Nyamatare1987
JF-Expert Member
- Mar 29, 2021
- 416
- 493
Kwani yeye haienzi kaulimbiu ya hapa Kazi tu,Magu alikuwa hana weekend wala sikukuu yeye anateua na kuapisha hata jumapili😂😂Rais Samia Suluhu Hassan amesema Jumanne kutakuwa na uapisho wa wateule wengine Ikulu, Dodoma.
Je, ni nani hao watakaoteuliwa na kuapishwa?
Ngoja tuone.
Maendeleo hayana vyama!
Amesema yawezekana J4 tutaapishana tena,akimaanisha wale ambao amewapa maagizo wasipoyatekeleza anaweza kuwaondoa.Rais Samia Suluhu Hassan amesema Jumanne kutakuwa na uapisho wa wateule wengine Ikulu, Dodoma.
Je, ni nani hao watakaoteuliwa na kuapishwa?
Ngoja tuone.
Maendeleo hayana vyama!
Mani tu maniHahahahaha! Hii inaitwa "tit for tat"
mwenzako mayala alisubiria kwa kusifu na kuabudu hadi jiwe limeyeyuka lakini hakupata kituHuu uteuzi wa Juma 4 nikikosekana inabidi nikaoge maji ya bahari.
Atakua PMRais Samia Suluhu Hassan amesema Jumanne kutakuwa na uapisho wa wateule wengine Ikulu, Dodoma.
Je, ni nani hao watakaoteuliwa na kuapishwa?
Ngoja tuone.
Maendeleo hayana vyama!
Hao ndiyo wa JumanneMama bana,kawaambia ma PS Helllooo,tulieni sio leo!
Chalamila ana ugomvi gani na wewe Mkuu...Asisahau kuwafyekelea mbali akina Sabaya, Chalamila na wengineo..
Ndiyo mkuu,naelekea Dom kama Arasii mpya wa mkoa mpya wa ChatoAmesema yawezekana J4 tutaapishana tena,akimaanisha wale ambao amewapa maagizo wasipoyatekeleza anaweza kuwaondoa.
itakua Ma Rc,anamrudisha mwanawe MakondaHao ndiyo wa Jumanne
Hii imekaa fresh.Waziri mkuu bashiru
Hujamuelewa.Amesema yawezekana J4 tutaapishana tena,akimaanisha wale ambao amewapa maagizo wasipoyatekeleza anaweza kuwaondoa.
Siyo mbaya ampeleke Mwanza.itakua Ma Rc,anamrudisha mwanawe Makonda
Ndivyo ilivyoNadhani aliona watakuwa wanamchukulia poa....so kaamua kuwa kaksi.😀
Hakuna lisilowezekana chini ya jua.The Return of Paul Makonda?