwa mbinu zile zile zilizosababisha mauaji ya MO29. Kama kweli kuna nia ya dhati ya kuileta nchi pàmoja, wana CCM wenzangu, tuje na mbinu mpya. Haya mengine hayana faida kwetu wala kwa nchi yetu.
 
Lissu kawabana vizuri.
Wananchi bado tuna vidonda vya 29 OCT hatujasahau tunataka haki itendeke..!!
acha porojo zako na kuwapiga kamba wadau wa Jf wewe tunakujua,

kumbaf sana aise 🤣
 
Dokta huyo hata kumwandikia mgonjwa dose ya panadol hajui aanzie wapi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…