Rais Samia: Tukutane Jumanne baada ya Pasaka kwa uapisho mwingine, hapa hapa Ikulu

Rais Samia: Tukutane Jumanne baada ya Pasaka kwa uapisho mwingine, hapa hapa Ikulu

PM haiwezekani,ukiteua PM mpya maana yake umavunja Baraza la Mawaziri. Majaliwa yupo sana,kitendo cha kufanya mabadiliko madogo yamemuhakikishia kubaki na nafasi yake
Mbona Mwl. Nyerere alikuwa anabadirisha Mawaziri wakuu bila ya kubadirisha Baraza la mawaziri - SSH ajaribu ku-emulate Kambarage, hakuna ulazima wa kuendelea na PM yule yule kwenye awamu ya sita - katiba sio biblia inaweza kufanyiwa marekebisho kwenye kifungu kinacho zungumzia uteuzi wa PM akateuliwa yeyote bila kujali kama anatokana na Ubunge wa kuchaguliwa au kuteuliwa.
 
Katika ya Makatibu Wakuu waliopo ni yupi anaonekana anafaa kubaki. Kumbuka mpaka Mpendwa wetu Rais Hayati JPM anaondoka ilikuwa bado hajateua hata Katibu Mkuu mmoja. Je kwa kuangalia kati yao ni yupi anafaa kubaki? Leo au kesho Katanga anakaa na Mheshimwa Mama na Mpango kuwachambua wanaofaa. Je ni Mtendaji yupi wa Serikali ambaye ananukia nukia kwenye nafasi hiyo? Usije kuta Makonda akaingia! Ninatabiri Katibu Mkuu Fedha kupewa ubalozi au URas!
 
Awaache waliopo, azibe mapengo ya wastaafu na waliocha kazi.


Hakuna haja ya kutiana kihere
 
Dotto lazima atolewe pale hazina maana tunataka kusafisha ghala kabisa
Hata wa TAMISEMI hafai. Mie ninaona labda Nzunda kwa PMO ndiyo anastahili kubaki. Yupo humble sana huyu classmate na mimi! Hanaga makuu mtu wangu huyu!
 
Hata wa TAMISEMI hafai. Mie ninaona labda Nzunda kwa PMO ndiyo anastahili kubaki. Yupo humble sana huyu classmate na mimi! Hanaga makuu mtu wangu huyu!
Jitahidi kufanya maombi anaweza akakuvuta mkono
 
Kama alivosema Madam,awamu hii hakuna kulaza mambo.Juzi wakati anaapisha mawaziri alisema baada ya hodlday siku ya jumanne wenda zoezi la kuapisha viongozi litaendelea.

Mizimu yangu imeniambia kundi la viongozi linalofuata kufumuliwa na kusukwa upya ni hili la wakuu wa mikoa na wilaya.Wenda Jnne tukashuhudia sura mpya zikipata uteuzi na wengine kuhamishwa vituo vya kazi.
 
Back
Top Bottom