Rais Samia: Tuko vizuri kisiasa lakini mwenzetu mmoja anaendelea kutafakari, Tunaendelea kupokea matakwa yake

Nilijua utawashwa na comment yangu, mama yako pumzi inakata Lissu anampeleka mbio anajiongelesha..!! 😹😹😹
hiyo sio comment ndugu mdau ni porojo ya kuwapiga kamba wafuata mkumbo 🤣

acha uonevu bana plz madam?
unawadhalilisha watu wazima ujue?🤣
 
Mlisema chama kisiposhiriki uchaguzi kinapoteza ushawishi na kinakufa kisiasa. Na mikwara kibao sijui vyama 17 vimekubali kushiriki uchaguzi, hicho chama kimoja cha nini? Sasa mnajiliza kuwa hicho chama kinawachelewesha. Wahini mnapoenda, cdm hawako tayari kuburuzwa tena kwani wanaijua thamani na nguvu yao.
 
Samia siyo rais.
Ameapishwa kiharamu na jeshi
 
Amen
 
Naungana na mchangiaji hapo juu..kwenye hiyo Kadamnasi hakuna the like of T.Lissu yaani Chaguo la wananchi...hao wanajua wenyewe wafuasi wao waliopo ilo sisi hatuwajui maana wengi kusipokua na Mic na Camera wanawapinga tu.
 
Nyie si mlisema Heche ndiyo hataki Lissu atoke? sasa hivi mmebadilisha imekuwa Lissu anapenda kesi!
Tundu Lisu ni Mandela wa Tanzania;

Ndio kwanza ana mwaka 1 mahabusu bado 26.

Wamwongezee kesi nyingine ikiisha hii
 
Kuna sehemu mmezuiwa kuendelea na hao mashost zenu 18?
Sisi tuna watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…